Kumbuka kuwa YESU alikusanya maelfu katika mahubiri yake lakini hakuwa na dhehebu tena yamekuja baadae sana na saidia walio wake wenye kimuabudu kwa haki na kweli ukimpa msaada muhasi ni kazi bure bora ucngejisumbua
Sasa marehemu anaona tena! Au unamanisha watu huona nini wanapokaribia kuaga dunia?? Kabla ya kufa huwezi mwita mtu marehemu..
Umewahi kui-experience hiyo hali?
Ukimcha MUNGU KWA ROHO NA KWELI utawajua walio wake na ndo ukiwasaidia utabarikiwaJapo sijakuelewa vizuri lakini umesoma vizuri watu waliotajwa wasaidiwe? Na ndio maana hakujatajwa dini wala dhehebu lolote, yametajwa matunda au matokeo ya matendo mema na sio jina la dini, ukiyafanya hayo yote wewe hauhitaji kujigamba kwa chochote!
.... Usiwe mtu wa kuzini, usiwe mchawi, usiwe mlevi, usiwe mwizi, usiwe msengenyaji, usitukane watu Hapa JF,usitongoze watu hapa JF kwa lengo la uzinzi, usiwe mwongo, usiwe......... .....
Ukimcha MUNGU KWA ROHO NA KWELI utawajua walio wake na ndo ukiwasaidia utabarikiwa
kwani EL anautukufu nae?![]()
![]()
![]()
usimtukane na kumdhihaki EL
Uko sahihi mkuu, yatupasa kutafakali sana mienendo yetu pamoja na roho zetu zipoje,.Niandikapo mistari hii kuna watu wanakufa wengine watakufa baadae wengine usiku mwingi dunia ikiwa tulivu wengine kesho na kuendelea...mbele yao nyuma yetu
Kitu cha kushangaza kutoka wale walionusurika kifo ni simulizi zao za yale waliyoyaona au kukutana nayo pale roho zilipokuwa katikati ya kuzimu na dunia.
Lakini pia habari nyingine zinasema kuwa watu wanapokuwa katika kipindi hicho,wengi
- huona maisha yao yakipita mbele ya macho yao kama sinema
-wengine mabaya yao hujifunua na kuyasimulia bila kujua
-wengine huomba msamaha
-wengine huomba msaada
-wengine hujiona wakienda mbali sana
Wengine huona moto, malaika au viumbe wa ajabu
Kwa ujumla wake hali hii huelezewa kama hari za kifo...ni kipindi kigumu mno kwa wale wanaokutana na hizi mambo.
Lakini kuna wengine hufa wakiwa usingizini kwa amani kabisa wala bila kujitambua kuwa wamekufa , hawa nyuso zao huonekana zimetulia kabisa ni kama wamelala.
Kitu cha ajabu ni wale wafao huku hari za kifo zikiwaandama nyuso hukunjamana na kubaki na maumivu hata baada ya roho kuachana na mwili.
Usiwe mtu wa vinyongo Usiwe mtu wa dhuluma Usiwe mtu wa visasi Usiwe mtu wa rohombaya, vitu hivi huzalisha roho zitakazokutesa mpaka kifo....kama una nyongo umezihifadhi tumboni jitahidi kuzitapika usiku huu..ya kesho huyajui
Wewe umeona hapo kamaanisha wingi?Hawa God's wapo wangapi? by the way don't believe everything u read.
Mshana Ww ni mtu wa rohoni sanaNiandikapo mistari hii kuna watu wanakufa wengine watakufa baadae wengine usiku mwingi dunia ikiwa tulivu wengine kesho na kuendelea...mbele yao nyuma yetu