Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,955
Nani mwingine kakamatwa analalamika hajafunguliwa kesi? Wapinzani, watuhumiwa wa ufisadi wote wanafunguliwa kesi zingine wanashinda nyingine wanashindwa, Magaidi pekee ndio wanaolalamika hawajafunguliwa kesi, na sio kwamba hawajafunguliwa kweli ila ni asili ya magaidi tu kulalamika hovyo huku wao ni wauaji
Halafu kuna viongozi wa upinzani kama Lissu, Mbowe na Lowassa zamani, wanajidai kutetea hawa magaidi ili kuvutia Waislam wapumbavu kuwa ni wanatetea haki
Sasa niwaulize kana Serikali haifuati haki ni mara ngapi Tundu Lissu amekamatwa na akashinda kesi, au kuachiwa kwa dhamana? Ni mara ngapi Mbowe amekamatwa na kushinda kesi au kuachiwa kwa dhamana? Lowassa nae alikuwa na kesi ya uchochezi mbona aliachiwa na sasa hivi yupo free mtaani?
Hao mashekhe hawaachiwi sababu ni magaidi
Na kama wanafanya hivyo ili Serikali ya CCM ionekane vibaya kwa Waislam niwaambie tu Serikali ya CCM ni kweli ina ubaya wake tena mwingi sana...Lakini serikali ya CCM haijawahi kuwachomea watu makanisa, serikali ya CCM haijawahi kulipua na kuua raia wasio na hatia, Serikali ya CCM hajawahi kukazimisha watu wafunge kula
So kama wapinzani wanawatetea hawa watu ili wapate kura, ndio wanazidi kupotea
Gaidi kubwa ni Baba yako Laanatullahi Nyerere aliyevamia Zanzlbar , na kuuwa watu zaidi ya 13 000 chini ya uongozi wa Kanisa Katoliki