Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa amecoment kitu. Kazi anafanya saa ngapi? naamini wengi wameajiliwa kwa mantik hiyo wanaiba muda wa mwajir na hivyo wanalipwa malipo ambayo hawastahili. huu ni wizi mkubwa.
hata kama umejiajir, lazima ulipwe kutokana na kazi unayoifanya. sasa kama siku nzima wewe unacomment mmu hiyo kazi unafanya saa ngapi? pia mnalipwa malipo haramu. na huu pia ni ufisadi ambao wengi humu wanajifanya kuupinga hali wao ni mafisadi wakuu. kwa mtindo huu uzalendo uko wapi. nchi hii itaendelea kweli.
Fanyeni kazi badala ya kushinda kupiga umbea mitandaoni.
Ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.
Kiritimba,
25.11.2011
Mi sjambo mpenzi..
hahahahah bado unakumbuka kale kachupa
usijali kabisa ntaleta na nyongeza.. saa ngapi uko free
tukutane pale pa siku ile au?? nasubiri jibu lako mpendwa.
yaelekea uwelewa wako uko chini sana, kama m2 hayupo busy kiivo au unadhani we ulivyo kwa wahindi ndo kila m2?? mwngne kajiajiri!
muda ule ule na kiti kile kile cha juzi
halafu ile nyeupe ilikuwa orijino haijachakachuliwa
unaweza leta katoni kabisa unajua x mas na new year zipo mlango
funguo nitazichimbia TF hawezi ziona
Hamjambo watu wa MMU?
Nawapendeni sana.
Nimekuja hapa kuwasalimu, siyo kujibu upupu wa huyu mtu.
Mungu awabariki sana. Muendelee kudumu tuendelee kujirusha hapa MMU pa ukweli.
Ahsanteni kwa kunisoma.
Na wewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na cha kufanya ndio maana sasa hivi uko hapa.
Kamekuingia eh!
jibu hoja mkuu siyo kuhamak.
Mi nimeongea kwa fact, na wewe toa fact kwa nini huu ni upupu.
usiongee kama upo maliwato.
Labda ni miongoni mwa hao wasio na cha kufanya leo! Inawezekana.
Ila mkuu jaribu kucheki, kuna watu daily, every minute, every hour wanapost. Hata kama ni kuiba muda wa kazi, si kihivo. huwa hawa wako free mda wote. Wale wanaopost mara moja moja, hapo unaweza nambia wanaiba muda wa muajiri.
FYI hakuna raha kama kuongea nikiwa maliwatoni.Kamekuingia eh!
jibu hoja mkuu siyo kuhamak.
Mi nimeongea kwa fact, na wewe toa fact kwa nini huu ni upupu.
usiongee kama upo maliwato.
Khaaaaaaaa,Kamekuingia eh!
jibu hoja mkuu siyo kuhamak.
Mi nimeongea kwa fact, na wewe toa fact kwa nini huu ni upupu.
usiongee kama upo maliwato.
Hata mimi nashangaa leo karudi kufanya nini tena hapa. Hajui pia wengine hii ndio ajira yao?
hahahahahah
Nliona jinsi ulivyo kuwa una imimina ile nyeupe..
dahhhh sijui tuende ile sehemu ya mwaka jana
ila mwaka huu tununue fireworks. ili kuchangamke zaidi..
sasa nilete nyeupe kwenye chupa ya blue au neupe kwenye
chupa nyeupe hahahaaha lol. ?