Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

Kwa sababu ccm uongozi ni pesa na kwa kuwa wazazi wao ni vigogo wanawawezesha kifedha ili waukwae uongozi.
 
JAMANI WATOTO WA MASKINI MJUE HATUNA CHETU. NA HAWA HAWANA MSAADA KWA TAIFA ILI KWANI WAMEKULIA KT MFUMO WA KIFISADI. CDM PIA BABA YETU DR SLAA NDO WAOKOZI WETU. AMKENI SAA YA UKOMBOZI NI SASA WAJULISHE WOTE. HAWA WANAWAO VIBONDE NDO WANAANDALIWA KUTUTAWALA JAMANI CHONDECHONDE TUAMKE NA TUIKATAE CCM KWA VITENDO. NEVER VOTE 4THEm
Huyo unaemuita baba yako kaanza na mzazi mwenzie Rose Kamili(Mbunge),Tundu lissu na dadake,Ndesamburo yupo mkwewe(Mbunge) na bint yake(Mbunge) na mke wa mhasibu wake wa zamani Keys Hotel Maulida Komu(Mbunge).Mbowe alitawazwa uenyekiti wa chama na baba mkwe wake muasisi wa chama mzee Mtei.Hii ndio Tanzania zaidi uijuavyo nakushauri labda uende DP,NAREA,PPT AU ADC

 
huyo unaemuita baba yako kaanza na mzazi mwenzie rose kamili(mbunge),tundu lissu na dadake,ndesamburo yupo mkwewe(mbunge) na bint yake(mbunge) na mke wa mhasibu wake wa zamani keys hotel maulida komu(mbunge).mbowe alitawazwa uenyekiti wa chama na baba mkwe wake muasisi wa chama mzee mtei.hii ndio tanzania zaidi uijuavyo nakushauri labda uende dp,narea,ppt au adc


waambie hao, haya mambo ya kujuana kwa ukoo huwezi kuyakwepa ni mfumo wa tangu na tangu. Haina cha ccm, chadema, tlp wala nccr-mageuzi mpaka cuf.

Hiyo ndio hali halisi, cha kufanya pigana wewe kama wewe hili ujinusuru na hali ngumu ya maisha, ila usitarajie chama cha siasa kukupa yote ya dunia uyapendayo, nje ya ccm.
 
Kuna kitu kinaitwa class reproduction ndicho kanachotokea, wenye nacho wataingia kwenye gulio la kura na watazinunua zote. Watasema mmewapa ridhaa ambayo itahalalisha wawatawale vile wanavyotaka. Dawa yake ni kubomoa mfumo kwa kakataa kila wanachosema au kufanya (rebellion). Mambo ya kufanya ni pamoja na kuchukua fedha zenu wanazowapa lakini kura msiwape. Hawawezi kuwafanya chochote. Hao ni wa kuwazomea popote wanapokatisha, kuwaachia Li-CCM lao ili baadaye watafunane wenyewe, kujenga class consciousness kati ya walala hoi ili kujitambua nafasi yenu ni nini katika taifa hili, Joyce Banda atakapovamia Tz kuwaacha watoto wa vigogo wakapigane kulinda mipaka, ikibidi mnaweza kumsapoti Bi Joyce ili kiwaume. Hawa watoto wameonja utamu wa wazazi wao wameona uhondo ndo maana wanachangamkia. Ila wajue nchi imebadilika sana. Mchezo wao ni mauti yao. Wakumbusheni French Revolution 1789 dhidi ya ancient regime ya Louis na malkia Antonitte ambaye aliingizwa kwenye mhenyesho wa kutoka Versailles hadi Paris km kama 50 hivi kwa miguu na waandamanaji alizeeka kwa masaa matatu tu akawa kikongwe licha ya kuwa na miaka 30 tu. Ebu wanyosheni wawe vikongwe watashika adabu.
 
Ni kweli, hawa watoto wa vigogo wamependa uongozi wawe tayari pia kuchukua bunduki na kuwa mstari wa mbele kugombania ziwa nyasa, wasifikiri kukaa kwenye viyoyozi wakitoa tena amri kwa walala hoi! Wasifikiri kua this time kuna epa, richmond, symbions na pacha zake.wafikiri sana kuhusu pale kisutu na jela la segerea, watembelee sana sehemu hizi kuzizoea
 
Watoto wa vigogo waliochaguliwa UVCCM ngazi ya Taifa ni hawa hapa.
Ni sawa na timu ya mpira wa miguu na wachezaji wa akiba!
1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
 
Mnaoana wivu tu! labda Hawa watoto hawajasoma shule za kata.Wamesoma alama za nyakati.Huko CCM chakula tele. Wazazi wao waliwandalia watoto wao akiba ya madaraka. Pia, wanastahili kupata zawadi na kurithi vyeo vya wazazi wao. Je! ingekuwa ni wewe ungempa cheo mtoto wa nani?
 
HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k

MMESHAAMBIWA: Polisi atazaa Polisi na Padri atazaa Padri.........Yusuf Makamba (Katibu Mkuu Msataafu CCM)
 
HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k

vp kina makamba jr, nchimbi, malecela et al hawapo safari hii??
 
Source pleaseeeeee!!!!!

Sidhani kama **** ukweli, Mh.M.J. Mwandosya hana mtoto aitwaye Debora. Ana watoto watatu, Max, Emmanuel na Sekela ambao wote wana shughuli zao za maana na sidhani kama wanainterest na siasa.
 
HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6.DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k

Mambo mengine mbona ni rahisi tu, hapa issue ni kudandia tren kwa mbele ili uwahi kufika mjini.Kwa mwenye data naomba kujua hao wa kwenye red kama wameolewa na kama bado nitangaze ndoa faster najua siwezi kukosa hata ukuu wa wilaya na jina litaanza kusikika na kutengeneza mazingira mazuri ya wajukuu zangu.
 
Tatizo sio undugu je wana uwezo pili wameteuliwa au wameshinda kwenye chaguzi,tumeona sehemu nyingi duniani viongozi wengi ,ndugu zao au watoto wao wakigombea na kushinda nyadhifa mbalimbali,nijambo la kawida,ila wasicheze rafu tu.
 
HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k

Labda utusaidie, wafanye kazi gani? Just sailing in a sinking ship!
 
Jamani hii yote inatokana na chama kutawala kwa mda mrefu sana ndio wanafanya mambo kama hayo ya kuleta familia zao kwenye chama,hivi kama tungekuwa tuna desturi ya kubadilisha chama tawala hao watoto wacnge kuwa ata na wazo ata lakuwa wanasiaasg hapa nchini ata hivyo wamesha tuona watanza nia vichwa vya wenda wazim atuelewi vichwa vizito,angalieni kenya atleast vichwa vyao wanavishughulisha,hichi chama jamani kiishie 2014 tu.uknmbele labda watakuwa wako serious kidogo.
 
Back
Top Bottom