Bajeti imesomwa na Jaffo leo!Makonda ametangaza kuwa watoto wote wa Dar waliotelekezwa na kwenda kwake watalipiwa Bima ya afya na ofisi yake.
Ni jambo jema, lakini ni vyema basi serikali iwe na uwazi na kusema fedha hizo ni za fungu gani au zinatoka wapi?
Sio jambo jema kusikia kama yale kuwa ofisi za Bakwata zinajengwa na fedha za Mkoa kisha Habari zinazagaa kuwa ukweli ni kwamba GSM ndio wafadhili wa mradi huo.
Hii ni namna Mpya ya corruption ambayo imeingia nchini ambayo tumekuwa tunasikia nchi kama Italy, Hispania, Israel nk wakuu wao walijikuta wakiingia kwenye kashfa ya rushwa kwa kukosa uwazi.
Amesema mfadhili raia wa kigeniMakonda ametangaza kuwa watoto wote wa Dar waliotelekezwa na kwenda kwake watalipiwa Bima ya afya na ofisi yake.
Ni jambo jema, lakini ni vyema basi serikali iwe na uwazi na kusema fedha hizo ni za fungu gani au zinatoka wapi?
Sio jambo jema kusikia kama yale kuwa ofisi za Bakwata zinajengwa na fedha za Mkoa kisha Habari zinazagaa kuwa ukweli ni kwamba GSM ndio wafadhili wa mradi huo.
Hii ni namna Mpya ya corruption ambayo imeingia nchini ambayo tumekuwa tunasikia nchi kama Italy, Hispania, Israel nk wakuu wao walijikuta wakiingia kwenye kashfa ya rushwa kwa kukosa uwazi.
Mafungu ya "local government?"Kwa mafungu yote ya local goverment mkuu unayajua usihukumu moja kwa moja wakati ushahidi kamili huna labda kama unaushahidi kamili.
Local goverment ni neno gen kwakoMafungu ya "local government?"
Kwa nini asitajwe? Hakuna msaada kwa serikali unaokuwa wa siri labda uwe wa dhana za kijeshi au vifaa vya usalama tuuAmesema mfadhili raia wa kigeni
Sio neno LA kigeni, but hakuna mahali popote katika mafungu ya local govt ambako RC ni Accounting OfficerLocal goverment ni neno gen kwako
ii kali
Upo sahihi mkuu na mm nakuunga mkono kabisa kuhoji katika uzi wakoSio neno LA kigeni, but hakuna mahali popote katika mafungu ya local govt ambako RC ni Accounting Officer
Bwana mkubwa haulizwiKwa nini asitajwe? Hakuna msaada kwa serikali unaokuwa wa siri labda uwe wa dhana za kijeshi au vifaa vya usalama tuu
Hazina au?Wamesema kuna msamaria mmoja amejitolea kuwalipia. Japo hawajamtaja huyu good samaritani ni nani
Hajasaidia Serikali amesaidia waliotelekezwa kupitia kwake MakondaKwa nini asitajwe? Hakuna msaada kwa serikali unaokuwa wa siri labda uwe wa dhana za kijeshi au vifaa vya usalama tuu
Yani kama upo kichwani mwangu I asked the very same questionMakonda ametangaza kuwa watoto wote wa Dar waliotelekezwa na kwenda kwake watalipiwa Bima ya afya na ofisi yake.