Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Umepaniki mkuu, punguza jazba.
Jamaa linalialia
Umepaniki mkuu, punguza jazba.
Nakubaliana na wewe mkuu, sio wana Mbeya wote wenye matatizo . Kina mama wa Mbeya kwa mfano ni kina mama wastarabu sana ata wazee wa huko ni wema, tatizo ni hiki kizazi kilichokuja juzi na kikakosa akili kamili sijui kilitokea wapi! Watu wapo karne ya technology wao wanarudi kwenye ujima yani kwa akili zao ukiwawekea jiwe wanalichagua kweli sasa hizi akili sio za binadamu aliyekanilika hii ni jamii ya primates.
Wala sio watu wa Mbeya bali wahuni wachache, ni sawa na mtu kuzomewa kariakoo na kubdi la watu 20 alafu useme Dar es Salaam imemzomea.
John Pombe Magufuli atamshinda Lowassa kwenye uchaguzi huu kwa mkoa wa Mbeya.
Wala sio watu wa Mbeya bali wahuni wachache, ni sawa na mtu kuzomewa kariakoo na kubdi la watu 20 alafu useme Dar es Salaam imemzomea.
John Pombe Magufuli atamshinda Lowassa kwenye uchaguzi huu kwa mkoa wa Mbeya.
Moshi Mosha kahonga hela mpaka kafilisika anatoa ulimi tu watu wanasema hapa UKAWA TU!!!
Ushaona moshi wanafanya ujinga kama huo?
Teh teh hiki ndicho nilitambua tangu awali ndo kinachokufurukuta!!!
Kilimanjaro inakuwasha sana acha uvivu na kuendekeza ngono na starehe za kishenzi mpaka mnashindwa fanya kazi mnabaki kuwa masikini mnaamsha chuki kwa waliofanikiwa kwa nguvu na jasho lao!!!
Chama cha kilimanjaro wapi wakati hao watu wa Kilimanjaro walishawateka siku nyingi nchi nzima mmewauzia wenyewe viwanja mijini mkakimbilia porini??
We kima kweli Mbeya imeamka tangu enzi za Nyerere akiwa Rais na chini ya mfumo wa chama kimoja!!!
Kwahiyo usifikiri sisi ni watu dhalili kama nyie kizazi cha laana tupu!!!
Mji unarudi rasmi kwa ccm uchaguzi huu, kama fujo zingekuwa ndio kura basi uchaguzi wa serikali mitaa karibu yote isingechukuliwa na ccm. Huu ndio usokwe nnaousema hapa.
Wala sio kizazi mkuu, hao waliofanya hivyo ni makonda na wamachinga wachache sana.Utashangaa utakapoyaona matokeo ya uchaguzi mkoa wa Mbeya, keep my words, Magufuli will carry the day in this region.
Sasa wakati wanamzomea kwa nini hakupiga push ups japo awatishe kidogo?mtajuta oct
Mbeya walishabadilika wewe ndyo ubadilike acha uonga wa kuiongopa ccm,
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Kwani lowassa bauyako mpaka ikuume!Ccm mwaka huu ndio mwisho wao na watajuta sana kumfanyia lowasa unafia
Ccm ni janga na kwa mbeya tutaifuta kabisa..lowasa hoyeeeeeeeeee
Nawapongeza sana watu wa mbeya kwa maamuzi waliyochukua na yote hyo ni elimu waliyonayo. Msirudi nyuma ccm haina nafasi tena.