Watu hawakumuelewa Rais Magufuli

Watu hawakumuelewa Rais Magufuli

Kwa sasa Mgufuli bora a suspend katiba na kuongoza kutoka kichwani mwake, siyo?

Katiba nayo ni kiasi na mizani.
Aliyezipa uhuru mwingi siasa pamoja na masuala ya katiba, mwishoni alilazimika kujitetea huku akilalamika siku ile ya uhuru wakati akifanya usafi pale chalinze. Katiba ipo lakini tunahitaji pia rais asiyekuwa mwepesi kuingilika, ambaye yupo tayari kusimamia katika kile anachokiamini. Na watu ambao wanafanya kazi na rais kwa sasa, wanasema ni mtu straight forward, hapindishi kauli zake. Ndio tunayemhitaji kwa sasa. Hao waungwana tumeona ni bora wakae pembeni waone ni jinsi gani kazi ya uongozi wa nchi inavyotakiwa kufanywa.
 
Hata mm nimeshangaa kwa mwanasheria kama Tundu Lisu anashindwa kuelewa jambo hili na yy anaingia ktk mkumbo wa wasiomwelewa rais Magufuli! shame on him Lisu,,,anafuata maneno ya mitandaoni ambayo ymepotoshwa,anashindwa kuifatilia hotuba nzima ili kujiridhisha kuliko kukurupuka kweli upinzani ni sometimes ni ujinga tu!!
Halafu kwa baadhi ya watu jamaa ni idol, hapo ndio ujue kuwa nchi hii imejaa vilaza.
 
Aliyezipa uhuru mwingi siasa pamoja na masuala ya katiba, mwishoni alilazimika kujitetea huku akilalamika siku ile ya uhuru wakati akifanya usafi pale chalinze. Katiba ipo lakini tunahitaji pia rais asiyekuwa mwepesi kuingilika, ambaye yupo tayari kusimamia katika kile anachokiamini. Na watu ambao wanafanya kazi na rais kwa sasa, wanasema ni mtu straight forward, hapindishi kauli zake. Ndio tunayemhitaji kwa sasa. Hao waungwana tumeona ni bora wakae pembeni waone ni jinsi gani kazi ya uongozi wa nchi inavyotakiwa kufanywa.
Mtu straight forward asingeweza kuwa waziri chini ya Kikwete miaka yote hiyo.

Sema jingine.
 
Unajua aligombana mara ngapi na Kikwete?, unajua kuwa ni Lowassa aliyemwambia Kikwete asiliondoe jina la Magufuli kwenye baraza la mawaziri?. Uliwahi kumsikia Mkapa au Kikwete wakisema hadharani sababu za kuwafukuza kazi wakuu wa mikoa au wilaya?.
 
Hayo yote hayaondoi ukweli kwamba alikuwa katika serikali ya Kikwete kwa miaka yote kumi.

Kapindisha zoezi la kuuza nyumba za umma mpaka mdogo wake na kimada wake wameuziwa nyumba za serikali ingawa hawakuwa wafanyakazi wa umma.

Utasemaje huyu ni mtu straightforward?
 
Maendeleo hayakukuti ukiwa umezubaa ndugu komaa na kazi nyingi tu zipo mtaani tatizo huwa mtaka maendeleo huku mmetanguliza uvivu eti ambaye hasitaili kazi za kiofisi zinazotumia mental skill anajishebedua na yeye ajinafasi watanzania na ujuaji amtafika kama hukusoma fanya kazi zile zinazostaili kisheria na waliosoma vivyo hivyo acheni ujinga na uvyama hayo maswala yalishaisha kwenye uchaguzi shauri zetu
 
Hayo yote hayaondoi ukweli kwamba alikuwa katika serikali ya Kikwete kwa miaka yote kumi.

Kapindisha zoezi la kuuza nyumba za umma mpaka mdogo wake na kimada wake wameuziwa nyumba za serikali ingawa hawakuwa wafanyakazi wa umma.

Utasemaje huyu ni mtu straightforward?
Ukimchunguza sana samaki huwezi kumla. Issue ya nyumba ukumbuke alikuwa waziri tu bosi wake alikuwa Sumaye ambaye nae alitaka kuwa rais tena mara mbili. Ulitaka asiwe katika serikali ya Kikwete halafu aweze kupata uhalali wa kuwa mgombea wa CCM?, angeweza vipi kuupata urais akiwa mgombea huru?. Hayo maovu yote anayoyafahamu kwa sasa angeweza vipi kuyajua bila ya kuitumika awamu ya Kikwete?. Kumbuka alikuwa waziri wa awamu ya tatu. Unaweza kuwa humkubali lakini hiyo haifuti ukweli kwamba jamaa ni jemba la ukweli. Huyu sio mwanasiasa, na kama unapenda marais wanasiasa basi itabidi usubiri mpaka atakapostaafu.
 
Kule korea ya kaskazini kuna makambi maalumu ambako wazurulaji hupeleka kwenda kufanya kazi,kwakweli ni utaratibu mzuri sana na unaifanya nchi ijitegemee kiuchumi
 
Habari wana JF
Jana Rais Magufuli aliwahutubia kwa muda mfupi wakuu wa mikoa baada ya kuwaapisha. Rais aliongea mambo machache lakini yaliyobeba maana kubwa kuhusu uwajibikaji na watu kufanya kazi hasa akitia msisitizo kuwa tumeshachelewakwa kuwa haya yalitakiwa kuanza miaka kumi iliyopita.
Ni ukweli uliyodhahiri kuwa tumechelewa tena sana kutokana na nchi yetu iliyojaliwa kuwa na raslimali nyingi pamoja na ardhi kubwa yenye rutuba.
Jambo la kushangaza watu wameibuka na kauli mbalimbali wakiwemo wanasiasa, ambazo zimebadili maana halisi iliyokuwa kwenye baadhi ya maneno ya Mh. Rais.

Mh. Rais aliwaambia ma-RC "kuna watendaji wengine kazi yao ni kuwanyanyasa wananchi nendeni mkawashughulikie. Nyinyi mna mamlaka ya kumweka mtu ndani masaa 48, wawekeni ndani ili wawaheshimu wananchi". Lakini kauli hii imepindishwa na watu, hata wengine wakisema wakuu wa mikoa wameagizwa waende kuwakamata vijana wasiokuwa na kazi!
Hivi kweli hawa wakuu wa mikoa ni watu wasiojitambua ambao wanaweza kuitumia sheria inayowapa mamlaka hayo kuwaonea watu wasiokuwa na hatia?

Jambo jingine ambalo linapotoshwa ni kauli ya Rais kuzuia watu kucheza pool table asubuhi na kuwataka vijana kufanya kazi badala ya kuzurura pale alipokazia kuwa ikiwezekana walazimishwe kufanya kazi kwenye kambi maalum.
Watanzania wenzangu hivi ni kutokufuatilia sheria au ni upotoshaji wa makusudi? Niwaulize wanasheria akina Tundu Lissu, sheria inasemaje kuhusu muda wa kufungua bar na sehemu mbalimbali za starehe? Sheria inasemaje kuhusu uzembe na uzurulaji?
Mimi sioni kama mh. Rais ametunga sheria mpya ya kwake bali anasimamia sheria ambazo zilikosa usimamizi ambazo leo ni matokeo yaliyozalisha makundi ya vibaka mitaani.

Hapa Tanzania haiingii akilini kwa mtu anayejua hasa kutumia zile dutu nyeupe zilizo katika fuvu la kichwa ukimwambia hakuna kitu chochote cha kufanya kukuingizia kipato. Huko ni kukosa ubunifu na kuyaacha mambo yaende kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Katika nchi iliyo na ardhi zaidi ya 70% haijakaliwa na watu wala haimilikiwi na mtu. Ardhi ni mtaji wa kwanza kwa sababu juu ya ardhi ndipo kila kitu kinafanyika.

Kila Mtanzania aliye na akili timamu kutoka moyoni mwake ukiacha anachokisema mdomoni ili kuwahadaa, anajua kuwa sasa hivi vijana wengi wamekuwa wavivu hawataki kazi ngumu, wamekuwa ni watu wanaotaka kuvuna wasipopanda. Kiasilia hilo jambo halipo wala haliwezekani, hata Simba porini anapambana kupata mawindo.

Rai yangu kwa Watanzania wenzangu, acheni kupotosha maana halisi ya maneno ya Mh. Rais ambaye ameonesha uthubutu wa kukemea maovu yaliyokuwa yameshamiri hapa nchini. Ili Tanzania isonge mbele hata tufikie katika huo uchumi wa kati, haina budi kila Mtanzania kutimiza wajibu wake kwa moyo wa uzalendo, na si kukosoa kila jambo ilimradi kila mtu aonekane anajua kuliko mwenzie.
Wanasiasa wa vyama vya upinzani acheni kuwa na roho zilizojawa na hamu na maombi ya kuiombea serikali ishindwe mpate mashiko katika uchaguzi ujao. Hivyo mtakuwa na malengo ya kushika dola tu na si kutaka Tanzania iendelee. Kwani Nchi inaweza endelezwa na yeyote na chama chochote.

Nahitimisha kwa kusema nchi ilipofikia haitaji tena siasa wala kubembelezana, sasa twende kwa mwendo wowote ikibidi hata kukimbia ilimradi tufike.
cjawah ckia tafiti iliofanywa ikaeleza kuwa kucheza pool table ndo kunakozorotesha maendeleo ya nchi hii,kwanza pool table zenyew unatoa hela ndo ucheze,ilisemwa kwamba watafufua viwanda watu wakapige kazi huko tupunguze tatizo la ajira,ila kwa sasa naona hzo habr zmekufa tunaanza watafuta wacheza pool na kuongelea habari za makambi ya kulima kwa lazima..hii nchi watu wanaifanyia trial and error!!
 
Niwanda siyo swala la kusema leo kesho vikaota ni process. Ni kweli hakujafanyika utafiti lakini pool table na vingine vinavyofanana hayo vinalemaza vijana.
 
Habari wana JF
Jana Rais Magufuli aliwahutubia kwa muda mfupi wakuu wa mikoa baada ya kuwaapisha. Rais aliongea mambo machache lakini yaliyobeba maana kubwa kuhusu uwajibikaji na watu kufanya kazi hasa akitia msisitizo kuwa tumeshachelewakwa kuwa haya yalitakiwa kuanza miaka kumi iliyopita.
Ni ukweli uliyodhahiri kuwa tumechelewa tena sana kutokana na nchi yetu iliyojaliwa kuwa na raslimali nyingi pamoja na ardhi kubwa yenye rutuba.
Jambo la kushangaza watu wameibuka na kauli mbalimbali wakiwemo wanasiasa, ambazo zimebadili maana halisi iliyokuwa kwenye baadhi ya maneno ya Mh. Rais.

Mh. Rais aliwaambia ma-RC "kuna watendaji wengine kazi yao ni kuwanyanyasa wananchi nendeni mkawashughulikie. Nyinyi mna mamlaka ya kumweka mtu ndani masaa 48, wawekeni ndani ili wawaheshimu wananchi". Lakini kauli hii imepindishwa na watu, hata wengine wakisema wakuu wa mikoa wameagizwa waende kuwakamata vijana wasiokuwa na kazi!
Hivi kweli hawa wakuu wa mikoa ni watu wasiojitambua ambao wanaweza kuitumia sheria inayowapa mamlaka hayo kuwaonea watu wasiokuwa na hatia?

