Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Tatizo sio dini bali watu na ndio maana kuna dini zengine watu huwauwa wenzao kwa kuwanywesha "jik".Dini zingine zinaleta upunguani kwenye jamii hao jamaa wapo tayari ata kuuwa mtu
Tatizo sio dini bali watu na ndio maana kuna dini zengine watu huwauwa wenzao kwa kuwanywesha "jik".Dini zingine zinaleta upunguani kwenye jamii hao jamaa wapo tayari ata kuuwa mtu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo sio dini bali watu na ndio maana kuna dini zengine watu huwauwa wenzao kwa kuwanywesha "jik".
Nikifungua hoteli mtu akaingia kula atakua amekula mbele za watu.?
Hivi we ni mwanadamu kweli? umeona ile video ya Lile jamaa lenye begi kule Sri Lanka lilivyoingia kanisani na begi mgongoni, kisha mlangoni linakashika katoto kichwani na kukasalimia kinafiki kama vile linapenda watoto, halafu linaingia kanisani linajiripua na wale watoto!! ni Dini kweli hii au ushetani mtupu!!
Dini isiyojiamini, na hata Mungu wao anatetewa kwa mapanga na bunduki na mabomu ya kujiripua!!
Nasema ni chuki kwa sababu wanaofanya hivyo ni wazanzibar wenyewe wamejiwekea taratibu hiyo ila wewe unasema waislamu wanalazimisha watu kufunga biashara yani husemi kuwa wapemba ndio hufanya hivyo bali unawahusisha waislamu kabisa,sasa kama sio chuki ni nini? unachopaswa wewe ni kuheshimu taratibu za watu kama ambavvyo wao wapemba wakija huku bara hawasemi biashara zifungwe mwezi wa ramadhani kwa sababu huku sio pemba hivyo hakuna hizo taratibu.
Hapa utalaumu sana mkuu ila tatizo hapa ni uelewa kwanza wa elimu ya kawaida ndio ifuate elimu ya dini. Hawa jamaa ni weupe kichwani na wanachofanya hawaoni kama ni makosa kwakuwa tatizo ni uelewa.
Funga wewe kama wewe sio umlazimishe mwenzako, tetea nafsi yako mbele ya Mungu wako usimlazimishe mwingine ajitetee, angekuwa anaumwa ungemlazimishia dawa kwa bakora? Angekuwa hana pesa ya kula ungemlizimishia pesa ya kula kwa bakora?
Umefunga huku roho inakuuma unataka kila mtu afunge wewe nani?
Ndio mnataka Nchi yenu kwa ujinga huo? Mpaka mpiganie elimu kwanza mkishaelimika ndio tutawafikiria kwa vitambulisho vya uraia Hizbulah nyie.
Huyu jamaa ndio kiboko ya wapemba na wazanzibar kwa ujumla,wakimuona huyu jamaa hawapumui [emoji23] mpaka utawaonea hurumaView attachment 1096633
Dini isiyojiamini, na hata Mungu wao anatetewa kwa mapanga na bunduki na mabomu ya kujiripua!!
Hayo mambo ya nchi za kiislamu mnaleta nyie,nachojua wapemba hufanya hivyo kama taratibu zao wenyewe na sio kwamba uislamu ndio umewataka wafanye hivyo.Watu wanaheshimu katiba hakuna sehemu kwenye katiba inasema zanzibar ni nchi ya kuislam
Wewe mi pia hunichapi walah.. Dadek nitatembezaa mawe hapo mpka watakaa sawa dadaki. Huwezi niletea ufirauni mimi
Hayo mambo ya nchi za kiislamu mnaleta nyie,nachojua wapemba hufanya hivyo kama taratibu zao wenyewe na sio kwamba uislamu ndio umewataka wafanye hivyo.
Nani kalazimisha watu kufunga? mbona uelewa mdogo!Kabisa kufunga sio kulazimishana
Nani kalazimisha watu kufunga? mbona uelewa mdogo!
Uhuru neno pana mkuu hata mashoga huwa tunawaingiliana uhuru wao.Wafunge wasiingilie uhuru wa watu
Washinde kwenye nyumba za ibada huko hakuna wa kuwasumbua
Uhuru neno pana mkuu hata mashoga huwa tunawaingiliana uhuru wao.