Watu hawakumuelewa Rais Magufuli

Watu hawakumuelewa Rais Magufuli

Binafsi huu upande Wa Pili walishakosa hoja wanaposema Magufuli hana vision nafikiri wao ndo hawana vision kabisa yaani wamebakiza Jambo moja tu kudandia hoja Na kuzipindisha pindisha ili wabakie Na umaarufu.mie kwenyewe baada ya kuusikiliza Ile hotuba Na mapovu waliyokua wanatoa ni vitu 2 tofauti.
 
Kwa bahati mbaya au sijui niite bahati nzuri huku mitaani wananchi wamefurahishwa sana na ile hotuba fupi ya rais.

Rais akizungumza unaona nyuso za furaha kwa wananchi na wengi wanasogelea TV au redio kumsikiliza.

Ni kweli hata mimi nimeona. Jana mida ya usiku nilipita kwenye kijiwe changu nikawakuta vijana wenzangu wamekusanyika wakijadili, wengi niliwaona kufurahishwa saana na hotuba ya Rais Magufuli, zaidi walipenda pale Rais aliposema, "Ikiwezekana
walazimishwe kufanya kazi kwenye kambi maalum."
 
Kuna mmoja juzi kasema hivi "Sisi wana UKAWA tutaanza kuyaamini mabadiliko chini ya magufuli endapo tu ataanza kushughulikia waizi wa ESCROW MEREMETA EPA bila kumsahau fisadi wetu mkuu LOWASA na lirichmond lake"
 
Habari wana JF
Jana Rais Magufuli aliwahutubia kwa muda mfupi wakuu wa mikoa baada ya kuwaapisha. Rais aliongea mambo machache lakini yaliyobeba maana kubwa kuhusu uwajibikaji na watu kufanya kazi hasa akitia msisitizo kuwa tumeshachelewakwa kuwa haya yalitakiwa kuanza miaka kumi iliyopita.
Ni ukweli uliyodhahiri kuwa tumechelewa tena sana kutokana na nchi yetu iliyojaliwa kuwa na raslimali nyingi pamoja na ardhi kubwa yenye rutuba.
Jambo la kushangaza watu wameibuka na kauli mbalimbali wakiwemo wanasiasa, ambazo zimebadili maana halisi iliyokuwa kwenye baadhi ya maneno ya Mh. Rais.

Mh. Rais aliwaambia ma-RC "kuna watendaji wengine kazi yao ni kuwanyanyasa wananchi nendeni mkawashughulikie. Nyinyi mna mamlaka ya kumweka mtu ndani masaa 48, wawekeni ndani ili wawaheshimu wananchi". Lakini kauli hii imepindishwa na watu, hata wengine wakisema wakuu wa mikoa wameagizwa waende kuwakamata vijana wasiokuwa na kazi!
Hivi kweli hawa wakuu wa mikoa ni watu wasiojitambua ambao wanaweza kuitumia sheria inayowapa mamlaka hayo kuwaonea watu wasiokuwa na hatia?

Jambo jingine ambalo linapotoshwa ni kauli ya Rais kuzuia watu kucheza pool table asubuhi na kuwataka vijana kufanya kazi badala ya kuzurura pale alipokazia kuwa ikiwezekana walazimishwe kufanya kazi kwenye kambi maalum.
Watanzania wenzangu hivi ni kutokufuatilia sheria au ni upotoshaji wa makusudi? Niwaulize wanasheria akina Tundu Lissu, sheria inasemaje kuhusu muda wa kufungua bar na sehemu mbalimbali za starehe? Sheria inasemaje kuhusu uzembe na uzurulaji?
Mimi sioni kama mh. Rais ametunga sheria mpya ya kwake bali anasimamia sheria ambazo zilikosa usimamizi ambazo leo ni matokeo yaliyozalisha makundi ya vibaka mitaani.

Hapa Tanzania haiingii akilini kwa mtu anayejua hasa kutumia zile dutu nyeupe zilizo katika fuvu la kichwa ukimwambia hakuna kitu chochote cha kufanya kukuingizia kipato. Huko ni kukosa ubunifu na kuyaacha mambo yaende kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Katika nchi iliyo na ardhi zaidi ya 70% haijakaliwa na watu wala haimilikiwi na mtu. Ardhi ni mtaji wa kwanza kwa sababu juu ya ardhi ndipo kila kitu kinafanyika.

Kila Mtanzania aliye na akili timamu kutoka moyoni mwake ukiacha anachokisema mdomoni ili kuwahadaa, anajua kuwa sasa hivi vijana wengi wamekuwa wavivu hawataki kazi ngumu, wamekuwa ni watu wanaotaka kuvuna wasipopanda. Kiasilia hilo jambo halipo wala haliwezekani, hata Simba porini anapambana kupata mawindo.

Rai yangu kwa Watanzania wenzangu, acheni kupotosha maana halisi ya maneno ya Mh. Rais ambaye ameonesha uthubutu wa kukemea maovu yaliyokuwa yameshamiri hapa nchini. Ili Tanzania isonge mbele hata tufikie katika huo uchumi wa kati, haina budi kila Mtanzania kutimiza wajibu wake kwa moyo wa uzalendo, na si kukosoa kila jambo ilimradi kila mtu aonekane anajua kuliko mwenzie.
Wanasiasa wa vyama vya upinzani acheni kuwa na roho zilizojawa na hamu na maombi ya kuiombea serikali ishindwe mpate mashiko katika uchaguzi ujao. Hivyo mtakuwa na malengo ya kushika dola tu na si kutaka Tanzania iendelee. Kwani Nchi inaweza endelezwa na yeyote na chama chochote.

Nahitimisha kwa kusema nchi ilipofikia haitaji tena siasa wala kubembelezana, sasa twende kwa mwendo wowote ikibidi hata kukimbia ilimradi tufike.
Hawa jamaa wanapotosha kwa makusudi ili wapate chochote cha kusema. Ila pamoja na upotoshaji huo, wananchi mitaani wameelewa vizuri sana alchosema rais. Anayebisha akafanye utafiti kwa wananchi atashangaa. Kwa hiyo, wanaotaka cheap popularity wapuuzwe tu.
 
Sheria gani inayopanga muda Wa kucheza pool?
Usikimbilie ya uzururaj, haihusu
 
..Raisi anakosea kutoa kauli za VITISHO.

..pia kuwahimiza ma-rc na ma-dc kuwasweka mahabusu kwa masaa 48 watendaji wa serikali kunaweza kusababisha uonevu kwa wananchi wasio na hatia.

..zaidi utaratibu na pilikapilika za kukamata vijana wasio na kazi siyo jambo jipya hapa nchini. But one thing has remained constant, utaratibu huo haujawahi kutatua tatizo la uzururaji ambalo linasababishwa na ukosefu wa ajira.

..uchumi wetu, kutokana na sera mbovu za ccm, hauzalishi ajira za kutosha na zinazovutia kwa vijana wetu na hi yo kusababisha wazurure mitaani. Sijui kama unakumbuka tukio la vijana kujaa uwanja wa taifa wakati idara ya uhamiaji ilipotangaza nafasi za kazi.

..kwa hiyo Raisi na watendaji wake warudi kwenye drawing board na kuja na mikakati ya kupambana na tatizo la UKOSEFU WA AJIRA.
Sidhani kama Rais anatoa vitisho labda ni mtazamo tu.
Kuhusu vijana kujazana uwanja wa ndege kwa ajili ya interview, hii ni kutokana na tafsiri ya kile tunachokisoma darasani. Watu hawawezi kuyatumia maarifa waliyoyapata darasani katika real world.
Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake "Rich Dad Poor Dad" anasema " The world is changing but an advice is not changing, parents still tell their children; go to school, get good grades and you will get a good and secure job".
 
..Raisi anakosea kutoa kauli za VITISHO.

..pia kuwahimiza ma-rc na ma-dc kuwasweka mahabusu kwa masaa 48 watendaji wa serikali kunaweza kusababisha uonevu kwa wananchi wasio na hatia.

..zaidi utaratibu na pilikapilika za kukamata vijana wasio na kazi siyo jambo jipya hapa nchini. But one thing has remained constant, utaratibu huo haujawahi kutatua tatizo la uzururaji ambalo linasababishwa na ukosefu wa ajira.