Jambo jingine ambalo linapotoshwa ni kauli ya Rais kuzuia watu kucheza pool table asubuhi na kuwataka vijana kufanya kazi badala ya kuzurura pale alipokazia kuwa ikiwezekana walazimishwe kufanya kazi kwenye kambi maalum.
Watanzania wenzangu hivi ni kutokufuatilia sheria au ni upotoshaji wa makusudi? Niwaulize wanasheria akina Tundu Lissu, sheria inasemaje kuhusu muda wa kufungua bar na sehemu mbalimbali za starehe? Sheria inasemaje kuhusu uzembe na uzurulaji?
Mimi sioni kama mh. Rais ametunga sheria mpya ya kwake bali anasimamia sheria ambazo zilikosa usimamizi ambazo leo ni matokeo yaliyozalisha makundi ya vibaka mitaani.

Hapa Tanzania haiingii akilini kwa mtu anayejua hasa kutumia zile dutu nyeupe zilizo katika fuvu la kichwa ukimwambia hakuna kitu chochote cha kufanya kukuingizia kipato. Huko ni kukosa ubunifu na kuyaacha mambo yaende kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Katika nchi iliyo na ardhi zaidi ya 70% haijakaliwa na watu wala haimilikiwi na mtu. Ardhi ni mtaji wa kwanza kwa sababu juu ya ardhi ndipo kila kitu kinafanyika.

Kila Mtanzania aliye na akili timamu kutoka moyoni mwake ukiacha anachokisema mdomoni ili kuwahadaa, anajua kuwa sasa hivi vijana wengi wamekuwa wavivu hawataki kazi ngumu, wamekuwa ni watu wanaotaka kuvuna wasipopanda. Kiasilia hilo jambo halipo wala haliwezekani, hata Simba porini anapambana kupata mawindo.

Rai yangu kwa Watanzania wenzangu, acheni kupotosha maana halisi ya maneno ya Mh. Rais ambaye ameonesha uthubutu wa kukemea maovu yaliyokuwa yameshamiri hapa nchini. Ili Tanzania isonge mbele hata tufikie katika huo uchumi wa kati, haina budi kila Mtanzania kutimiza wajibu wake kwa moyo wa uzalendo, na si kukosoa kila jambo ilimradi kila mtu aonekane anajua kuliko mwenzie.
Wanasiasa wa vyama vya upinzani acheni kuwa na roho zilizojawa na hamu na maombi ya kuiombea serikali ishindwe mpate mashiko katika uchaguzi ujao. Hivyo mtakuwa na malengo ya kushika dola tu na si kutaka Tanzania iendelee. Kwani Nchi inaweza endelezwa na yeyote na chama chochote.

Nahitimisha kwa kusema nchi ilipofikia haitaji tena siasa wala kubembelezana, sasa twende kwa mwendo wowote ikibidi hata kukimbia ilimradi tufike.
hayo mambo ya kukusanya watu wakalime yalikuwepo enzi za USSR..tengenezen mazingira ya watu kupata ajira coz watu wamehitimu vyuoni ajira hamna hata mikopo yenyew hawana sifa za kupata so hawataweza hata kujiajiri..tatizo la ajira haliwez tatuliwa kwa kupelek watu kambin wakalime labda kama tuntaka dunia ijifunze kupitia kwetu
 
Ukimchunguza sana samaki huwezi kumla. Issue ya nyumba ukumbuke alikuwa waziri tu bosi wake alikuwa Sumaye ambaye nae alitaka kuwa rais tena mara mbili. Ulitaka asiwe katika serikali ya Kikwete halafu aweze kupata uhalali wa kuwa mgombea wa CCM?, angeweza vipi kuupata urais akiwa mgombea huru?. Hayo maovu yote anayoyafahamu kwa sasa angeweza vipi kuyajua bila ya kuitumika awamu ya Kikwete?. Kumbuka alikuwa waziri wa awamu ya tatu. Unaweza kuwa humkubali lakini hiyo haifuti ukweli kwamba jamaa ni jemba la ukweli. Huyu sio mwanasiasa, na kama unapenda marais wanasiasa basi itabidi usubiri mpaka atakapostaafu.
Unabadilisha maneno kutoka straightforward mpka jembe la ukweli?

