Watu wa Muleba hawataki Kumegwa na Mkoa mpya wa Chato

Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa! Geita kama mkoa yenyewe bado kufikia hiyo milioni mbili. Geita kama mkoa ina idadi ya watu 1,739,530 kulingana na sensa ya mwaka 2012. Ushabiki mwingine muwe mnasoma basi kuuficha ujinga.
Wao ni kufuata tuu mkumbo wa mwenda zake
 
Kutoka kwenye wilaya zitakazounda mkoa mpya.

Kwa hiyo Chato yenyewe haikidhi vigezo… inabidi imegewe maeneo

Then Tibaijuka is right… thats exactly what Tibaijuka isa saying… Heko Mama Tibaijuka

Kinachonisikitisha ni kwamba Kagera na sifa zake zote za usomi na uwezo wa watu wao yani amejitokeza mtu mmoja tu nchi nzima mwenye ujasiri wa kuhoji na kupinga azma ya serikali kumega mkoa wao wa Kagera…. ajabu sana
 
Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato.

Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
View attachment 2022603
ukabila ni kidonda kikubwa sana kwa watani zangu wahaya. hata yule askofu wa tundu lisu yule anayetumia watanzania kuomba misaada ya shule yake, ameongea hivihivi, anaona kabila la wahaya litamegwa. mbona wasukuma wapo kila mkoa lakini usukuma wao umebaki palepale? watu hadi wanakuwa maprofesa lakini ukabila upo palepale.
 
Back
Top Bottom