Watu mliozaliwa 1985-1995, how is life?

Watu mliozaliwa 1985-1995, how is life?

Unatania wewe, Labda uwe umekulia kwenye intellectual family family za 80_90c

Ila kama ulikunywa uji kwa jani la muembe kama kijiko utanielewa
Nimetumia sana jani la mlimao na yale madude flani hivi ya ziwani sijui magamba ya mamba sijui ya nini yale kwa KIJITA ebhigusu kunywea uji.
Umenikumbusha sana hiyo 1989.
 
Ukiachana na kazi ambazo tulizozipata kipindi cha kikwete hakuna cha maana zaidi nilicho achieve.....
 
Back
Top Bottom