Wakuzuka ni kweli kila kitu ruksa lakini ukishaweka ukewli humu wanajua kinachofanyika huoni tena hiyo threads,,kuna moja tuliona kuhusu uhuni wa amgari ya atcl,,mimi binafsi kilinishangaza sana nilpoenda kuulizia wakakwepakwepa lakini ukweli ukaja,,kwelli magari yapo yana mwezi,,jakaya hizo pesa za kodi wanazoenda kulipa kutokana na kulaza magari zinatoka kwa mlipa kodi jamani jamani? Muda si mrefu ntairejesha with breakin news toka TRA.
Sasa watoto wa wakubwa natumaini hii itabaki,,,
Mimi naomba niongelee kuhusu huyu WAKILI FATMA KARUME; najua kuna watakaonipinga lakini napenda kuwaambia jamani yule mtoto alizidiwa,,pale kisutu kuna rushwa chafu chafu jamani,, walichofanya kwa huyu mtoto wakijua kwenye ile kesi kuna hela wakawa wanamzungusha kwa kujitoa mahakim,,yule bint akaona huu ujinga utaisha lini ndipo alipiowaambia liwalo na liwe,, akatangaza ufisadi hadharani.
Naweza kuwapa issue ndogo tu kuhusu uchafu wa mahakama ya kisutu kama admin akinihakikishia hatofuta watu waweze kuwa makini katika kudai haki yao.