Mimi nilizaliwa miaka ya 70sMimi wa 1976 Nina watoto wakubwa mmoja nipo nae hapa Jf ni Poor Brain sema sasa yupo anapiga ue,
Ila Nina mtoto anafanana na secretarybird wamesoma wote huko kaskazini mwa Tz,
Mimi ni senior bachelor
We ni kinda la 2,000 unalingana na mwanangu wa pili FahadMimi nilizaliwa miaka ya 70s
One Day YESJe wewe ni nani ?.
We sema hivyo siku tukikutana sijui utaiweka sura yako kwa aibu ya kukutana na Mzee uliyezoea kumtania, kumdogosha na kumbeza katika jukwaa la JF.We ni kinda la 2,000 unalingana na mwanangu wa pili Fahad
HakikaOne Day YES
Ntaiweka sura yangu kivip unajaribu kumaanisha nn?We sema hivyo siku tukikutana sijui utaiweka sura yako kwa aibu ya kukutana na Mzee uliyezoea kumtania, kumdogosha na kumbeza katika jukwaa la JF.
Pambana mamb yatakaa vizuri.Sina Mchongo wa Maana wa kuniingizia Hela
Sina nyumba
Nmepanga kwenye kibanda
Sina Mke
Sina Mtoto
Nina Diploma, ila ni kama vyeti havina faida
Maamuzi ya maana ya ukoo sishirikishwi
Namaanisha kuwa Mimi ni mzee anayejikongoja, upara umeniota hadi kisogoni halafu mvi zimenitapakaa hadi kwenye mavuzi pia uso umekunjamana kama ganda la limau.Ntaiweka sura yangu kivip unajaribu kumaanisha nn?
Mm ni babako ova
😃😃😃 and she say mmefanana.
Qmaniner zakoNamaanisha kuwa Mimi ni mzee anayejikongoja, upara umeniota hadi kisogoni halafu mvi zimenitapakaa hadi kwenye mavuzi pia uso umekunjamana kama ganda la limau.
Ni mzee ambaye ukikutana naye unaweza ukahisi ndiye aliyeshiriki katika vita vya kwanza vya dunia akiwa upande wa Uingereza.
Ni balaaa kaka ila mamb yatakaa vzr.Nilikuwa najionaga dogo miaka 30 hii hapa na ichungulia na sina any.
Huwa na heshimu sana vijana wadogo ambao unawakuta wako site wanapandisha mijengo yao pembeni wana vyombo vya usafiri.
🤠🤠😃😃😃 and she say mmefanana.
Mkuu utapata laana 😀Qmaniner zako