Kwani Wewe ulitakaje? Magufuli Mwenyewe ni Kimbele mbele Chake, Wewe unaona Kijiwe Cha Chadema Alafu unataka kuhutubia. Umponde Lowassa? Hiyo Ndio Peoplez power Bana. Hapana chezea kabisa.
Mbeya oyeeeeeeee.
Kubwa zima Linashabikia HAPA KAZITU! Kazi zipi hambazo kwa miaka 50 Hakuna?
yaani kubwa zima linadanganywa nalo linadanganyika? Bora ya wanywa viroba waliojitambua na kutokubali kudanganywa.
Kuliko wewe unaejidai mstaarabu. Kumbe ni 0 kabisa. Hapa kazitu labada kazi za kupiga Tembo na kusafirisha Twiga.
Mliaidiwa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA yapo wapi? Alafu unakuja kushabikia ujinga? Amakweli Malofa na Wapumbavu ninyie Msiojitambua.
Ukiangalia video yote ya Mbeya utahaibika wewe rais wetu ana hekima, kama uko insta nenda kwenye account ya ccm au mange utapata video yote na sio hicho kipande mnachozungusha.
Kambarage ashawahi kukong'otwa mawe huko Mbeya, unashangaa Magufuli kuzomewa?
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
mimi niseme sijaona kosa la kuzomea zaid ya kufikisha ujumbe kwamba hatukujakubaliana na unachokifanya ni sawa na kushangilia inamaanisha tumekubaliana na kufurahishwa na unachokifanya sasa nataka nione mmeacha kushangilia kwenye mikutano yenu hapo mtakuwa na haki ya kuwanyoshea kidore wanaozomea
Nyie huko ndio bado mnaishi 90s.. Mkishazomea uwa mnapata nini? Mji umeharibika sana siku hizi huo, mnaaibisha wazee wenu.
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Ha ha haa, nasikia hakupata hata nafasi ya kupiga push up jukwaani...watu wa Mbeya kiboko. Wastaarabu hupiga push up kwenye gym au nyumbani na si majukwaani.Kushangilia hakumzuii mtu kufikisha ujumbe mahala fulani, maana mtu hushangiliwa tu pale anapoongea suala la maana au lenye kufurahisha,, kuzomea kunakoonekana kwenye video hakukumpa hata nafasi magufuri yakuongea neno,, inamaana walionauhitaji wa kumsikiliza magufuri hawakupata huo wasaa, zomea hii iliwanyima wengine haki yao ya msingi kumsikiliza magufuri,,