Ajali Mbeya: Watu zaidi ya watano wanadaiwa kufariki dunia baada ya lori kufeli breki na kugonga gari la abiria

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,060
4,042
Watu saba wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori lenye namba za usajili T 804 BMF kukosa breki na kugonga gari dogo la abiria katika eneo la Inyala nje kidogo ya jiji la Mbeya. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya.

1.jpg
2.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom