salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Yaanii sentence ya mwisho mbavu zangu, utapimwa mkojo.... ILa NIMETAMANI KUJUA ZAIIDII HUKOO MUHEZA NA HABARI ZA USHIRIKINAA.... zamani wadogo walikua waanatusimulia eti Pangani ukiona kifuu cha nazi usikipige teke maana hakikawii kukusemesha, mara Tanga vibabu vinaoa vibintiii chuchu dede, sasa olee wako wewe mwanaume mashine uchepuke naeeee utasandaa... [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]Achana na ushirikina
Achana na mapishi ya ukweli
Achana na matunda na mbogamboga
Achana na malovee na watoto wakali
Achana na slogan ya waja leo warudi leo
Achana na maneno kwamba Tanga kuna kibao cha karibu lakini hakuna kibao cha kwaheri
Salute kubwa kwa wakazi wa kicheba na Muheza kwa kuweza kumvuta tajiri namba moja ulimwenguni BILL GATES, ni mvuto wa ajabu wenye nguvu hasa! Kumbuka ndele za ukweli zinapatikana mitaa hiyo
Bongo bahati mbaya lakini sio TANGA currently speaking Muheza na Kicheba! Muheza yote mpaka kicheba bila kusahau Lusanga kwa marehemu Sharo milionea na magoroto kwenye uchawi kiboko na kijiji cha Mjimwema! Kijiji kisafi mpaka mtu anaogopa hata kutema mate lakini mpaka mazao shambani yamevikwa hirizi
Kicheba hiyo ya mganga Mariam (mashaulah mwanamke wa kibondei wewe) sijui hii ni kazi yako? Hongera mama nakuaminia.. Bila kumsahau babu Ukae njia ya kwenda Misozwe.,, hufiki kibaranga....
Muheza sio bahati mbaya sijui Bill kafikishwa msitu wa amani!? Bila kusahau mapango ya Amboni
Nimejiuliza tu kwanini isiwe Chattle! Jibu ni moja tuu... MVUTO kiroho safi kabisa...... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Great sinking @ Work!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DadadeqTanga kunanii..,Vurugu mechi Uwanjani...,,![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]Yaanii sentence ya mwisho mbavu zangu, utapimwa mkojo.... ILa NIMETAMANI KUJUA ZAIIDII HUKOO MUHEZA NA HABARI ZA USHIRIKINAA.... zamani wadogo walikua waanatusimulia eti Pangani ukiona kifuu cha nazi usikipige teke maana hakikawii kukusemesha, mara Tanga vibabu vinaoa vibintiii chuchu dede, sasa olee wako wewe mwanaume mashine uchepuke naeeee utasandaa... [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
Leta mrejeshomkuu nilikua potwe kidoogo wakati hii habari unaimwaga
😛😛😛😛😛Wallah mshana JR we sio mzima.......haya bana wasalimie ChattleNimejiuliza tu kwanini isiwe Chattle! Jibu ni moja tuu... MVUTO kiroho safi kabisa.
Hiki choo ni cha sinkTanga kunanii..,Vurugu mechi Uwanjani...,,![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]😛😛😛😛😛Wallah mshana JR we sio mzima.......haya bana wasalimie Chattle
Duu huko uliko huko....!!! Bora salamamkuu tutazungumza mengi tukikutana katika mambo ya elimu dunia hapa nipo maramba juu
Hahaha kanda ya ziwa mwajua kuvaa khanga tangu liniHuyu sidhani kama ni wa Tanga
Watanga ni tudogo tudogo ila watundu
Huu mzigo kama sio wa Mbeya ni wa Arusha ama kanda ya ziwa sheikh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha kanda ya ziwa mwajua kuvaa khanga tangu lini
Cc emmyta