Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,739
- 6,644
Atakua GSMWamesema kuna msamaria mmoja amejitolea kuwalipia. Japo hawajamtaja huyu good samaritani ni nani
Atakua GSMWamesema kuna msamaria mmoja amejitolea kuwalipia. Japo hawajamtaja huyu good samaritani ni nani
I am not certainAtakua GSM
Wafadhili wengine huwa hawataki watajwe. Fedha yenyewe ni kidogo sana hata wewe ungeweza kuwa mfadhili. Bima ya NHIF kwa watoto ni sh 50,000/ tu kwa kila mtoto kwa mwaka. Watoto waliofikishwa kwake na kupatiwa bima hiyo hawazidi 200. Hivyo jumla ya pesa ya bima hiyo ni Sh 10 million tu kwa mwaka. Hata Makonda anaweza kuitoa toka kwa mshahara wake!Kwa nini asitajwe? Hakuna msaada kwa serikali unaokuwa wa siri labda uwe wa dhana za kijeshi au vifaa vya usalama tuu
Sasa kama unatumia tafakari vizuri rudi kwenye mada. Shughuli yeyote ya kiserikali huwa inaendeshwa kwa uwazi bila kificho lands ihusu usalama au ulinzi wa Taifa.Wafadhili wengine huwa hawataki watajwe. Fedha yenyewe ni kidogo sana hata wewe ungeweza kuwa mfadhili. Bima ya NHIF kwa watoto ni sh 50,000/ tu kwa kila mtoto kwa mwaka. Watoto waliofikishwa kwake na kupatiwa bima hiyo hawazidi 200. Hivyo jumla ya pesa ya bima hiyo ni Sh 10 million tu kwa mwaka. Hata Makonda anaweza kuitoa toka kwa mshahara wake!
Wamesema ni msamaria raia wa 'kigeni'.Kwa mafungu yote ya local goverment mkuu unayajua usihukumu moja kwa moja wakati ushahidi kamili huna labda kama unaushahidi kamili.
Mbona kawaambia kuna mfadhili kajitolea kuwalipia bima, au hamkumsikia vizuriMakonda ametangaza kuwa watoto wote wa Dar waliotelekezwa na kwenda kwake watalipiwa Bima ya afya na ofisi yake.
Ni jambo jema, lakini ni vyema basi serikali iwe na uwazi na kusema fedha hizo ni za fungu gani au zinatoka wapi?
Sio jambo jema kusikia kama yale kuwa ofisi za Bakwata zinajengwa na fedha za Mkoa kisha Habari zinazagaa kuwa ukweli ni kwamba GSM ndio wafadhili wa mradi huo.
Hii ni namna Mpya ya corruption ambayo imeingia nchini ambayo tumekuwa tunasikia nchi kama Italy, Hispania, Israel nk wakuu wao walijikuta wakiingia kwenye kashfa ya rushwa kwa kukosa uwazi.
Kuna faida gani mtu akitumia mwanya huo wa kutoa "zawadi ya Bima" ya kisiasa ya shs 10m kisha yeye akasaidiwa kupitisha container 10 kukwepa Kodi ya shs 400m ?Wafadhili wengine huwa hawataki watajwe. Fedha yenyewe ni kidogo sana hata wewe ungeweza kuwa mfadhili. Bima ya NHIF kwa watoto ni sh 50,000/ tu kwa kila mtoto kwa mwaka. Watoto waliofikishwa kwake na kupatiwa bima hiyo hawazidi 200. Hivyo jumla ya pesa ya bima hiyo ni Sh 10 million tu kwa mwaka. Hata Makonda anaweza kuitoa toka kwa mshahara wake!
Mtoto mmoja ni 50,400 .Ni kweli kabisa kuhusu bima ya afya juu ya watoto hao ni jambo jema sana.Ila upande wangu najiuliza hilo fungu linatoka katika bajeti ipi? ...litatoka serikalini?, ni fedha za mkuu wa mkoa? au ni fedha za wahisani?
Ikumbukwe hii ni kila mwaka ndiyo maana watu wanahoji hili fungu liko kwa budget ipi? Vipi ikitokea Makonda akahamishwa au akafukuzwa kazi hili zoezi litaendelea na huyo ajaye?Mtoto mmoja ni 50,400 .
Lets say watoto 500
Ni mil 25,200,000
Ku raise hii pesa ni rahisi sana kwa mtu kama Paul Makonda
.
Ukiachana na siasa.Ikumbukwe hii ni kila mwaka ndiyo maana watu wanahoji hili fungu liko kwa budget ipi? Vipi ikitokea Makonda akahamishwa au akafukuzwa kazi hili zoezi litaendelea na huyo ajaye?
Lazima tuwe wakweli kuna umuhimu wa kujua mapema hizi pesa wapi zitatoka aidha ofisi ya RC au wahisani tusikubali kusema tu pengine zitatoka kwa wahisani wasipopatikana hao wahisani ambao ni rahisi tu kutokuwapata.Ukiachana na siasa.
Akiweka taratibu nzuri hilo fungu linaweza kubebwa na wahisani.
Sasa ndugu yangu. Kipi bora..Lazima tuwe wakweli kuna umuhimu wa kujua mapema hizi pesa wapi zitatoka aidha ofisi ya RC au wahisani tusikubali kusema tu pengine zitatoka kwa wahisani wasipopatikana hao wahisani ambao ni rahisi tu kutokuwapata.
hata wewe ni mhisani, kachangie ofisi ya makonda iko wazi!!Lazima tuwe wakweli kuna umuhimu wa kujua mapema hizi pesa wapi zitatoka aidha ofisi ya RC au wahisani tusikubali kusema tu pengine zitatoka kwa wahisani wasipopatikana hao wahisani ambao ni rahisi tu kutokuwapata.
Makonda ametangaza kuwa watoto wote wa Dar waliotelekezwa na kwenda kwake watalipiwa Bima ya afya na ofisi yake.
Ni jambo jema, lakini ni vyema basi serikali iwe na uwazi na kusema fedha hizo ni za fungu gani au zinatoka wapi?
Sio jambo jema kusikia kama yale kuwa ofisi za Bakwata zinajengwa na fedha za Mkoa kisha Habari zinazagaa kuwa ukweli ni kwamba GSM ndio wafadhili wa mradi huo.
Hii ni namna Mpya ya corruption ambayo imeingia nchini ambayo tumekuwa tunasikia nchi kama Italy, Hispania, Israel nk wakuu wao walijikuta wakiingia kwenye kashfa ya rushwa kwa kukosa uwazi.
lakini unaruhusiwa kuchangiaYani kama upo kichwani mwangu I asked the very same question
Pesa za local gvt matumizi yote huidhinishwa na baraza la madiwani hili tungeshalisikiaKwa mafungu yote ya local goverment mkuu unayajua usihukumu moja kwa moja wakati ushahidi kamili huna labda kama unaushahidi kamili.