Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,140
Ndugu yangu hali si hali huku, hamna rangi ambayo hatujaonaMishe mishe, mitikasi, mapambano, maono, mafanikio, matatizo, matarajio, mafundisho?.
View attachment 3390647
Ndugu yangu hali si hali huku, hamna rangi ambayo hatujaonaMishe mishe, mitikasi, mapambano, maono, mafanikio, matatizo, matarajio, mafundisho?.
View attachment 3390647
Mkuu wewe bila kusema mimi mwanao nahisi unaumwa kabisa...Mimi wa 1976 Nina watoto wakubwa mmoja nipo nae hapa Jf ni Poor Brain sema sasa yupo anapiga ue,
Ila Nina mtoto anafanana na secretarybird wamesoma wote huko kaskazini mwa Tz,
Mimi ni senior bachelor
Last warning peana watoto wa shuleMkuu wewe bila kusema mimi mwanao nahisi unaumwa kabisa...
Mkuu mama angu akutangui ww weww baba gani ujitafakari unaona kabisa mi sitaki baba. WEWE last warning ⚠️ ⚠️ ⚠️ ⚠️ ⚠️ ⚠️ ⚠️
Unataka nianze kutukana sasa 😂😂😂Last warning peana watoto wa shule
Mimi ni babako
Tukana nikupe tusi usipoenda kunywa Panadol kutuliza maumivu ya kichwaUnataka nianze kutukana sasa 😂😂😂
Tupo hapa mkuu unasemajeView attachment 3390657
Ni kitoto cha buku mbili hiko.Mkuu Intelligent businessman tia neno hapa
Ni John Sina.Je wewe ni nani ?.