..uchumi wetu, kutokana na sera mbovu za ccm, hauzalishi ajira za kutosha na zinazovutia kwa vijana wetu na hi yo kusababisha wazurure mitaani. Sijui kama unakumbuka tukio la vijana kujaa uwanja wa taifa wakati idara ya uhamiaji ilipotangaza nafasi za kazi.

..kwa hiyo Raisi na watendaji wake warudi kwenye drawing board na kuja na mikakati ya kupambana na tatizo la UKOSEFU WA AJIRA.

HOPO KWENYE BOLD, RAIS ALISEMA WATENDAJI WANAOWANYANYASA WANANCHI WASEKWE NDANI, WEWE UNASEMA UONEVU KWA WANANCHI TENA JAMAN AU RAIS ANAWANANCHI WAKE NA WEWE UNAO WAKWAKO????

KUNA WATENDAJI UWEZI PATA UDUMA BILA KUTOA KITU KIDOGO, AU KM WEWE NI MASKINI AKUSIKILIZI, HAWA NDIO WANONYANYASA WANANCHI NDIO MAANA RAIS KASEMA WAWEKWE NDANI
 
Sheria gani inayopanga muda Wa kucheza pool?
Usikimbilie ya uzururaj, haihusu
Pool table ni aina gani wa mchezo na unapatikana hasa wapi? Tuanzie kwanza hapo.
 
Binafsi huu upande Wa Pili walishakosa hoja wanaposema Magufuli hana vision nafikiri wao ndo hawana vision kabisa yaani wamebakiza Jambo moja tu kudandia hoja Na kuzipindisha pindisha ili wabakie Na umaarufu.mie kwenyewe baada ya kuusikiliza Ile hotuba Na mapovu waliyokua wanatoa ni vitu 2 tofauti.
Sijui ni kukosa umakini wa kusikiliza au ni kufanya makusudi.
 
..Raisi anakosea kutoa kauli za VITISHO.

..pia kuwahimiza ma-rc na ma-dc kuwasweka mahabusu kwa masaa 48 watendaji wa serikali kunaweza kusababisha uonevu kwa wananchi wasio na hatia.

..zaidi utaratibu na pilikapilika za kukamata vijana wasio na kazi siyo jambo jipya hapa nchini. But one thing has remained constant, utaratibu huo haujawahi kutatua tatizo la uzururaji ambalo linasababishwa na ukosefu wa ajira.

..uchumi wetu, kutokana na sera mbovu za ccm, hauzalishi ajira za kutosha na zinazovutia kwa vijana wetu na hi yo kusababisha wazurure mitaani. Sijui kama unakumbuka tukio la vijana kujaa uwanja wa taifa wakati idara ya uhamiaji ilipotangaza nafasi za kazi.

..kwa hiyo Raisi na watendaji wake warudi kwenye drawing board na kuja na mikakati ya kupambana na tatizo la UKOSEFU WA AJIRA.

Acha utani wewe... Nchi zilizoendelea zinashindwa kuzalisha ajira za kutosha sembuse sisi.
 
Sasa nimeamini kuwa sisi wananchi wa Tanzania ni wavivu wa kufikiri na wavivu wa miili yetu,

Baadhi ya watu wameponda maagizo ya rais na wanaponda juhudi za rais katika utendaji wake wa kazi, wakiwepo wanasisa, mfano kuna mtu eti anaenda kucheza pool table eti anasubiri viwanda vifufuliwe aajiriwe huu ni ujuha usio na kifani.

Wengi wanaolalamika wanaishi mijini kwa misheni town huku wakiwa wameacha hekari na hekari vijijini kwao wakisubiri bibi na babu zao walime wao wakale mazao tu.

Kama kwetu kutakuwa na malalamiko maana vijana wanaenda kipindi cha mavuno tu so wazee wanaolalamika sana.

Rudini vijijini mkalime na bibi zenu mpate hela, mfano mimi nalima alizeti na mahindi kwa na mwaka huu natarajia kupata gunia zaidi ya 50.

