Watu huona nini wanapokaribia kufa?

Watu huona nini wanapokaribia kufa?

Ni kweli unaitwa sanaa ya kifo..ule ni baada ya kujiandaa kwa mtihani wa kifo na baadae kuingia huko kifoni
Hapa ni zile sekunde au dakika za mwisho between life n death or near to death experience
Kwa muktadha wa post ile yaani kile kimuhe muhe cha mtihani wa kifo
Yaah!kuna mtu kafa lakini ukimtizama usoni kama ana tabasamu vile ile kuna wengine ni zaidi ya kuku alie chinjwa miguu inarushwa kule.pia wacha niulize hapa kuna baadhi ya maiti huwa inakuwa ngumu kuzinyoosha yaani unakuta kakunja miguu na mikono hata kama watu walimuwahi kabla hajapoa inakuwaje?
 
Yaah!kuna mtu kafa lakini ukimtizama usoni kama ana tabasamu vile ile kuna wengine ni zaidi ya kuku alie chinjwa miguu inarushwa kule.pia wacha niulize hapa kuna baadhi ya maiti huwa inakuwa ngumu kuzinyoosha yaani unakuta kakunja miguu na mikono hata kama watu walimuwahi kabla hajapoa inakuwaje?
Hizi ni zile zenye viapo maagano na zilizochanjiwa muku za wachawi pia na watu waliofanya mabaya mengi
 
Kuna tafsiri nyingi katika hili naweza kusema ndio au hapana ila ukiniuliza kama nilishawahi kufika kuzimu nitasema ndio
Mshana

Katika moja ya post/replies zako, uli declare kwamba, you were left to tell. Na hapa juu umesema ulishawahi fika kuzimu.

Hebu sasa naomba utuelezee kwa kina kuhusu kuzimu, kuanzia defn na yote ya huko, ili na sisi tulio gizani tupate kujua.
 
Kuchanjia muku ndio nini mkuu
Kuchanjiwa madawa ya kienyeji hata ukipigwa huumii na kama ni kipigo kitakatifu mpaka wapigaji wako wakidhani wamekumaliza wewe unaweza kusurvive tena
 
Kuna tafsiri nyingi katika hili naweza kusema ndio au hapana ila ukiniuliza kama nilishawahi kufika kuzimu nitasema ndio
Hebu say smthng about njia za kwenda huko xprienc yako maan zipo nyingi.
Wew ulipitia ipi
 
Hebu say smthng about njia za kwenda huko xprienc yako maan zipo nyingi.
Wew ulipitia ipi
Kwa njia ya kufa kichawi
Kwa njia ya kupitia baharini
Kwa njia ya meditation(hell meditation)
Kwa njia ya miujiza mbalimbali
 
Ukizidi kutenda maovu hata cku ukitaka kufa utahangaika Mpaka basi sijui vinyongo muuaji kuna baba mchawi aliuaga wengi aliteseka huyo mana alianza kuungua kabla ya kifo na kuona vtu vya ajabu. Before MTU kufariki huonyeshwa three month ili atengeneze maisha yake na Mungu duniani
Can you say smething kuhusu hiyo kuonyeshwa.
Ipe nyama kidogo
 
Kwa njia ya kufa kichawi
Kwa njia ya kupitia baharini
Kwa njia ya meditation(hell meditation)
Kwa njia ya miujiza mbalimbali
Baharin ziwani kote kwenye mass ya maji huweza kuwa get ya kwenda.
Kutumia mayai visa etc.

Wish to hear more about hizo trip zako
 
Mshana Jr, naomba unijibu haya matatu, nayasubiria hapa asubuhi hii;

1 - Kuna wale kabla ya kufa, anaoza mwili mzima, na siyo kwamba alikuwa na kansa labda ama magonjwa hatari, hapana. Alianza tu kuwa mnyonge, vipimo vyote takribani yupo sawa, ila mwili unamuoza na kunuka, haja zote hapo hapo, ila baadaye kama miezi hivi anakufa.

2 - Kuna wale kabla ya kufa wanakata kauli tu, haongei chochote ila ukimsemesha anasikia, kula kwa shida, zaidi muda wote huwa anatokwa tu na machozi, hadi anapofariki machozi humtoka tu.

3 - Kuna wale ambao anakufa (mwanaume), Uume umemsimama tu muda wote, na mila za kwetu huku (sipataji), haruhusiwi kuzikwa hadi unywee, hivyo kuna vitu vitafanywa (sivisemi).

Hao wote juu hapo, ni mateso ama wanalipwa kabla ya kuzimu.

Ahsante!
Hhhha hiyo ya tatu mambo ya Usinga ngoma ipoooo kuleeee ngoja nisipataje.

Ila kuna watu kutokana na worse things ambazo wamewahi kufanya kama uchawi ujambazi uuaji anakua na picha halisi kua anakoenda sio kuzuri ni kubaya hatari . So mind yake ina try ku resist kufa,anakuw anapigana hayupo willing kufa na mengi hutokea hapo.

Hiyo ya kusimma dushe inakuwaga mwanamke anatengenezw anawekew usinga akitembea na man tu ndo hayo uliosema hutokea , ila wanasema dawa ya usinga usikupate ni chuma
 
.... Usiwe mtu wa kuzini, usiwe mchawi, usiwe mlevi, usiwe mwizi, usiwe msengenyaji, usitukane watu Hapa JF,usitongoze watu hapa JF kwa lengo la uzinzi, usiwe mwongo, usiwe......... .....
Matendo ya mwili ni dhahili ndio haya uasherati, uchafu,fitina,faraka uzushi,uzinzi,ulevi, ulafi, Ufisadi na ibada ya sanamu watu watendao mambo ya jinsi hiyo nawaambia mapema kama nilivyokwisha kuwaambia hawatauridhi ufalme wa Mungu
 
Back
Top Bottom