Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,256
- 866,584
- Thread starter
- #41
Eli usipende sana lumbesa utatoka kibiongo kama si vigimbiHuu mzigo ni balaa, mkubwa hatari!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125]fahari ya macho tu
Magazini, Daisaama, seluka bila kuiacha Maiyanga.Umesahau Magila mkuu...
MaweeeTanga kunanii..,Vurugu mechi Uwanjani...,,![]()
Nimeitaja nadhanihahahaa umeisahau mizoswe na (mtindiro, kwabada) kwenye machungwa
Mzee umefata tiba sio bure huo msitu wa amani ni shida
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nshakaa mule ndani siku tatu nzima usiku na mchana! Kuna dunia nyingine kuleMzee umefata tiba sio bure huo msitu wa amani ni shida
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Huyu anapatikana wapi mkuu niko tayari kumpa nyumba yangu ya majani mapanaTanga kunanii..,Vurugu mechi Uwanjani...,,![]()
Keshapewa Ghorofa RaskazoneHuyu anapatikana wapi mkuu niko tayari kumpa nyumba yangu ya majani mapana
Sirini[emoji23] [emoji23]Mmm! Mi nilikoma tu chumbageni, siri yangu
Umetuamulia ww[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Achana na ushirikina
Achana na mapishi ya ukweli
Achana na matunda na mbogamboga
Achana na malovee na watoto wakali
Achana na slogan ya waja leo warudi leo
Achana na maneno kwamba Tanga kuna kibao cha karibu lakini hakuna kibao cha kwaheri
Salute kubwa kwa wakazi wa kicheba na Muheza kwa kuweza kumvuta tajiri namba moja ulimwenguni BILL GATES, ni mvuto wa ajabu wenye nguvu hasa! Kumbuka ndele za ukweli zinapatikana mitaa hiyo
Bongo bahati mbaya lakini sio TANGA currently speaking Muheza na Kicheba! Muheza yote mpaka kicheba bila kusahau Lusanga kwa marehemu Sharo milionea na magoroto kwenye uchawi kiboko na kijiji cha Mjimwema! Kijiji kisafi mpaka mtu anaogopa hata kutema mate lakini mpaka mazao shambani yamevikwa hirizi
Kicheba hiyo ya mganga Mariam (mashaulah mwanamke wa kibondei wewe) sijui hii ni kazi yako? Hongera mama nakuaminia.. Bila kumsahau babu Ukae njia ya kwenda Misozwe.,, hufiki kibaranga....
Muheza sio bahati mbaya sijui Bill kafikishwa msitu wa amani!? Bila kusahau mapango ya Amboni
Nimejiuliza tu kwanini isiwe Chattle! Jibu ni moja tuu... MVUTO kiroho safi kabisa...... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Great sinking @ Work!
Sent using Jamii Forums mobile app
Father Wee Mkorofi SanaAchana na ushirikina