Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,269
- 18,402
Laaana gani ? Ya mshangazi au shangazi ndege ?Mkuu utapata laana 😀
Laaana gani ? Ya mshangazi au shangazi ndege ?Mkuu utapata laana 😀
Hahahaaa naam umri sisi ushasogea. Ila life bado limekaa kushoto.
Nyie muwe na jukwaa lenu pamoja na ndugu zenu Gen Z Huku tubaki 80'SSisi wa 1996-1998 tujumuishe hapo toa 85 na 86 ni out of date.
Ya kunitukana babu yako.Laaana gani ? Ya mshangazi au shangazi ndege ?
Dah kitambo Sana kudadadekiKwa nini hutuiti wa '75-'85 tunaochapwa na midlife crisis ya kufa mbwa?
Ngapi Sasa hivi ka mkubwa?Hahahaaa naam umri sisi ushasogea. Ila life bado limekaa kushoto.
Kila ukiona sura yangu niamkie kijana, hasa kama upo below 35😅Dah kitambo Sana kudadadeki
ahh wapi😂, taja umri tuoneKila ukiona sura yangu niamkie kijana, hasa kama upo below 35😅
Kijana futa comment yako kabla sijapigisha mashine yangu kwenye figa kukulaanikama kijana wa miaka hio hajatoboa asahau kutoboa kwenye haya maisha.
wa 99-2005 tunakimbiza balaa mabraza imekula kwenu
tunaenda na mudawetu tusijekufeli kama nyie wajinga
umetuwakilisha vyema, tuendelee kukomaaBado bila bila tupo kama tulivyokuja kasoro tumevaa nguo tu
Kabisaumetuwakilisha vyema, tuendelee kukomaa
Sisi wengine ni Wazee wa Mwaka 47 ujue 🤗
Mzee usi Lete uwaki kijiweni, 47 ndio AK Zina tengenezwa urusiSisi wengine ni Wazee wa Mwaka 47 ujue 🤗
Kwa kifupi sisi ndiyo wale Wazee tuliokula chumvi nyingi mjueMzee usi Lete uwaki kijiweni, 47 ndio AK Zina tengenezwa urusi
Oya bro acha mizinguo, we wa 85 ujueKwa kifupi sisi ndiyo wale Wazee tuliokula chumvi nyingi mjue
Sema tunakufa sanaaaakama kijana wa miaka hio hajatoboa asahau kutoboa kwenye haya maisha.
wa 99-2005 tunakimbiza balaa mabraza imekula kwenu
tunaenda na mudawetu tusijekufeli kama nyie wajinga