Straightforward maana yake ni mtu anayeuza nyumba za serikali kwa kimada na mdogo wake bila kufuata utaratibu?

Kauza nyumba za serikali kwa watu ambao hata hawakuwa wafanyakazi wa seikali.

Huyu ndiye straightforward wako?
 
Umeshajiuliza ninkwa nini watu wanauwana kwa sababunya ardhi kama ingekuwa ipo na bure kaa mujibu wa maelezomyako.
 
Unabadilisha maneno kutoka straightforward mpka jembe la ukweli?

Straightforward maana yake ni mtu anayeuza nyumba za serikali kwa kimada na mdogo wake bila kufuata utaratibu?

Kauza nyumba za serikali kwa watu ambao hata hawakuwa wafanyakazi wa seikali.

Huyu ndiye straightforward wako?
Waliompigia kura wanayajua yote hayo, lakini inaonekana kuwa madhambi yake ni machache kuliko uwezo wake. Hakuna mkamilifu chini ya jua, lakini JPM ana afadhali mara mia moja kuliko wengi ambao kwa mawazo yako wangefaa kuchaguliwa nafasi ya urais. Tukianza kuyachambua mafaili ya wanasiasa hatutakuta msafi hata mmoja. Obama alivuta bangi shuleni, Bush alianzisha vita ya Iraq,Magufuli ni mtu straight forward na ndiye anyeifaa nchi iliyoharibiwa na siasa za kinafiki. Lakini cha ajabu pamoja na kashfa hiyo ya nyumba ambayo yeye alikuwa ni waziri tu mtekelezaji aliyekuwa chini ya Sumaye na Mkapa, bado anao ujasiri wa kuzuia wafanyakazi wa serikali wasiende nje, bado anaweza kuthubutu kufanya jambo bila ya kuitazama sura ya mtu.
 
Habari wana JF
Jana Rais Magufuli aliwahutubia kwa muda mfupi wakuu wa mikoa baada ya kuwaapisha. Rais aliongea mambo machache lakini yaliyobeba maana kubwa kuhusu uwajibikaji na watu kufanya kazi hasa akitia msisitizo kuwa tumeshachelewakwa kuwa haya yalitakiwa kuanza miaka kumi iliyopita.
Ni ukweli uliyodhahiri kuwa tumechelewa tena sana kutokana na nchi yetu iliyojaliwa kuwa na raslimali nyingi pamoja na ardhi kubwa yenye rutuba.
Jambo la kushangaza watu wameibuka na kauli mbalimbali wakiwemo wanasiasa, ambazo zimebadili maana halisi iliyokuwa kwenye baadhi ya maneno ya Mh. Rais.

Mh. Rais aliwaambia ma-RC "kuna watendaji wengine kazi yao ni kuwanyanyasa wananchi nendeni mkawashughulikie. Nyinyi mna mamlaka ya kumweka mtu ndani masaa 48, wawekeni ndani ili wawaheshimu wananchi". Lakini kauli hii imepindishwa na watu, hata wengine wakisema wakuu wa mikoa wameagizwa waende kuwakamata vijana wasiokuwa na kazi!
Hivi kweli hawa wakuu wa mikoa ni watu wasiojitambua ambao wanaweza kuitumia sheria inayowapa mamlaka hayo kuwaonea watu wasiokuwa na hatia?

Jambo jingine ambalo linapotoshwa ni kauli ya Rais kuzuia watu kucheza pool table asubuhi na kuwataka vijana kufanya kazi badala ya kuzurura pale alipokazia kuwa ikiwezekana walazimishwe kufanya kazi kwenye kambi maalum.
Watanzania wenzangu hivi ni kutokufuatilia sheria au ni upotoshaji wa makusudi? Niwaulize wanasheria akina Tundu Lissu, sheria inasemaje kuhusu muda wa kufungua bar na sehemu mbalimbali za starehe? Sheria inasemaje kuhusu uzembe na uzurulaji?
Mimi sioni kama mh. Rais ametunga sheria mpya ya kwake bali anasimamia sheria ambazo zilikosa usimamizi ambazo leo ni matokeo yaliyozalisha makundi ya vibaka mitaani.

Hapa Tanzania haiingii akilini kwa mtu anayejua hasa kutumia zile dutu nyeupe zilizo katika fuvu la kichwa ukimwambia hakuna kitu chochote cha kufanya kukuingizia kipato. Huko ni kukosa ubunifu na kuyaacha mambo yaende kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Katika nchi iliyo na ardhi zaidi ya 70% haijakaliwa na watu wala haimilikiwi na mtu. Ardhi ni mtaji wa kwanza kwa sababu juu ya ardhi ndipo kila kitu kinafanyika.

Kila Mtanzania aliye na akili timamu kutoka moyoni mwake ukiacha anachokisema mdomoni ili kuwahadaa, anajua kuwa sasa hivi vijana wengi wamekuwa wavivu hawataki kazi ngumu, wamekuwa ni watu wanaotaka kuvuna wasipopanda. Kiasilia hilo jambo halipo wala haliwezekani, hata Simba porini anapambana kupata mawindo.

Rai yangu kwa Watanzania wenzangu, acheni kupotosha maana halisi ya maneno ya Mh. Rais ambaye ameonesha uthubutu wa kukemea maovu yaliyokuwa yameshamiri hapa nchini. Ili Tanzania isonge mbele hata tufikie katika huo uchumi wa kati, haina budi kila Mtanzania kutimiza wajibu wake kwa moyo wa uzalendo, na si kukosoa kila jambo ilimradi kila mtu aonekane anajua kuliko mwenzie.
Wanasiasa wa vyama vya upinzani acheni kuwa na roho zilizojawa na hamu na maombi ya kuiombea serikali ishindwe mpate mashiko katika uchaguzi ujao. Hivyo mtakuwa na malengo ya kushika dola tu na si kutaka Tanzania iendelee. Kwani Nchi inaweza endelezwa na yeyote na chama chochote.

Nahitimisha kwa kusema nchi ilipofikia haitaji tena siasa wala kubembelezana, sasa twende kwa mwendo wowote ikibidi hata kukimbia ilimradi tufike.

Unaandika kama umelewa pombe ya chimpumu.

Kama una uthubutu, muulize bwana pombe juu ya ununuzi wa kivuko cha bagamoyo; na juu ya uuzwaji wa nyumba za serikali. Halafu uyapime majibu yake (kama utayapata).
 
Waliompigia kura wanayajua yote hayo, lakini inaonekana kuwa madhambi yake ni machache kuliko uwezo wake. Hakuna mkamilifu chini ya jua, lakini JPM ana afadhali mara mia moja kuliko wengi ambao kwa mawazo yako wangefaa kuchaguliwa nafasi ya urais. Tukianza kuyachambua mafaili ya wanasiasa hatutakuta msafi hata mmoja. Obama alivuta bangi shuleni, Bush alianzisha vita ya Iraq,Magufuli ni mtu straight forward na ndiye anyeifaa nchi iliyoharibiwa na siasa za kinafiki. Lakini cha ajabu pamoja na kashfa hiyo ya nyumba ambayo yeye alikuwa ni waziri tu mtekelezaji aliyekuwa chini ya Sumaye na Mkapa, bado anao ujasiri wa kuzuia wafanyakazi wa serikali wasiende nje, bado anaweza kuthubutu kufanya jambo bila ya kuitazama sura ya mtu.
Waliompigia kura wengine wanafikiri Nyerere rais bado, wanajua nini?

Unafahamu kwamba theluthi ya Watanzania ni illiterates?

