Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,715
- 729,888
Niandikapo mistari hii kuna watu wanakufa wengine watakufa baadae wengine usiku mwingi dunia ikiwa tulivu wengine kesho na kuendelea...mbele yao nyuma yetu
Kitu cha kushangaza kutoka wale walionusurika kifo ni simulizi zao za yale waliyoyaona au kukutana nayo pale roho zilipokuwa katikati ya kuzimu na dunia.
Lakini pia habari nyingine zinasema kuwa watu wanapokuwa katika kipindi hicho,wengi
- huona maisha yao yakipita mbele ya macho yao kama sinema
-wengine mabaya yao hujifunua na kuyasimulia bila kujua
-wengine huomba msamaha
-wengine huomba msaada
-wengine hujiona wakienda mbali sana
Wengine huona moto, malaika au viumbe wa ajabu
Kwa ujumla wake hali hii huelezewa kama hari za kifo...ni kipindi kigumu mno kwa wale wanaokutana na hizi mambo.
Lakini kuna wengine hufa wakiwa usingizini kwa amani kabisa wala bila kujitambua kuwa wamekufa , hawa nyuso zao huonekana zimetulia kabisa ni kama wamelala.
Kitu cha ajabu ni wale wafao huku hari za kifo zikiwaandama nyuso hukunjamana na kubaki na maumivu hata baada ya roho kuachana na mwili.
Usiwe mtu wa vinyongo Usiwe mtu wa dhuluma Usiwe mtu wa visasi Usiwe mtu wa rohombaya, vitu hivi huzalisha roho zitakazokutesa mpaka kifo....kama una nyongo umezihifadhi tumboni jitahidi kuzitapika usiku huu..ya kesho huyajui