Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Mkoa wa Mbeya kati ya Wabunge 10 ni 2 tu wa Upinzani Sugu na Silinde
Magufuli kapewa haki yake, wewe ulitaka wamuache aendeleze ule ujinga wa kupiga push up.
Naona kama unawabembereza hawa majuha, minashauri tingatinga akiapishwa tu aanzie mbeya kule kunavijana wengi hawana adabu na hawajui kazi awape adabu kwanza. HAPA KAZI TU
Hata sisi tumeichoka Chaggadema.Je tuanze kuwazomea kama wao wanavyofanya?
Mbona unafanana na Job Dungai mkuu ni ndugu yako!?
Hatuwezi kufanya uzembe kama huo, tumeshaamua kuifuta kabisa ccm
Jamani kwani ccm wamewakosea nini watanzania? Mbona wanachukiwa sana na watu wengi? Namna hiyo? Ila pamoja na hayo wapo wanajikongoja
Hakika Mungu yu Upande wenu wana mbeya. Chagua sugu kwa maendeleo ya jiji chagua madiwani wote toka ukawa chagua lowasa kwa mabadiliko na maendeleo ya taifa.
Kwa akili ya hilo tinga Tinga lenu linajuta kwanini halikubomoa nyumba mbeya mwanzo lilikuwa halijaonja joto ya jiwe ya mbeya.
Hii ndio Mbeya bwana na hapa Mbeya mjini Sugu anasubiria tu kuapishwa, hivi hata mgombea wa ccm hatumjui nasikia kakata tamaa ya kufanya kampeni baada ya kuzomewa nahatimae kukosa watu. Karibu sana Mbeya huku Sio siasa tu kwani wewe umesaha timu za mpira kama Tiger, Tukuyu stars,Mbeya city nk unazionaje ? Mbeya tunajitambua sana tu
Pia kimondo imemtoa mchezi hatari kwenda kuchezea yanga
Kazi gani? Mnalazimisha kukubalika? Acheni zenu, kila mtu anauhuru wakusupport mtu ampendae. The big problem for Tanzanians ni unafiki mkubwa, kujifanya unapenda kitu kumbe hata hukipendi. Watu wambeya wameeleza hadharani hisia zao mnawaona wabaya.
Hakuna mkoa unaweza kushindana na Mbeya hata shule pia tuumenda vilevile, chakula ndio usiseme endapo tungepata selikali makini inayo jitambua huu mkoa unaweza kulisha Tanzania mzima lkn tumekosa miundo mbinu sahihi itakayo wezesha kilimo kukua zaidi sasa Leo mnataka kuturudisha miaka ya 1970 hatutaki na ccm yenu