Watoto waliotelekezwa kupatiwa bima ya afya

Watoto waliotelekezwa kupatiwa bima ya afya

Wewe naona umekurupuka, muwe mnafuatilia taarifa Kwa usahihi kabla ya kuja na maulizo yenu.

Ni kwamba kuna wadau, si serikali Ndio wamejitolea kuwasaidia bima watoto hao.

RC Makonda kawaomba wadau ,kama alivyowaomba kwenye ujenzi wa madarasa ya shule, nyumba za walimu nakadhalika,wamemkubalia.
Kutoa ni moyo, wapo wenye mioyo ya kusaidia.
Badala yakua mnauliza maswali ya hovyo ni bora mkapongeza ubunifu wa Makonda
ubunifu au upuuzi.
 
Ifike mahali wanaotelekeza watoto wajitathmini kwa kweli maana hii msaada kuna wanaostahili kama yatima na wenye mahitaji maalum
 
Mwanaume halisi anawajibika kwa matendo yake.

Ukila uroda ukumbuke kuwajibika na yatokanayo na huo uroda.
 
Back
Top Bottom