Watu huona nini wanapokaribia kufa?

Watu huona nini wanapokaribia kufa?

...
Usiwe mtu wa vinyongo Usiwe mtu wa dhuluma Usiwe mtu wa visasi Usiwe mtu wa rohombaya, vitu hivi huzalisha roho zitakazokutesa mpaka kifo....kama una nyongo umezihifadhi tumboni jitahidi kuzitapika usiku huu..ya kesho huyajui

"Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu". Yakobo 1:27
 
Kaka mshana mambo mengine hayasameheki wala hayasahauliki, sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi akiwa amejawa na kisasi Moyoni ni matokeo tu ya mambo yaliyowahimtokea
 
All in all.... SIRI ZOTE ANAZIJUA MAREHEMU
 
Back
Top Bottom