Misoji tafadhali ntakuonga hata jahazi zangu 6 za uvuvi.Am never interested in those things...
We jamaa unapata tabu sana. Mrudie Mungu akuokoe kutoka hiyo jehanamu inayo kutafuna...
You are deteriorating your soul. Acha huo ujinga.
Rudi kwako haujafukuzwaBaada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...
Wazawa ni mazombie..
Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..
Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.
Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..
Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..
Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda, nzi wamezunguka... Na hajistukii.. Inshort mnasemaga watu wa mikoani washamba ila majitu ya Dar.. Ovyo kabisa.
Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...
Ndo maana sisi ambao tunaishi huku tunayatawala tu.
Misoji kipenzi usiwe kama mabinti wa pwani kutukana hovyo.Acha ujuha mpuuzi, bwabwa..
tumeishi nao hao wanarithishana tabiaNi nawapa dawa waamke waache kutaka maisha rahisi. Ni kituko kabisa
Endelea kuwapa dozi sasa, wasije kusema hawajaambiwa....Samaki mmoja akioza ni wote tu
Kuvunja mzizi ni kukaa nao mbali ukipata pisi niweke ndani na asizoeane kabisa na nduguze... Au mpeleke mkoani huko...tumeishi nao hao wanarithishana tabia
Yeah, naona anawarushia makombora watoto wa mujini daslamu.Naona ndege umerudi kwa hewa
Nilikuwa nadhani wewe pia ni mtoto wa 'daa' ndiyo maana nimeshangaa.Naeafanya wajue tu kuwa huo ujanja wanaodhani wanao ni ushamba pro max, ni hawana akili ya kufanya jambo lao, bali kuishi kwa mzaoea
Pole sana mkuu kwa changamoto ulizopitia.Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...
Wazawa ni mazombie..
Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..
Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.
Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..
Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..
Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda, nzi wamezunguka... Na hajistukii.. Inshort mnasemaga watu wa mikoani washamba ila majitu ya Dar.. Ovyo kabisa.
Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...
Ndo maana sisi ambao tunaishi huku tunayatawala tu.
Haya Jidanganye... Wenye nazo Dar sio wazawa na wazawa wanashindwa vibarazaKama ulikuwa haujui sasa hivi dar wenyeji ni wachache sana tena wa kuhesabu,wengi wameuza maeneo wamekimbilia mkuranga,kisarawe,vikindu,kisemvule,mbande,tambani,chanika uko.
Vijana wengi wazaliwa wa dar wengi wameona fursa wapo mikoani uko,wengine fursa zimefunguka zaidi wamevuka mipaka ya nchi.
Wa mikoani ndio waliojazana dar
.
Rudia tena kusoma nilichokiandika.Haya Jidanganye... Wenye nazo Dar sio wazawa na wazawa wanashindwa vibaraza
Matajiri ni either waarabu au watu wapambanaji kutoka mikoani
Aliye kudanganya ni nani?Rudia tena kusoma nilichokiandika.
Nimekwambia % kubwa wenyeji wamekimbia dar wameuza maeneo yao wapo nje ya mji.
Wageni ndio wameshikilia jiji
Nan kawa tajiri? Hao wakinga wanaoua ndugu zao au wakina nani, maana utajir asilimia 80 ya watu wa bara ni ushirikina ukiacha hawa wafanyakaz wa tamisemiNdo hao hao wanakuja kuanzia chini wanakuja kuwa matajiri baadae..
Ila mzawa mshenzi anakalia kuuza tako tu