thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,408
- 3,633
Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy.
Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana.
Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo zaidi kama kuna mtu amewahi kuijaribu.
Natanguliza shukrani.