Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Wee Matumbo, ungejua ambavyo siipendi ccm na maccm yake,,hujui tu,
 
Kwa wanaoifahamu Mbeya kuziomewa kwa magufuli na baadhi ya wahuni wachache sio jambo la ajabu. Kumbukeni kuwa ni Mbeya huko huko ambako mauaji ya kutisha hutokea. Miongoni mwa hayo ni watu kuchunwa ngozi. Aidha miaka michache iliyopita mauaji yalikuwa ni jambo la kawaida pale eneo la forest. Wanaoichafua mbeya ni watu wachache mno lakini kwa hakika watu hao wanaichafua sana mbeya. Vijana wa mbeya wengi wao sio wa kuwaamini kabisa. Umeshawahi kufika pale uyole? Kumbukeni pia kuwa yule jamaa aliyeiba fedha mbeya nadhani ana jina la kasusura alikimbilia mbeya ambako baadaye alikamatwa baada ya mmoja wa watu aliyekuwa anafahamu siri hiyo miongoni mwa wengi waliofaidi fedha hizo kutoa siri....mbeya ni hatari.
 

Kwa hiyo unashauri tuzomeeje mdau? Maana haja ipo, hebu tupe namna
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia KAMA SI MAGUFULI MWENYEWE, BASI MMOJA KATI YA WAJIPENDEKEZA WAKE alisema jukwaani, 'Mafisadi wakija kuomba kura majukwaani muwazomee' sasa usitangaze vita na wenye shombo ilhali samaki na wewe ulimla.
 

Very Nice...Mnaita watu MBWA sio....?? Okay...si mbaya...TUTAHESHIMIANA TU...Pale majumba yenu yatakapogeuka Njiti za MOTO
 
Ukiangalia video yote ya Mbeya utahaibika wewe rais wetu ana hekima, kama uko insta nenda kwenye account ya ccm au mange utapata video yote na sio hicho kipande mnachozungusha.



Video ya Mbeya ni editing haina ukweli ukiisikiliza Magufuli alikua anaongea na sauti yake imeondolewe wakawekwa wale wajinga na makelele yao
 

Mbeya uliyoikimbia sio sawa na hii ya sasa
 
achen ujinga wa kupotosha jamaa alizomewa dhahili.na kingne ww unae laum watu wa mbea una akili km ya ngoko make ukae ukijua kuwa sehem yyt ambayo watu wana muamko lazm hy yatokee make hakubali kudanganywa km misukule
mbea mko sawa
 
USIWASINGIZIE WATU WA MBEYA,NI KWAMBA WAMEICHOKA CCM,huo ndio ukweli we subiri utaona ifikapo October 25.

Kuna njia za kistaarabu za kusema wameichoma ccm, kwenye sanduku la kura. Huu mkoa Sugu anauharibu kabisa na sioni alichofanya zaidi ya kuwafundisha fujo.
 
Ww subiri na mwaka huu Utahama kwa dadako uje kiumeni kwako itakuua mabadiliko maana hujitambui
 

Sisi tunaoutumia ubongo kufikiri tumeshajua lengo lako... Kwa taarifa yako Lowasa ikulu ataendelea kusikia tu maana hana sifa hata moja... Jipange kumpokea Dr John Joseph Pombe Magufuri baada ya Oct 25..... #hapa kazi tu.
 
Inaonekana Ukabila unakutafuna mpaka kwenye kucha.
 
Kila kitu Mbeya ni tofauti sana hata soka zikumbuke hizi team Tukuyu star, Taiga, Meko, Kimondo, Mbeya city, Mbeya prisons inamaana huu ni mji wa mabadiriko. Hatuwezi kukubali kuchagua makandarasi badala ya kuchagua rais. Watu wenye asili ya Mbeya mmewapa sumu wengi tu na Hata Mwamunyange mnataka kumuua. Mbeya songa mbele kwanza nchi zote mnazopakana nazo wate walifanya mabadiliko toka miaaka ya 90 e.g Malawi, Zambia. Hongera nyumba na ikiwezekana pigeni risasi huyo mpiga push ups maana hakuna namna sasa.
 

Njoo utiwe mimba Mbeya. Mbeya tuna akili sio kama nyie wapuuzi mnaolialia na ccm.
Siasa za Mbeya ni zetu wanaMbeya, we kwakuwa unawashwa lete makalio
 

Kama Tu WABUNGE Wawili Mashuhuri Wa Hiyo Mikoa Miwili Uliyoitaja Hapo Ni WAVUTAJI BANGI WAZURI Mno Wewe Unategemea Nini Hapo Mkuu Kutoka Kwa Hao Wafuasi Wao Ambao Wengi Wao Ni POPOMA?
 

Mkuu katika kichekesho kilichoko Tanzania ni pamoja na hili majiji yenye wasomi kama arusha na mbeya yanaongozwa na wendawazimu kama lema na sugu,kisha wamejaa wahuni wengi,ni upuuzi mtupu,wanamzomea wakati ndo rais wa awamu ya tano,wanapoteza muda,
 
Kama Tu WABUNGE Wawili Mashuhuri Wa Hiyo Mikoa Miwili Uliyoitaja Hapo Ni WAVUTAJI BANGI WAZURI Mno Wewe Unategemea Nini Hapo Mkuu Kutoka Kwa Hao Wafuasi Wao Ambao Wengi Wao Ni POPOMA?

Kweli mkuu kiongozi mvuta bagi na mfasi wake mvuta bangi,hapo hakuna akili,anafanya mpango kuongea na kiongozi mkubwa serikalini kwa gsrama yoyote kuwavua majimbo hayo hao wabunge,ili majiji hayo yawe ya kistarabu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…