TAFAKARI hakuna serikali inayoweza kuajiri wananchi wake wote. Na pia Nafanya ufugaji wa kuku wa mayai
 
Attachments

  • 1458135767337.jpg
    1458135767337.jpg
    63.2 KB · Views: 29
Sasa hayo maendeleo mnayoyataka yatakuja kwa watu kucheza pool table na betting huku ardhi ikiendelea kustawisha majani?
Wewe kwanini usiende kulima? Hivi unafikiri shughuli ambayo ni dili Tanzania huwa inasukumiwa watu wa kundi fulani kwenda kuifanya au uwa inalazimishwa.
 
Acha utani wewe... Nchi zilizoendelea zinashindwa kuzalisha ajira za kutosha sembuse sisi.
Watu wanafikiri tatizo la ajira lipo Tanzania tu. Mimi naona Tanzania bado tuna nafasi endapo mtu ukiishughulisha akili yako. Kwingine huko mabepari walishamaliza ardhi. Tusiende mbali hapo Kenya tu kuna watu wanatamani wangezaliwa Tanzania.
 
Sijui ni kukosa umakini wa kusikiliza au ni kufanya makusudi.
Siku hizi kusema ukweli hiki chama hakina hoja,umakini kipo kipo tu hebu wafuatilie hata hapa jukwaani kama walevi vile majibu yao utafikiri wanazozana Na walevi wenzao.hivi kwa Hali ya kawaida Unaweza kusapoti vijana kuamkia kwenye pool? Eti ukae kwenye pool kuikomesha serikali kwa sababu haijakuajiri kweli seriously.
 
Acha utani wewe... Nchi zilizoendelea zinashindwa kuzalisha ajira za kutosha sembuse sisi.
Kwa ugumu wa maisha ya sasa hivi hakuna mzululaji kila mtu aliposimama ndio shughuli yake ilipo. Tatizo hawa Viongozi waliopitia ajira rasmi na hawaja haso na kitaa upeo wa kuona shughuli za mtu ambaye anafanya ajira isiyo rasmi unakuwa mdogo sana. Kuna watu wanakaa kijiweni huku wameajiliwa na matajiri kupata idea zinazozungumzwa mtaanai na kuwapelekea taarifa wanalipwa. Wengine wanakaa kijiweni wanalipwa kwa kuulizwa tu sehemu mbalimbali. Maisha ya Kotazi na viyoyozi yanawapumbaza waheshimiwa
 
Siku hizi kusema ukweli hiki chama hakina hoja,umakini kipo kipo tu hebu wafuatilie hata hapa jukwaani kama walevi vile majibu yao utafikiri wanazozana Na walevi wenzao.hivi kwa Hali ya kawaida Unaweza kusapoti vijana kuamkia kwenye pool? Eti ukae kwenye pool kuikomesha serikali kwa sababu haijakuajiri kweli seriously.
Siasa za hovyo zinataka kuwaharibu watu, ila naona tutarudi kwenye mstari kwa kuwa amepatikana mtu wa kutuamsha.
 
Wewe ni jike la ccm huwezi ona maovu ya chato au mapungufu maana ufahamu ccm imeuchukua
 
jaman hata mimi nimeshangaa sana sana, alisema hivi( "kuna watendaji wengine kazi yao ni kuwanyanyasa wananchi nendeni mkawashughulikie. Nyinyi mna mamlaka ya kumweka mtu ndani masaa 48, wawekeni ndani ili wawaheshimu wananchi)

Kwani kuwashughulikia mpaka wawekwe ndani amna njia nyingne ya kuwaelekeza uo ndo tunauita uhendawazimu
 
Acha utani wewe... Nchi zilizoendelea zinashindwa kuzalisha ajira za kutosha sembuse sisi.

..ni kweli.

..tatizo la ukosefu wa ajira, umasikini, ukosefu wa makazi, etc yapo hata ktk nchi zilizoendelea.

..lakini hapa Tz matatizo hayo ni makubwa kupita kiasi. Unemployment rate Tz inacheza kwenye double digit all the time. Maana take ni moja tu, SERA ZA CHAMA TAWALA NI MBOVU.
 
Back
Top Bottom