Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

Wapiga debe mtapiga sanaaaaaaaaaaaaaa lakini hamuoni ndani ng'o.mtatumiwa sanaaaaaaaaaaaaaaaa lakini hampati chochote baba.
 
Hapo zamani nakumbuka mambo yalikuwa shawri. Mtoto anakuwa akipenda kuwa kama baba/mama/mlezi wake kutokana na kazi wanazofanya.

Hawa watajwa kama ni kweli (kama siamini wote hawa wamegombea uongozi - kugombea ikiwa neno muhimu sana) haiwezi kuonekana pia kwamba wamekulia katika nyumba ambazo maisha yao yote ya awali walikuwa wanaona mambo ya siasa na wamekuwa katika mazingira ya siasa kwa hiyo kwao ni kama mrolongo to wa maisha kuingia kwenye siasa pia? Isitoshe, wanagombea ikimaanisha kuna kupata au kukosa. Hata yule Miss Tanzania sio kwamba ni mzuri kupita wasichana wote wa Tanzania bali ni kwamba ni mzuri katika wale wote waliojitokeza kuwania taji hilo - kuna wazuri wengi sana ambao hawakujitokeza.
 
HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k
My GOD hawaogopi kibiriti kilichoandaliwa 2015!!
 
Wapiga debe mtapiga sanaaaaaaaaaaaaaa lakini hamuoni ndani ng'o.mtatumiwa sanaaaaaaaaaaaaaaaa lakini hampati chochote baba.

Na wewe unatumia masaburi kufikiri, issue kama hii unatumikaje si majina yanajieleza, kweli nawewe ni kama nchimbi
 
hicho ni chama cha ukoo,hata bagamoyo kuna mohamed kikwete! wototo wa vigogo wanakosa ubunifu wa jinsi ya kutoka kimaisha wanadhani kila kitu ni siasa.

Kuna mbio zinaitwa Relay (kupokezana Vijiti) ndo mfumo wanaoutumia....
 
Huyo unaemuita baba yako kaanza na mzazi mwenzie Rose Kamili(Mbunge),Tundu lissu na dadake,Ndesamburo yupo mkwewe(Mbunge) na bint yake(Mbunge) na mke wa mhasibu wake wa zamani Keys Hotel Maulida Komu(Mbunge).Mbowe alitawazwa uenyekiti wa chama na baba mkwe wake muasisi wa chama mzee Mtei.Hii ndio Tanzania zaidi uijuavyo nakushauri labda uende DP,NAREA,PPT AU ADC


Mkuu tutakimbilia wapi.
 
Wenzangu na miye wakaishia kugombea nyama za pilau

UVCCM-wapeana-kichapo-laivu.png
 
HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k

Acheni wivu wa kike
 
HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k

Acheni wivu wa kike
 
samahani mkuu..
1-haya majina yooote uliyoyataja mbona ni majina ya watoto wa viongozi wa ccm???...
2-je nao wamo ndani ya uvccm ili 2015 waje wagombee ubunge na uongozi wa nchi yetu?......

Kama majibu katika maswali yote niliyokuuliza ni ndiyo...

Sasa naamini bila hata chembe ya hofu wala kumumunya maneno kuwa saa ya ukombozi inawadia na 2015 watanzania tuta-declare our independence na kuanza ku-heal wounds za mateso ya hiki chama hasa baada ya kuondoka duniani kwa baba wa taifa...

mungu rudi uibariki tanzania..mungu rudi utubariki watanzania.
 
Esther Wasira na Lilian Wasira . A haaaaaaaa, lakini hao sawa hata kama wamepita mlanhgo mwingine wakiza totoroooooo
 
Karibu katika Familia hii

  • Wapinga ufisadi na dhuluma
  • Watetezi wakweli wa demokrasia
  • Watetezi wa wanyonge wa Tz
  • nk


karibu Chadema!
 
Back
Top Bottom