Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

Wamegombea nafasi gani?
Una uhakika na hayo majina au siku ya wajinga iko mwezi wa kumi siku hizi?
hatari!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita uvccm ngazi ya taifa.

1. Dickson membe
2. Fredy lowasa
3. Ridhiwani kikwete
4. Ashura hussein mwinyi
5. Ben samwel sitta
6. Debora mwandosya
7. Irene pinda
8. Felister ndugai
9. Christopher ndejembi
10. Sharifa bilal
11. Hawa kigoda
12. Judith mukama
13. Jalome msekwa
n.k
 
HATARI! Angalia watoto wa vigogo waliopita UVCCM ngazi ya taifa DICKSON MEMBE, FREDY LOWASA, RIDHIWANI KIKWETE, ASHURA HUSSEN MWINYI, BENY SAMWEL SITA, DEBORA MWANDOSYA, IRENE PINDA, FELSTER NDUGAI, CHRISTOFER NDEJEMBI, SHARIFER BILALY, HAWA KIGODA, JUDITH MUKAMA NA JALOME MSEKWA. Nchi hii imekwisha. Inatia hasira, wacha watoto wa maskini tupambane kupitia mlango mwingine "CHADEMA" ili kutetea maskini wenzetu, wazazi na wadogo Zetu! Vita Hii Inaanza Sasa!
 
Masikini wanadananywa na wazazi wao......hivi hawaoni wakina SEIF AL ISLAM GADAF, GAMAL MUBARAK na wengineo wengi wapo wapi sasa?
 
wengi ni vilaza na hawana uwezo wa kufanya kazi za uzalishaj so inabid wafiche ukilaza wao kwenye siasa tena kwa kubebwa
 
Safi sana CCM, munaonyesha ni jinsi gani mlivyo na upendo kwa wanenu.
Haijalishi kiti cha thamani gani ambacho shetani amekupatia hapa duniani, mwisho wake ni maafa.
 
Tanzania ima inaelekea kuzimu kama haitaondolewa kwenye mikono ya hawa manyang'au na mafisi au inageuzwa ufalme wa mfalme Kikwete. Ni balaa na aibu.
 
Viongozi wa serikali ya ccm badala kuwaandaa watoto wao kuwa watumishi wanawaandaa kuwa watawala.
Hii yote wanaifanya makusudi kwa ajili ya mgombea wa urais 2015. Wanatengeneza timu ya ushindi

I remember my teacher when he taught about a servant leadership.

Waacheni wasaidie kuiondoa ccm machoni pa wananchi
 
nimetumiwa sms tatu zote zina maneno yanayofanana,maneno hayo yanahusu uteuzi wa watoto wa vigogo wa ccm kuteuliwa kugombea nec.je una sambazwa na nani?
 
katika kikao cha bunge lillilopita mwegulu mchemba alisema kwa madaha makubwa kuhusu cdm kuendeshwa kifamilia,wanapo kaa kwenye vikao vyao wanakuwa kama wapo sitting room,sasa nam taka arudi tena bungeni kukemea watoto wa vigogo wa ccm kuteuliwa kuingia nec.
 
Wachchezi na watu wenye chuki na ccm ndio tunasambaza iyo kitu,tunataka umma ujue kuwa sio chadema pekee tuna undugunisation
 
kwa sababu kikwete ni janga la taifa udini wake upwani wake na ufamilia wake utaleta mpasuko baada 2015 anastahili kifo kama cha gadaffi
 
Back
Top Bottom