Kwani unampango wa kufa hivi karibuni....Mshana Jr usiku wote huu tunatishana mkuu
wapo mkuu ambao kabla ya muda mfupi wa kufa huwa wanaaga na kuwapangia mikakati ya familia anayoiacha jinsi ya kuishiHahaha
Sasa unamaanisha mtu akianza kuota ota hayo
Aanze kuaga!!!
Eneo la kumsamehe mtu alikutenda Mabaya ni gumu sana lkn kama unaamini ktk MUNGU wa kweli hakuna namna Kama ni Mkristo soma Mathayo 6:14 na Mithali..4:23Kaka mshana mambo mengine hayasameheki wala hayasahauliki, sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi akiwa amejawa na kisasi Moyoni ni matokeo tu ya mambo yaliyowahimtokea
Nimecheka sana huyu ataina CUF ikiwa pembe ya Kitandamfano Jecha ataona nini
Eneo la kumsamehe mtu alikutenda Mabaya ni gumu sana lkn kama unaamini ktk MUNGU wa kweli hakuna namna Kama ni Mkristo soma Mathayo 6:14 na Mithali..4:23
Kwa kuongezea, nadhani Yesu aliposema ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke alikua anaongea kuhusu mateso makubwa ambayo ilitakiwa ayapate (kipigo na adhabu nyingine) ila hakua akiongea kuhusu kukata roho ..ikumbukwe aliyasema haya kabla hata hajakamatwaKwanza good morning Mc Zipompapompa
Hizi nyuzi mbili ni turning point ya kuondoka kwenye mambo ya kishirikina hasa kipindi hiki cha Kwaresma kuelekea kwenye eneo lingine la maisha na kifo katika uhalisia wake
Kwenye ile topic nyingine 'Sanaa ya kifo' bado hali ni ile ile hata kwa Yesu Kristo kwakuwa alivaa mwili wa binadamu...lakini kama unakumbuka vema yule mmojawapo aliyekuwa naye alisema 'Eee Bwana unikumbuke katika ufalme wako...' naye akamjibu ...'...nitakuwa nawe...'
Kwahiyo bado mantiki ni ile ile kikwazo na matisho ya kuvuka kizingiti cha kifo huwa kwa wote japo hawa waliangaziwa kuwa kuna mahali wanakwenda baada ya pale![]()
Tukija kwenye uzi huu hata Yesu alionja hari za kifo zile dakika za mwisho pale aliposema. ...eeh Baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke....lakini baadae anapopata ujasiri anwaombea wote waliomtesa kwa kusema eloi eloi lamazabikitani...Mungu wangu uwasamehe....
Ni kwanini Yesu Masiyah alionja uchungu na utungu wa kifo wakati hakuwa na mawaa? Ni kwakuwa alivaa mwili wa kibinadamu na kufanya yote aliyoyafanya na kufanyiwa ili andiko/unabii vitimie
Post ile ya sanaa ya kifo inaelezea maandalizi ya kifo na nini kitatokea baada ya kufa (mtihani wa kifo)
Post hii inadili na kile kipengele kimoja tuu ...dakika za mwisho roho inapotaka kuachana na mwili
![]()
Nikweli usemayo...kuwa watu Tumepitia magumu kweli kweli naunakuta mtu unaeamini wa karaibu mwisho wa siku anakuwa tanzi kwako anaharibu maisha yako....unajikuta unaanza Upya kila kitu kimekufa lkn huna namna sababu Unatakiwa ujue unapokuwa na BIFU na MTU Kumbuka sio nyie wawili mnaojua issue itajulikana na wengi so Utakapo taka Revange ujue pia na Impact yake usipoangalia utajikuta ..unazalisha tatizo jipya hukulitegemea...Huo mstari wa Mithali...unasema LINDA SANA MOYO WAKO KULIKO VYOTE ULINDAVYO MAANA NDIPO ZITOKAPO CHEM CHEM ZA UZIMA Kumbuka MOYO unatakiwa usibebe MTU kwasababu ukiwa muda wt unamuwaza MTU hakuna kitu kingine utafanya....so kusema ukweli ni NGUMU MNO kusamehe.....na sio kitu cha kuisha siku 1...Duuh....Sorry mkuu Mshana Jr OFF TOPICNamuamini Mungu lakini kuna mambo hata iweje hayasameheki na hata ukisema umesamehe bado ukikumbuka moyo unajaa uchungu mkuu sababu hayasahauliki ndugu yangu
Yes indeedRevenge is in God's hands ... Not yours.
Yakupasa kusamehe Mara saba sabini na kumwomba Mungu akupe wepesi dunia hii kuna vtu unaweza kutendewa vinauma mno ila yatupasa kusamehe ka yeye aliyetumbuumba hutusamehe makosa yetu. Usipo kuwa MTU wa kusamehe unajitaftia maradhi na kujiblockia baraka kwenye maisha.Namuamini Mungu lakini kuna mambo hata iweje hayasameheki na hata ukisema umesamehe bado ukikumbuka moyo unajaa uchungu mkuu sababu hayasahauliki ndugu yangu
Yakupasa kusamehe Mara saba sabini na kumwomba Mungu akupe wepesi dunia hii kuna vtu unaweza kutendewa vinauma mno ila yatupasa kusamehe ka yeye aliyetumbuumba hutusamehe makosa yetu. Usipo kuwa MTU wa kusamehe unajitaftia maradhi na kujiblockia baraka kwenye maisha.