- Thread starter
- #101
There is a modicum of truth to it (at the least).
nashukuru umeliona na ku-admit
There is a modicum of truth to it (at the least).
hivi mwizi ni yule anayekomment kila uzi au anayeshinda kuangalia nani kacomment?
nashukuru umeliona na ku-admit
Wengi hawana cha kufanya humu. Hushinda nyumba ya keyboard zao kupost tu kutwa nzima.
Wanaoiba muda wa mwajiri ni wachache kuliko wasio na cha kufanya wanaopost kila dakika kutwa nzima non stop.
Na wewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na cha kufanya ndio maana sasa hivi uko hapa.
Taja majina.
Mkuu sio tu kuangalia nani kakoment lakini pia kuhesabu kakoment mara ngapi,kaaaaaaaazi kweli kweli.Tusife moyo lakini one day tutafika katika kipindi ambacho kila mtu atajali hamsini zake na kuacha watu wengine waishi maisha yao the way they see it fit.hivi mwizi ni yule anayekomment kila uzi au anayeshinda kuangalia nani kacomment?
ukiwa mkweli watakuona upupu tu
wewe utakua unautani na ashadii wewe..
FYI hakuna raha kama kuongea nikiwa maliwatoni.
Swali la kizushi: Anayeandika posts nyingi na anayesoma posts hizo nyingi tena za watu weeeengi na kuzihesabu kabisa, ni nani kibaka wa muda kwa mwajiri wake?
Asprin anaandika posts 200
kiritimba anasoma posts 200 za Asprin, na kuzihesabu
na za Afrodenzi 300
na za Dena Amsi 200
Na za Rejao 150
Na za king'asti 800.......... yaani unasoma na kuzihesabu tu!
Afu ukitosheka unakuja kufungua thread unachangia posts 100..... kweli we si mwizi wa muda!
Ahsante kwa kunisoma.
Bado niko maliwatoni, niletee toilet paper tafazali.
Kuna waliojiajiri...waliostaafu...waliopo likizo... bila kusahau MULTI-TASKers like me...ZOEA!!
tupe chanzo cha taarifa hizo backed with empirical evidence pliz!Tutabisha lakini me binafsi naona ni ukweli,tena hz international companies wameshaanza kulalamika wa tz tunatumia muda mwingi kwa social sites kuliko kufanya kazi na tunapenda kutoa excuse kibao
Statistics za Kiritimba
Total Posts
Total Posts 449
Posts Per Day 4.54
Huyu jamaa kuna mambo ya yanamsombua
1. Hana Access ya Net ya uhakika
2. Ana wivu hapendi maendeleo ya watu
mtoa posho naye wanamvua gamba, sijui atalipwa na nani.Munganishie huyu dogo basi na yeye awe anapata posho kama wewe.
Mkuu sio tu kuangalia nani kakoment lakini pia kuhesabu kakoment mara ngapi,kaaaaaaaazi kweli kweli.Tusife moyo lakini one day tutafika katika kipindi ambacho kila mtu atajali hamsini zake na kuacha watu wengine waishi maisha yao the way they see it fit.
Nimeshasema mimi huingia humu pale ninapopata mapumziko au nimemaliza shughuli zangu (waweza angalia trend yangu humu ukipenda)....sasa hao ninaowasema ni 24/7 siku 365 kwa mwaka wanacomment tu, au wako likizo mwaka mzima?
Kiritimba unaitwa na babu