Watu wa Tanga ni noma

Watu wa Tanga ni noma

Karibu Potwe Mshana Jr.

Mimi hapa ndiyo asili yangu, naangazia mbali sana.
 
Tanga kunanii..,Vurugu mechi Uwanjani...,,
f67180af1ec70bf5624ddde63dc13d32.jpg
Huyu sidhani kama ni wa Tanga

Watanga ni tudogo tudogo ila watundu

Huu mzigo kama sio wa Mbeya ni wa Arusha ama kanda ya ziwa sheikh.
 
Tanga wana ndumba Ila sumbawanga kiboko yao,..waziri mkuu anafika hadi Tunduma anageuza rais nae hadi Tabora afu huyooo hatumbuliwi mtu huku
 
Tanga hatareeee nilipita msambweni mida ya saa 8 usiku nikakutana na binti kavaa pichu tu na kashika jiti lenye moto anachorachora ardhini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom