fierceman
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 553
- 757
- Thread starter
- #61
nakujibu kwa kukuuliza hivi kabla adam na hawa pamoja na uzao wao kuumbwa na kuishi katika dunia je palikuwa na dini? Au je walianza kuumbwa wao ndipo ikafuata dunia?Kabla sijakujibu swali lako,naomba unijibu swali hili.
Unaweza kuniambia ni lini haoa duniani hapajawahi kuwa na DINI ?
Ukinijibi swali,hilo nitakuja kukuonyesha vipi ulitakiwa kuuliza swali na nitakuoa majibu pia.