Hao wengi ambao kwa mawazo yangu wangefaa kuwa rais ni kina nani na umewajuaje?

Kuuza nyumba za serikali kwa ndugu yake na hawara wake ambao hata si wafanyakazi wa serikali ndiyo kuwa straightforward?

Kama ni hivyo, yeye ana tofauti gani na uozo mwingine uliopo kwa viongozi wa serikalini?
 
Ni sheria ya uzembe na uzurulaji. Kwani kucheza pool table asubuhi kijana siyo uzembe?
Teh....sheria ya uzembe ndiyo inayopanga muda wa kucheza pool ........hii kali
Halafu jiulize uzembe ni nini
 
Waliompigia kura wengine wanafikiri Nyerere rais bado, wanajua nini?

Unafahamu kwamba theluthi ya Watanzania ni illiterates?

Hao wengi ambao kwa mawazo yangu wangefaa kuwa rais ni kina nani na umewajuaje?

Kuuza nyumba za serikali kwa ndugu yake na hawara wake ambao hata si wafanyakazi wa serikali ndiyo kuwa straightforward?

Kama ni hivyo, yeye ana tofauti gani na uozo mwingine uliopo kwa viongozi wa serikalini?
Ana tofauti kubwa sana na uozo mwingine, mahakama ya mafisadi inakaribia kuanza kazi. Itakapoanza kuwafunga wezi wa kwenye wizara na halmashauri ndipo utakapoijua tofauti yake na hao wengine ambao wewe unaona wanafaa kupewa Ikulu. Suala la yeye kumpatia nyumba kimada au ndugu zake, haliwezi kuwa ni doa kwa mtu ambaye anawawazia masikini walio wengi. Siku zote kiongozi anayewafikiria watu wa hali ya chini, hukumbukwa daima kwani huacha legacy. JPM anakwenda kuacha legacy, ndio maana alipoomba kuombewa watu wakamuelewa, kila siku pale saint Joseph katika maombi ya waumini, pia lipo ombi maalum kwa ajili ya rais. Hawa wanaomuombea wanajua kuwa kashfa ya kuuza nyumba ni ndogo kuliko uwezo wa kudeliver alionao Magufuli.

Akili za kuita watu illiterates kwa sababu wewe umepata elimu ya chuo kikuu, unaishi kwenye nyumba nzuri, una simu nzuri, zinaweza kukupatia laana mbaya sana. Hao hao wasio na elimu ndio waliowazaa na kuwasomesha baba na mama zetu ambao na wao wakaamua kutusomesha sisi, my friend be careful with your words.
 
Tatizo letu Watanzania tuna very low standards.

Mtu anakutia kidole cha mkundu, unamsifia, angalau huyu hakunibaka. Huyu ni straightforward.
 
Nimekuwa nikiongea na wewe kwa muda mrefu nikidhania kuwa naongea na mtu mwenye akili timamu, kumbe naongea na punguani anayetembea uchi barabarani. Mwenye high standards hawezi kuwa na fantasy zake kichwani kuhusiana na rais. Reality tuliyonayo ni kwamba rais wa awamu ya tano ni JPM, iwe unataka au hutaki.

Huo mchezo wa kutiwa vidole sehemu ya kujambia, inaonekana unafanyiwa sana huko mitaani kiasi ambacho huna hata aibu za kistaarabu, unamwaga siri zako hadharani. Nyinyi ndio wasomi wa mijini, hopeless generation, mkishapata degree zenu za magumashi mnaona kama vile mmeshakuwa na uelewa wa kipekee kuhusiana na kila issue. Mnaanza kuwadharau babu na bibi zetu wanaoishi vijijini kwa sababu ya maisha artificial mnayoishi Dar. Mnasahau kwamba kama wangeamua kutowasomesha wazazi wenu leo hii mngekuwa mnatembea uchi huko vijijini mkiwa hamna matumaini yoyote ya maisha yenye neema. A bunch of bastards.
 
Back
Top Bottom