mkoa mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

    Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa...
  2. N

    Kama mkoa wa Morogoro ukigawanywa napendekeza mkoa mpya uitwe Kilombero wenye Wilaya hizi...

    Jamaa yangu kati ya mwaka 2011 au 2012 aliwahi kuniambia kuwa kigogo mmoja (kwa sasa ni mstaafu) alisema laiti hoja ya kugawa nchi kimajimbo ingeletwa na mwanaccm yumkini serikali ingelichukua wazo hilo na kufikiri namna ya utekelezaji wake, lakini kwa sababu wazo lilitoka upinzani wala hawana...
  3. T

    Watu wa Muleba hawataki Kumegwa na Mkoa mpya wa Chato

    Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato. Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
  4. idoyo

    Tuboreshe Utendaji wa Serikali za Mitaa ili kuleta Tija

    Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa makusudi ili kusogeza huduma karibu zaidi lakini hazifanyi kazi ipasavyo. Tuboreshe muundo kama ifuatavyo...
  5. ESCORT 1

    Maandalizi ya Mkoa mpya wa Chato, Buchosa wakubali kuhamia Geita

    Katika kile kinachoonekana ni maandalizi ya kuanzishwa na kutangazwa kwa mkoa mpya wa Chato, Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa wamekubali kuhamia mkoa wa Geita. Wananchi wa Buchosa wamekuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata huduma Mwanza wakati wapo karibu na mkoa wa Geita. Inasadikika chini ya...
  6. Roving Journalist

    Geita yakubali kuundwa Mkoa wa Chato; Kakonko, Biharamulo na Ngara kumegwa. Sengerema kwenda Geita..

    Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki. Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum...
  7. L

    Napendekeza Mkoa Mpya wa Butiama

    Ndiyo! Namaanisha mkoa mpya wa Butiama. Hivi hakuna Wazalendo wa kuomba kuanzishwa huu mkoa kama kielelezo cha kumuenzi Baba wa Taifa hili? Twajua hakuwa Mbinafsi, na hakutaka kujipendelea licha ya kuwa na uwezo huo! Leo tunaona uzalendo sehemu fulani kuwa mkoa kutokana na mihemko sijui ni ya...
Back
Top Bottom