Nimeongea na ndugu anema ni balaa kwa walio bondeni! Ameshindwa kwenda kazini!Aisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea , mi nipo kihonda uku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao, mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena aisee ni balaa
CrapSi mulitaka mvua? Wacha inyeshe tuone panapovuja.
Ukienda kazini si utajikuta mwenyewe maana njia hazipitiki na hakuna anayeenda kazini wala shule na inazidi kupiga tu hadi muda huuPoleni sana vitengo vya dharura na uokozi vikae tayari kwa lolote! Huu sio wakati wa kwenda kazini kwa mazoea
Tunakuombea, tunakupenda tafadhali chukua tahadhari zote muhimuNipo huku miilimani kuna mvua sana aisee.
Mungu atatendaKuna mtu yuko maeneo ya Kingolwira amenipigia nina mifugo yangu kule anasema kuna mvua kubwa sana inanyesha. Wanaangaika kuweka miundombinu sawa
Hivi muhimu ni habari au ni picha?uzi huu bila picha ni usanii, tupieni picha tuone hali halisi kama ni kweli