Watu wa zamani walipandishaje yale mawe ya tani 4 ghorofani pasipo crane?

Bro; huo ni mtazamo wangu kuonesha kwamba inawezekana; it is not conclusive kwamba ndivyo walivyofanya as there could be some other means kwa teknolojia ya nyakati hizo.
 
Kwanini unassume?assumptions zako ni za uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa Egypt walikuwa na desturi ya kutunza kumbu kumbu za matukio mbalimbali ila hakuna kumbu kumbu hata moja ya ujenzi wa pyramid.

Pili mainjinia wa kisasa walijaribu kujenga pyramid lakini hawakufanikiwa kujenga pyramid kubwa kama za enzi hizo.Pyramid waliyojenga ilikuwa ni 1/40 ya pyramid za asili.

What about the fact that the Egyptians had not even invented the wheel yet, but the blocks that they had to carry to build the pyramids weighed about 2 tons each?

If you take the perimeter of the pyramid and divide it by two times the height, you get a number that is exactly equivalent to the number pi (3.14159...) up to the fifteenth digit. The chances of this phenomenon happening by sheer chance is remarkably small. Did the ancient Egyptians know what the number pi was? Not likely, seeing as it was a number not calculated accurately to the fourth digit until the 6th century, and the pyramids calculate it to the fifteenth.

What about the fact that even though the sides of the base of the pyramid are some 757 feet long, it still forms an almost perfect square? Every angle in the base is exactly 90 degrees. In fact, the sides have a difference in length of something like two centimeters, which is an incredibly small amount.

Huo ni ushahidi kuwa pyramids zilijengwa na viumbe wa sayari nyingine waliotembelea dunia miaka mingi iliyopita
 
Haha kweli, hajawahi kujiuliza hata zile nyumba za miti wazazi wetu walikuwa wanatumia nguzo kubwa ambazo vijana wa Leo hawawezi kuinyanyua mtu mmoja walizebebaje kutoka porini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vizur sio pyramid zote ni burial chambers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu mpaka leo zipo sema hazijaachwa wazi kama vitabu vyetu vya sasa . Ndio maana unaona wanasayansi wengi wa kipindi cha sasa wanahangaika kutafsiri hayo mafunzokwa lugha za sasa ili kuona technology ya zamani ilikuwa vipi.

Wamefanikiwa kwq kiasi kikibwa ila sio asilimia 100.

Mfano wa maandishi ya zamani


Mfano wa herufi zilizotafsiriwa.
 
Kwa watu wa zamani ilikuwa rahisi na hapo ndio mchezo wa GOLF ulipoanzia. Jiwe lilikuwa linawekwa chini linapigwa na GONGO/FIMBO linaenda kutua juu kiroho safi tu....hivyo tu Yani.....zamani palikuwa patamu Sana!


Za kuambiwa.......................
 
Angalia Pyramids hizo vizuri kisha tafakari

Na hapa mtoa mada amegusia mawe lakini ukiutazama ujenzi huo hakuna mwanadamu anayeweza.

Tofari zimepangwa kushinda hata mashine za 21st Century? We
 
Ni kweli kuwa wa-egypt waliacha kumbu kumbu za mambo karibia yote waliypfanya ila si suala la namna walivyojenga ma-pyramid.Haijulikani kwa uhakika walitumia teknolojia gani katika ujenzi
 
waizraeli walifanya hiyo kazi walipokuwa utumwani misri hawatakaa wasahau enzi za farao.Waizraeli akili kubwa sana wamejaliwa na Mungu kitu cha ziada
 
Unategemea jiwe likatwe na msumeno
 
Kulinganisha reli ya kati INA miaka 100 na pyramid miaka 3000 ilyopita ,sioni uhsiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…