Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

mkuu tutendee haki kwa kutueleza nafasi walizogombea isijekuwa ni kazi ya kiwanda cha uongo alichotueleza mheshimiwa rais JK hivi karibuni.
 
kwa sababu kikwete ni janga la taifa udini wake upwani wake na ufamilia wake utaleta mpasuko baada 2015 anastahili kifo kama cha gadaffi
pole kwa ban ndugu ila ulikuwa umesharopoka kwakweli nafikiri mods angekupiga ban kabla hujatiririka ingesaidia sana
 
nimetumiwa sms tatu zote zina maneno yanayofanana,maneno hayo yanahusu uteuzi wa watoto wa vigogo wa ccm kuteuliwa kugombea nec.je una sambazwa na nani?

Nape Nnauye. Anawahofia sana wenzake!!
 
Wenye udini ni wale waliomwamisha katibu wa baraza la maaskofu kuwa wa chadema.
kwa sababu kikwete ni janga la taifa udini wake upwani wake na ufamilia wake utaleta mpasuko baada 2015 anastahili kifo kama cha gadaffi
 
Hii ni zaidi ya tawala za kifalume. Wakuu hata huko SAUDIA,JORDAN,QATAR,KWA MSWATI na kazalika hakuna kitu cha aina hiyo. Hii iko Tanzania pekee. NA KWA HIZI SHULE ZETU ZA KATA. WATATUTAWALA SANA
Ndio maana Tanzania yenyewe tu ni ajabu la dunia,kwani kuna mambo ambayo hata zile nchi ambazo tungetegemea kuona hayo mambo yakitokea lakini hayatokei kwenye nchi hizo.
 
kwani we uligombea ukanyimwa??? au ni inferiority complex tu, una hofu ya kushindwa hata kabla hujajitokeza una baki kuwa na chuki binafsi chumbani kwako.badilika

Nakuacha maana nadhani hatutaelewana! yale yale ya Mkapa ya wivu wa kike wakati anajigawia Kiwila coal mine na Yona!! Any sensible man will not accept that.
 
Hii kitu kila kitu ni maajabu mi nimeshindwa sasa yangu mimacho na kura yangu tu
nawakodolea kama mjusi animebanwa na mlango vile

sio kwenye majeshi
asasi za fedha kama bot
na sehemu zenye mishiko mikubwa zote majina ni yale yale
sijui nijiite ....... ........... lowasa
ili nile ajira sehemu kali au
 
hebu acheni kutusakama wana ccm bwana.mbona hujaonyesha na vyeo vyao hapa?na suala ni mtu alivyopata nafasi sio ni nani.
 
Yote umesema bwana Mjengwa, mbona hawaendi kwenye ualimu? hawaendi kwenye ubwana/bibi shamba? Wanaenda ambako baba zao wana mamlaka na kuna maslahi mazuri. Ambapo watakuwa watawala! mabwana kama baba zao.

Ujumbe huo ni mzuri watanzania tuwakatae kama wakenye walivyowakataa watoto wa Moi kama una kumbukumbu! WATANZANIA TUWAKATAE. It is ridiculous, hao hao ndio wanapata mikopo ya HESLB. Nonsense!


hujamwelewa mjengwa umeishia kukurupuka tu.mjengwa anapinga ubaguzi mnaoufanya kwa kusambaza meseji za chuki

Makongoro Nyerere ni mtoto wa kuzaliwa wa Mwalimu, lakini, ilifika mahali aliamua kuchagua njia nyingine.
Inakubalika kama atagombea kwa kupitia chama kingine. Hawezi kutumia position of authority ya baba kuinfluence matokeo
Na kama Rais wa nchi, unafanyaje unaposikia Chifu wako wa kikabila ameangushwa kwenye uchaguzi wa Chama, tena na wanachama ambao wewe ni Mwenyekiti wao?
Na kama baba unafanyaje ukisikia mtoto wako kaangushwa au ndo utamtayarishia mazingira ya kupita bila kupingwa?

Naam, hamasa ya kisiasa imeongezeka kwenye nchi yetu. Huko twendako tuzazidi kusikia majina zaidi ya wanafamilia na wanaukoo wakishiriki siasa, ama katika chama kimoja , au vyama tofauti.
Tuanze na kuindoa CCM 2015 na kama vyama vingine vitakuwa na mfumo wa kisultani navyo tutavipiga chini huko mbeleni
 
SLAA NI BABAAKO WW PEKEAKO..!!
SISI TUNA WAZAZ WETU NA WANAJIHESHIM VIZUR SANA TUH,WAMEFUUNGA NDOA ZAO KANISANI NA MISIKITINI
TENA NA UTUOMBE RADHI,,EBO...!
:fencing:
 
Back
Top Bottom