Watu wa Mbeya mtabadilika lini?


Sasa umeenda kwingine.
Magufuli anapataje madaraka wkt hatakiwi?
 
Sikia we gamba,tangu uhuru Mbeya inejengwa barabara ya TAZARA tu na juzi hii ya Chunya,mkoa wa tatu kukusanya mapato na kuchangia pato la taifa hauna barabara ya serikali hata moja zaidi ya msaada wa WB.Sisi sio wapumbavu,kiwanda cha Cement kipo Mbeya ila tunanunua bei juu kuliko Dar.Mbeya hakuna majengo ya serikali yanayopendezesha mji Mbeya tunaogelea vumbi mpaka tunaumwa macho afu mnatuita jiji eti!!!! HATUWEZI KUSHABIKIA UJINGA.Mbeya tunaijenga wenyewe kwa juhudi zetu sio serikali....Kama mwanaume njoo Mbeya uongee hizo pumba zako utajua kwanini Mbeya tulikuwa hatuna shida ya maji kabisa ila sasa hivi maji hayatoki miezi mitatu Mbeya.....TUMEISOMA NAMBA NA TUMEWAPIGIA......INAUMA EEEEEH????
 
Watu wa Mbeya wengi "akili ndogo" hususani vijana.Mtu kajaa minyoa kama bundi na kaongeza cha malawi anamwona sugu kama mungu unategemea jipya gani?
 
Ukizoe kushangiliwa usishangae ukizomewa
pole sana Alcoholic Makomeo
 
Ni ukwelu pale ambapo ccm haikubakuliki ndo kuna maendeleo chanya angalia ngome ya ccm:morogoro,dodoma,ruvuma,tanga&sumbawanga hoi bin taaban.
 

hapo kwenye red kumbe utamfahamu kuwa ni rais wao na bado mtaelewa

kwenye blue sio cha arusha sema lema alishapiga vita uoga na unafiki kuwa ni dhambi kubwa kuliko kuua sasa unashangaa nini
 
nazani uko mbea si ndio walimtupia mawe uyu jk anaemaliza?mi naona haina aja ya kujizalilisha kuna baazi ya mikoa msiende ccm jamani ni haibu hii
 
Hivi inaingia akilini waziri wa barabara kushangaa eti kahama hakuna hata barabara moja ya lami afu akapata na bahati ya kusikilizwa na jamii ya kahama?what a shame. Kahama amkeni kama mbeya;msidanganyike kirahisi hivo.
 
Kaka mambo ya Mbeya tuachie wana Mbeya ndo tunaojua madhara ya CCM, hatuna namna tena ni kuwazomea na kuwapiga chini 25 Oct
 

Mihemko hii
 
Mada uliianza vizuri ila umeharibu kuingiza mambo ya Kilimanjaro, kweli wewe ni matumbo tu
 

Pole sana mama. Watu wa Mbeya siyo wanafiki na hatujipendekezi kwa mtu yeyote. Na hapa ni mwanzo tu, hatuwezi kuwafanyia ustaarabu watu wanaotudharau na kutuletea wasanii na sarakasi jukwaani kama Fiesta!!
Hayo ""matumbo""yako yamejaa njaa inakusumbua unajipendekeza kwa Magufuli. Ukiacha Sugu, Mwandosya pia ni rais wa Mbeya.
Karibu Mbeya City ule nakozi.
 

Usijali mkuu huu mwaka wa mabadiliko hatutawaangusha kigamboni lazima Lucy apelekwe bungeni, pamoja tunaweza.
 

kajinga wew ulizani.mbeya ni sawa na tabora, ruvuma ambako watu wapo tuu huku watu wameamka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…