Watu mliozaliwa 1985-1995, how is life?

Watu mliozaliwa 1985-1995, how is life?

kama kijana wa miaka hio hajatoboa asahau kutoboa kwenye haya maisha.
wa 99-2005 tunakimbiza balaa mabraza imekula kwenu
tunaenda na mudawetu tusijekufeli kama nyie wajinga
Mimi Ni Gen z najipambania Sana lakini hio kwangu haihalalishi kubeza,kutweza,au kuwakashifu wenye age kubwa kuliko yangu ambao bado hawajatoboa

Mimi na Hustle Huku nimefunga mdomo sichambui Maisha ya watu

Maana maisha yana mambo mengi bro siamini watu wote Ambao hawajatoboa Ni wajinga
 
kumbe bado unapambana wewe bado sana
 
Sina Mchongo wa Maana wa kuniingizia Hela
Sina nyumba
Nmepanga kwenye kibanda
Sina Mke
Sina Mtoto
Nina Diploma, ila ni kama vyeti havina faida
Maamuzi ya maana ya ukoo sishirikishwi
Pole sana mkuu, yote yatapita
 
Nilikuwa najionaga dogo miaka 30 hii hapa na ichungulia na sina any.
Huwa na heshimu sana vijana wadogo ambao unawakuta wako site wanapandisha mijengo yao pembeni wana vyombo vya usafiri.
Wengi wanaloga au wezi
 
Umri wa kutoboa ni 24 mpaka 35.

ONTARIO alipiga zaidi ya milioni 500 akiwa na 24 tu....Dayamondi alianza kutajirika akiwa na 26.
 
Kwa wanaume ujana unaanzia 45yrs, ombeni uzima mfikie hapo halafu uwe na akili na financial uwe vizuri. Maisha ni matamu sana na jamii inakuwa inakuamini
Like me, kama alivyosema princess Ariana hapo juu najitafuta bado..... :DESKCHAN:
 
Tupo hatupoi hatuboi....
mambo ni lelele...😜😜😜
 
Umri wa kutoboa ni 24 mpaka 35.
Bongo Hii.!! Labda UK, umri wa kutoboa bongo 55 kwenda mbele tena hapo yawezekana urithi umekubeba

Tena hapo wapwa wote wanakuita mjaa laana mwenye Nongwa kila anayekusogelea unamfukuza asiguse vya wazee wako kama ulizaliwa pekeyako

Tena una kauli mbiu yako "mjukuu halithi kwa Babu"
 
55 ni umri wa kula pensheni mkuu.
 
Age is just numbers!... vitoto vya 2000 vimezeeka.kuliko mishangaz ya 1995
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom