Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Wahuni Wachache Hawawezi Kuharibu Taswira Nzima Ya Wanambeya.. Kulichukulia Tukio la Kuzomewa kwa Magufuli Kuwa Limetendwa na Wanambeya Wote ni Uonevu Mkubwa.. Ukweli ni Kwamba Waliofanya lile Tukio ni Watu Wasiozidi Hata Robo Ya Wakazi Wa Mbeya. Na hata Waliofanya Lile Tukio ni Watu Ambao Hawana Uhakika wa Kesho. Kuamini Sehemu flani ni Bora kwa Kuwapa nafasi Watu nafasi ya Kuharibu Taswira Ya Wanambeya Wote ni Upuuzi.. Kama Alivyoipuuza Magufuli na Nasisi tuipuuze Hivyo Hivyo... Kuchokwa kwa Ccm Tuonyeshe kwenye Sanduku la kura, Sio Kupandikiza Wachache waharibu Taswira ya Wengine.... Jitambueni
 
watu hawataki ujinga kule unapewa za uso mchana mchana! ha ha ha
 
magufuli si rais harafu ni ujinga wa viongozi wa ccm mkoa kama mnakumbuka hata mwanzo ilikuwa hivyo.Jana magufuri alikuwa anantafuta nini mwanjelwa na uyole???????ratiba yake ya kampeni ilikuwa mbarali sasa mbarali inaanzia mwanjerwa?????????
akome zake
peeoooopleeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssss
 

walioua tarime ni nani ka cyo hao malaya wenzio ccm?waliokodiwa na masaburi dar ni akina nan?acha ujinga nina mamako nyumbani na watoto wenzio kama ww wanakula na kunya vizuri mm si level zako ujue,tunajua kila kichafu kinachofanywa na hao mabwana zako ccm so huwezi nifundisha kitu ww Embesiri tu
 

Hamna fujo hapo mkuu ndio maana Polisi wapo hawajafanya lolote...hapo ni kuonyesha kutomuunga mkono na siyo kosa kisiasa

Ni kama mpirani ukizomewa na timu pinzani sio kosa wala refa hatoi kadi

Tukumbuke JPM ni mgombea tu sio Raisi
 

haina namna mkuu
 
Hao sio wananchi wa Mbeya bali ni wapiga debe wahuni wapambe wa Mhuni mwenzao Mr Sugu
 

kwani walioua kule mara ni akina nani??anayoyafanya masabuli dar wee huyaoni?acha unyang'au ww hakuna asiyejua ccm wanachokifanya labda ww unayejitoa ufahamu na uache uembesiri kabisa maana mbeya ni ya wanaume na ujue mimi nyambani nina mamako na watoto wenzio wanakula na wanakunya bila shida kama ww waishi kwa shemeji si wote Chikala wee
 
Sishangai kwani ni dhahiri kuwa unafikiri kwa kutumia tumbo kama jina lako linavyoonesha.
 
Mkuu wewe ndiyo umechelewa kutujua. Bosi wako mwingine alishatujua siku nyingi mpaka akatuita sisi Malofa na wapumba.vu. Na hapo tulikuwa katika ubora wetu. Changes are inevitable.
 
Kwahiyo Mkuu Ukawa Ndo Italeta Maendeleo Kwa Pesa Zao Wenyewe Sio Za Wananchi?


waulize! Hivi El akiwa raisi ndo tunategemea apate mawaziri, wakurugenzi nk katika hawa! Ama kweli ukistajabu ya musa utayaona ya firauni. Hivi el anajua kwamba nyuma yake kuna watu kama hawa?
 

Acha kupaniki kabla hawajakutenda
 
Na pia JK naye ashawahi kukong'otwa mawe huko huko Mbeya...

Magufuli kafanyiwa staha mbona...

mwaka 2010 kule tunduma mama salma alizuiwa kupita barabara ya lami ikabidi arud alikotoka........alikua ametoka sumbawanga,hiyo ndo mbeya!
 

afya ya akili Asante kwa msemo mpya..Nitautumia kuwaelimisha hawa nzi wa kijani
 
Huu uzi haujakaa sawa. Unaweza kuleta uchochezi. Unaposema watu wa Mbeya una maana gani? Una maanisha: Watu wanaoishi Mbeya? Au waliozaliwa Mbeya na kuishi Mbeya? Ama waliozaliwa katika wilaya za mkoa wa Mbeya na kuishi sehemu zingine?

Je, waliozomea ni watu wote wa mkoa wa Mbeya au kundi la watu katika jiji la Mbeya? Ushahidi upo unaoonesha kuna baadhi ya wilaya za mkoa wa Mbeya ambapo Dkt. Magufuli alipokelewa vema bila kuzomewa. Wote hao ni wa ajabu?

Si vema kutumia jukwaa hili kuchonganisha mtu na mtu au wananchi na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…