Nadhani ni jambo jema ukizingatia wengi wa hawa watoto ni wagonjwa. Pia wababa nao watajifunza kuwa kumbe kuna kudhalilika...Je watalipiwa kwa mwaka huu tu au wataendelea kulipiwa hadi wafikishe miaka 18 ?
Nadhani ni jambo jema ukizingatia wengi wa hawa watoto ni wagonjwa. Pia wababa nao watajifunza kuwa kumbe kuna kudhalilika...Je watalipiwa kwa mwaka huu tu au wataendelea kulipiwa hadi wafikishe miaka 18 ?
Ustawi wa jamii si ni idara moja ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa au iko chini ya meyor?Maswala kama haya ni ya kushughulikiwa na ustawi wa jamii na mahakama kando ya taasisi za dini, sio jukumu la Makonda.
Yeye ana tuhuma zake na bado hajazitolea majibu. Anapenda sana kurukia sakata ili kujipatia umaarufu feki.
Sasa usishangae hapo kuna wanasiasa wa upinzani labda na viongozi wa kidini wanaopenda kuikosoa hii serikali ndio walengwa. Worthless Exercise Indeed.
Kweli kabisa kuanzia sasa ni kupiga uani kwa kwenda mbele kama yule shekh wa mange kimambiJamani tumieni Condom au withdrawal method au piga uani ili mimba isipatikane.. Piga mashine uani maana mimba ikipatikana ndio matatizo yote haya huanza.. Ruka ukuta au tumia Condom, maana tatizo sio starehe tatizo ni mtoto akizaliwa. Acheni kufanya ngono zembe bila kufikiri hata kidogo kama kuku
Akimaliza hao pia tumwambie kuwa wapo wa mtaani pia wanaitaji msaada.Anaangaika na watu ambao wana uwezo wakuwahudumia watoto wao ... Hakumbuki kuwa kuna watoto ambao wapo mitaan hawana baba wala mama (yatima) nao wanahtaj msaada mkubwa zaid.
Hawa wanataka kutuaminisha yakuwa hakuna kinachoweza shindikana kikisemwa na DAB wanajisahaulisha kabisa kama kuna sheria za hicho wanachokiongea.Pesa za local gvt matumizi yote huidhinishwa na baraza la madiwani hili tungeshalisikia
Nia yako ni ovu mkuu.Unataka niorodheshe jina baada ya jina?Nimekupa muongozo wa waliochanga.Sasa,ni juu yako kufuata majibu zaidi.nimesema weka majina yote huelewi swali,weka majina kamili na kiasi walichochanga kumtibia Lisu
Hiyo ni statement au interrogationSi mimi hapa?
Hiyo ni statement au interrogation
DnaUnawakamata je kama wamesingiziwa
Naomba na mimi bima ya afya ya mwanangu. Mke wangu mdogo amemtelekeza.Sasa mkubwa naona unataka kuleta mambo ya kudhalilishana na kuumbuana, we elewa tu kwamba mimi ndio huyo Msamaria Mwema, wengine elimu zetu za Ngumbaro
Naomba na mimi bima ya afya ya mwanangu. Mke wangu mdomo amemtelekeza.
Makonda ametangaza kuwa watoto wote wa Dar waliotelekezwa na kwenda kwake watalipiwa Bima ya afya na ofisi yake.
Ni jambo jema, lakini ni vyema basi serikali iwe na uwazi na kusema fedha hizo ni za fungu gani au zinatoka wapi?
Sio jambo jema kusikia kama yale kuwa ofisi za Bakwata zinajengwa na fedha za Mkoa kisha Habari zinazagaa kuwa ukweli ni kwamba GSM ndio wafadhili wa mradi huo.
Hii ni namna Mpya ya corruption ambayo imeingia nchini ambayo tumekuwa tunasikia nchi kama Italy, Hispania, Israel nk wakuu wao walijikuta wakiingia kwenye kashfa ya rushwa kwa kukosa uwazi.
Kwan hukuniona mitandaoni nikiwa ilala boma na mtoto wangu mgongoni ?Mkuu si umesikia mchakato unaanzia kwanza kwa DAB, na yeye ndio anauendesha. Nasikitika sana kusikia ameweka masharti yanayojumuisha kupima DNA na udhalilishaji mwingi.
Me nimekuonaKwan hukuniona mitandaoni nikiwa ilala boma na mtoto wangu mgongoni ?