William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #21
Wajinga ndio waliwao... Mnapoona mwenzenu anapiga hela mnasema ujinga, kalaghabaho!
- ha! ha! ha! ha! ha!
Le Mutuz
Wajinga ndio waliwao... Mnapoona mwenzenu anapiga hela mnasema ujinga, kalaghabaho!
- ha! ha! ha! ha! ha!
Le Mutuz
Kuendekeza party zisizo na kichwa wala miguu ndio fursa hizo? You're better than this Ma men.......- Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndio nimejifunza kwa nini Wazungu wanalilia bongo, hata Mzaire tu aukimwambia kurudi kwao analia machozi kumbe Wabongo tumelala sana usingizi!!
Le Mutuz
Wajinga ndio waliwao... Mnapoona mwenzenu anapiga hela mnasema ujinga, kalaghabaho!
Yani niache kwenda kwenye midahalo ya maana tena inayohusu katiba yetu
Eti niende kwenye pati ya le mtuz na matapeli wenzie "ujinga"
Sema takribani wajinga elfu sita walikuja sio wananchi!
Mnnacha kufanya mambo ya maendeleo mnang'ang'ania kufanya mambo yanayodumaza akili za watu mwanzo mwisho...halafu kesho na keshokutwa mnapanda majukwaani mkitaka kupewa uongozi...
- Haina haraka sana utaelewa tu U know!!
Le Big Show
- Well wala sina sababu ya kubishana on this one maana vitabu tulivyotumia kuuza tiketi vipo kaka, kubali tu au unaweza kuendelea kubiashana na wewe mwenyewe, vinywaji viliisha mara 4 kaka ni historia tupu siku ile
Le Mutuz
Watasha wanasema " you don't see with your eyes, you see with your brain so the more words your brain has the more you will see" bila shaka le mutuz kafikiria namna sahihi ya kulaunch business venture.
Ukifikiria kuifanyia Mwanza hii kazi usiogope nitakuwepo kukupa moral and material support considering partyin and clubbin are ma things dude!! Hook me up dude.
Ain't jokin..u know!!
Regards,
Mwanamalundi.
Aiseeee fursa hizi lol..