Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,748
Wale wale GSM au watu wa aina hiyoWamesema kuna msamaria mmoja amejitolea kuwalipia. Japo hawajamtaja huyu good samaritani ni nani
Wale wale GSM au watu wa aina hiyoWamesema kuna msamaria mmoja amejitolea kuwalipia. Japo hawajamtaja huyu good samaritani ni nani
Umeelewa kilichoandikwa?Kwa mafungu yote ya local goverment mkuu unayajua usihukumu moja kwa moja wakati ushahidi kamili huna labda kama unaushahidi kamili.
Akasoma na hizo bima zinavyolipwa?Bajeti imesomwa na Jaffo leo!
Huyo raia wa kigeni ni nani?Halafu,hata kama ni msaada unapaswa usomeke kwenye bajeti kwa uwazi.Au ametoa kwa kushtukiza?Amesema mfadhili raia wa kigeni
"Donor country" unahitaji mfadhili?Au mlikuwa mnatucheza shere?wakuu wengine nao wawe wabunifu wa kupata wafadhili kutoka nje kwa faida ya wananchi wao.
Wamesema kuna msamaria mmoja amejitolea kuwalipia. Japo hawajamtaja huyu good samaritani ni nani
Mwenzakokakupa na reference na we TOA yako.hivi huko.local.gov Kuna hela wameshindwa hata kununua.bombadia generator Sinta Palestina hospitalKwa mafungu yote ya local goverment mkuu unayajua usihukumu moja kwa moja wakati ushahidi kamili huna labda kama unaushahidi kamili.
Hajasaidia Serikali amesaidia waliotelekezwa kupitia kwake Makonda
wakuu wengine nao wawe wabunifu wa kupata wafadhili kutoka nje kwa faida ya wananchi wao.
Siyo weye. Weye unajiita [HASHTAG]#samaritan[/HASHTAG] ila siyo "good"!Si mimi hapa?
Swadakta!Anaficha nini?Ubunifu tunaupongeza na nijambo la kuigwa. Tunachotaka ni uwazi kwenye huo mchakato.
Siyo weye. Weye unajiita [HASHTAG]#samaritan[/HASHTAG] ila siyo "good"!
Sema unataka kumjua ukamwombe hela donors wengi siku hizi hawataki kujulikana ukijulikana tu nongwa mibarua ya kuombwa hela kibao hadi keroIn vyema kuuliza fedha za kufadhiri huo mradi zinatoka wapi,ili tupate majibu sahihi japo yeye anadai kaambiwa awe mbunifu was kutatua kero za wananchi ,si kiivyo maana maswali ni mengi kuliko majibu kuhusu ufadhiri huo.
Wekeni wazi majina ya wafadhili wote waliomchangia Lisu matibabuSwadakta!Anaficha nini?
CHADEMA,Mange Kimambi,Watanzania wenye nyoyo safi(siyo weye [HASHTAG]#yehodaya[/HASHTAG]) na wasamaria wema wa nje ya Tanzania. Swali lingine?Wekeni wazi majina ya wafadhili wote waliomchangia Lisu matibabu
Ndio maana tunasema siasa imewaingia mpaka kusiko ingilika. Kama unashindwa kutenga suala binafsi na shughuli ya ofisi ya umma sasa una haja gani ya kuwa mchangiaji JF? Why usiwe huko FB na wenzako wa hali yako?Wekeni wazi majina ya wafadhili wote waliomchangia Lisu matibabu
Mafungu ya "local government?"
nimesema weka majina yote huelewi swali,weka majina kamili na kiasi walichochanga kumtibia LisuCHADEMA,Mange Kimambi,Watanzania wenye nyoyo safi(siyo weye [HASHTAG]#yehodaya[/HASHTAG]) na wasamaria wema wa nje ya Tanzania. Swali lingine?
Tusidanganyane, hali ya kiuchumi kwenye mawizara inajulikana, cdhan kama kuna wizara inayopata mgao wa OC kwa 100% ya budget yao ya mweziKwa mafungu yote ya local goverment mkuu unayajua usihukumu moja kwa moja wakati ushahidi kamili huna labda kama unaushahidi kamili.