's inamaanisha umilikishi...Hawa God's wapo wangapi? by the way don't believe everything u read.
....ngoja nami nichangie kidogo experience yangu....kama kufa kuna hatua 5 nadhani nimefika mbili! na kama ni 3 nimekanyaga moja....nilikuwa nafanya kazi ya umeme kiwanda fulani....nikanaswa na umeme....within a second niliyaona maisha yangu yote niliyoishi kwa spidi ya ajabu....nikahuzunika nikatamani ningepata muda niishi ili niwe bora zaidi....here I am n still sijawa bora!!! Yesu nirehemu, nisaidie....nadhani moja ya kitu kilichonisaidia kufa sikuwaza k
hahahaha hakunaga mwili utakao itwa na kifo ukakubali lazima mabishano yatokee mpaka kifo kitakapo uweza huo mwili
Ahsante. Abastin Mwenyezi ndiye kila kitu hakuna ajuaye baada ya lisaa limoja tutakuwa wapi.Daaah!!!!Pole sana "Mauti ni mlango kila mtu/kiumbe lazima aupite"
Looh! Bibie wakiogopa kivuli chako?naogopa kufa......... Naogopa
sipendi hata kuwazia mambo ya Kifo ingawa najua nitakufa
pole,anyway kuogopa kitakacho kusibu haisadii cha msingi "JIFANYIE MAANDALIZI" ili uweze kuvuka kwa salama,ni ushauri tu.Even my mom kabla hajafariki alituagaga kabisa nakutoa maelezo. Wengine huona kabisa ila one day tutakuja kuonana na wapendwa wetuMshana Jr. Jamani umenikumbusha mbali sana yaani baba yangu, Alipotaka kufa aliniaga kabisa akasema leo birthday ya mtoto wako ila nasubiria hiyo keki alafu siku zangu hapa duniani zimeisha kabisa sitakula kingine zaidi ya keki ya mtoto wako. Kweli tumamaliza birthday saa 12.30 jioni akasema naenda kuswali Magharib kwa waislam wanajua, baadaye akaswali na akamwambia mama napumzika kidogo hapa kitandani, jamani wanajamvi chakula kimeiva mama anaenda kumuamsha ndio ameshaenda zake kama kalala. R.I.P baba yangu iliniumiza sana na sina sherehe ya birthday ya mtoto wangu kwa kuwa kila mwaka ndio kumbukumbu yake ya kuzaliwa na baba yangu kufa. Naumia sana mwenzenu jamani. Umenikumbusha sana Mshana. Kwahiyo mwengine huona kifo chao.
Kwani God's ina maana ya many gods? Rudi shule nduguHawa God's wapo wangapi? by the way don't believe everything u read.
Huyo.mtu alikua sio mwema kabisaa dahhMmmh! Wengine tunalala wenyewe mkuu.. Kuna siku nilishuhudia nyoka mkubwa akiwa ndani ya kaburi watu tukachangukana na kumuacha marehemu.. Cha Ajabu tuliporudi tukakuta nyuki ndani ya kaburi badala ya nyoka... Ilitokea HANDENI hili tukio lilinifanya niwe mtu wa kushtuka kwa miaka kadhaa
Naam ni kama kinywaji kila kiumbe ni lazima "akionje".Daaah!!!!Pole sana "Mauti ni mlango kila mtu/kiumbe lazima aupite"
Usiwe mwoga, usiwe mfirraji au mwenyewe tabia za mbwa.... Usiwe mtu wa kuzini, usiwe mchawi, usiwe mlevi, usiwe mwizi, usiwe msengenyaji, usitukane watu Hapa JF,usitongoze watu hapa JF kwa lengo la uzinzi, usiwe mwongo, usiwe......... .....