Watu wa Tanga ni noma

Watu wa Tanga ni noma

Huyu nae ni binti wa kitanga?

-Ndumilakuwili-
Najua mnachotafuta! Najua sana
hqdefault+%281%29.jpg

Mbona hana hina yamicholo mkuu huyo siyo mtanga ni mnyarwanda

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na ushirikina
Achana na mapishi ya ukweli
Achana na matunda na mbogamboga
Achana na malovee na watoto wakali
Achana na slogan ya waja leo warudi leo
Achana na maneno kwamba Tanga kuna kibao cha karibu lakini hakuna kibao cha kwaheri
Salute kubwa kwa wakazi wa kicheba na Muheza kwa kuweza kumvuta tajiri namba moja ulimwenguni BILL GATES, ni mvuto wa ajabu wenye nguvu hasa! Kumbuka ndele za ukweli zinapatikana mitaa hiyo

Bongo bahati mbaya lakini sio TANGA currently speaking Muheza na Kicheba! Muheza yote mpaka kicheba bila kusahau Lusanga kwa marehemu Sharo milionea na magoroto kwenye uchawi kiboko na kijiji cha Mjimwema! Kijiji kisafi mpaka mtu anaogopa hata kutema mate lakini mpaka mazao shambani yamevikwa hirizi
Kicheba hiyo ya mganga Mariam (mashaulah mwanamke wa kibondei wewe) sijui hii ni kazi yako? Hongera mama nakuaminia.. Bila kumsahau babu Ukae njia ya kwenda Misozwe.,, hufiki kibaranga....
Muheza sio bahati mbaya sijui Bill kafikishwa msitu wa amani!? Bila kusahau mapango ya Amboni
Nimejiuliza tu kwanini isiwe Chattle! Jibu ni moja tuu... MVUTO kiroho safi kabisa...... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Great sinking @ Work!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana (mfua chuma )kwa nn na ww hakufanya jitihada zzte afike hapo kwenye milima ya Pare akutane na magenius kama DCM au kiliopa David msuya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na ushirikina
Achana na mapishi ya ukweli
Achana na matunda na mbogamboga
Achana na malovee na watoto wakali
Achana na slogan ya waja leo warudi leo
Achana na maneno kwamba Tanga kuna kibao cha karibu lakini hakuna kibao cha kwaheri
Salute kubwa kwa wakazi wa kicheba na Muheza kwa kuweza kumvuta tajiri namba moja ulimwenguni BILL GATES, ni mvuto wa ajabu wenye nguvu hasa! Kumbuka ndele za ukweli zinapatikana mitaa hiyo

Bongo bahati mbaya lakini sio TANGA currently speaking Muheza na Kicheba! Muheza yote mpaka kicheba bila kusahau Lusanga kwa marehemu Sharo milionea na magoroto kwenye uchawi kiboko na kijiji cha Mjimwema! Kijiji kisafi mpaka mtu anaogopa hata kutema mate lakini mpaka mazao shambani yamevikwa hirizi
Kicheba hiyo ya mganga Mariam (mashaulah mwanamke wa kibondei wewe) sijui hii ni kazi yako? Hongera mama nakuaminia.. Bila kumsahau babu Ukae njia ya kwenda Misozwe.,, hufiki kibaranga....
Muheza sio bahati mbaya sijui Bill kafikishwa msitu wa amani!? Bila kusahau mapango ya Amboni
Nimejiuliza tu kwanini isiwe Chattle! Jibu ni moja tuu... MVUTO kiroho safi kabisa...... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Great sinking @ Work!

Sent using Jamii Forums mobile app
nilikoswaga koswaga na mwanamke mmoja wa Tanga, alinipenda sana kwasababu mimi mwanasheria, niliogopa nikatimua mbio, nahisi yule angeniweka ndani libwata ambalo angeniwekea ningesahau familia yote. kwasababu ni mzuri, hana kazi, ana mtoto wa nyumbani, bado ananifuatilia mimi mume wa mtu, ukiwa naye ananengua hadi unahisi ni mtumwa wako anayehangaisha nafsi ili usimuache, miguno rundo ambao wakati mwingine kwasababu mi mtu wa bara sijazoea naona kero, anavyokudekeza/care its too much....before hajaniweka kibindoni nilimwachia vumbi. nadhani hata uchawi wa kutuma ulimshinda akaniacha mazima.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha Mwanaheri wa Mikanjuni kwa Ustadh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom