Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Mambo mawili yametokea mwezi huu:

Kwanza JF iliwaexpose watoto wawakubwa ambao kuna habari kuwa wamepewa kazi pale BOT kwa upendeleo au kutokana na nafasi za kisiasa za wazazi wao

Pili huu mjadala unaoendelea kuhusu mtoto wa Karume wakili FATMA humu ndani

Mfano Kinje ambaye ni mtoto wa Kingunge tunaambiwa kuwa procurement yote ya JWTZ kakamata yeye japo si mwajiriwa wa JWTZ

Mtoto wa kanali APSON ambaye alikuwa ni mkuu wa usalama wa Taifa ndiye aliyepewa tenda ya kuweka security systems Ikulu Dar, na sasa hivi amepewa tenda ya kujenga BENKU KUU ZANZIBAR

Watoto wa MKAPA nao nikianza kuandika mambo yao basi itachukua si chini ya masaa 8

Mtoto wa kigogo mwingine ndiye amepewa tenda ya PARKING SYSTEMS DAR ES SALAAM

Mwingine alipewa tenda ya mkusanyo Saba saba

the list is endless....

Sasa kuna mengi yanasemwa na mengine watu wanaongeza chumzi lakini ukweli ni kuwa kuna RESENTMENT kubwa tuu dhidi ya wakubwa na watoto wao.

Je wana bodi mnasemaje?
 
Mwakilishi;103118]Mkuu Game Theory,
Mimi nadhani motto yetu hapa JF haijabadilika kwa hiyo tuendelee kumkoma nyani giladi mchana kweupeee.
JF - Where we dare talk openly
except in siasa

Lakini not everything is as black and white as you think. Inawezekana kuwa watu wanaka tuwe honest lakini je ni for how long watu watalivumilia hili? I am not sure kama kweli SIASA forum iko tayari kumkoma nyani Giladi. lakini ngoja tusikie maoni ya wengi
 
mimi naona kama unazo DATA wewe zitoe ndio tuanze kujadili,hata kama yuko wapi tutamjadili tu.
 
inabidi tuungane kwa pamoja kupigania isitolewe,ndio nanyinyi ni watoto wa vigogo?
 
imposting for the first time,my opinion is that hilipia liletwe hapa tulijadili nakuweka wazi hii nepotism ambayo sasa inazidi kuchukua kaasi
 
Wamejadiliwa wazazi wao ndio itakuwa watoto, Mkuu GT, shusha data tu ili mradi TOS hazikiukwi.

Lakini to be fair kwa watoto wa wakubwa ni kwamba wakati mwingine nao hawapendi "attention" wanayopewa ama upendeleo wanaopata kwa sababu ya majina ya wazazi wao, they want to make it on their own as it were. Niliwahi kusoma na mmoja ambaye hata jina la ukoo alikuwa hatumii katika kujitahidi kuwa raia wa kawaida.

Wewe fikiria, tunaomba kazi mahali kama BOT, wote tuna sifa zinazotakiwa, ila mmoja jina kubwa na mwingine mwenzangu na miye, chances are, mwenye jina atapewa kazi, maana:

1. Wakulu hapo watataka kuingia kwenye good books za baba/mama mtu
2. Waendelee kutunza vibarua vyao maana hawajui repercussions za kumtosa mtoto wa mkubwa zitakuwaje

Huu ndio mfumo ambao tunajijengea slowly but surely, ila kuna siku tutavuna kama hatujaanza bado...
 
inabidi tuungane kwa pamoja kupigania isitolewe,ndio nanyinyi ni watoto wa vigogo?

Middle,
1. Unamaanisha kuwa Watz wengi wanaopata nafasi kusoma na wapo JF kwa UK, US na kwingineko ni watoto wa wakubwa?

2. Tanzania kutafuta Mchawi bwana- hawa watoto wa vigogo wao sii Watz? Waishi na kufanya kazi wapi? Mbinguni? Ni % ya Civil Service ni watoto wa vigogo? Isije onekana kama ni ubaguzi!
 
Mkuu GT
wewe anzisha thread, natumaini bodi wataiacha hiyo thread hapa maana iko linked moja kwa moja na siasa and/or utawala (wanasiasa/watawala).
 
Ndugu yangu ndani ya JF kila kitu NI RUKSA!!!! Huu ni mtambo wa kufichua maovu na kuwaelewesha wanaforum kwa ujumla juu ya uozo unaofanywa na wanaojiita wenye nchi!Dont hesitate.
 
Mkuu GT,

Heshima mbele kwako. Mi hapo kwa kweli umenigusa kabisa. Hili swala la hawa "wakubwa" kuendeleza nepotism linatuumiza sana sisi kina kapuku bin tambalizeni, hebu fikiria mtoto wangu Kayumba anajitahidi hivyo huyo kusomea kibatari, wakati mwenzake Brian (tena mmakonde,jina lisiwachanganye) kapelekwa St. Shabani ambako baba yake aliye fisadi anamsomesha kwa fedha zetu walipa kodi,kisha mwisho wa siku wote hawa wawili wakiomba kazi BoT, Kayumba nje ya kapu...huyu jamaa anadai eti hawa ni watz hivyo wana haki ya kuwa hapo,sikatai hilo ila hapa swala ni kuwa kwa nini wote wawe ni watoto wa mafisadi tu?

Is it a coincidence kwamba wao tu ndo wenye vigezo vya kuwa sehemu hizo na kwa wingi huo?
 
Game naona hapa ndio mahala pake tuliletee hizo data watu tuanze kuchangia kwani wanapinga huo mjadala sis tunajadili hta ni mstakabali wataifa letu kwa ujumla.Game tupe vitu hivyo.
 
Game theory (a.k.a, John von Neumann and Oskar Morgenstern.) Ufisadi unaofanywa na hawa watoto wa wakubwa unapaswa kujadiliwa kwa kina. Tunapaswa kujua ni hasara kiasi gani taifa limepata kwa ku-saini hizi tenda za utatanishi zilizokamatwa na hawa watoto wa vigogo. Kwa mfano, hii issue ya Kinjeketile na JWTZ inapaswa kutazamwa katika maswali yafuatayo: Moja, tunapaswa kujua ni nani aliidhinisha hii tenda?, mbili, je utaratibu wa tenda ulifuatwa?, tatu, je huyu kinje analipa kodi? nne, je, hii tenda ilitangazwa kwenye public media??, etc.

Cha msingi hapa, tunapaswa kuepuka "private life" . Kwa mfano, tusingependa kuingilia uhusiano wa kinjeketile na salima, au ugomvi wa kinjeketile na baba yake kingunge kuhusu ndoa ya kinje, kama kinje ana mke!!!
 
Cha msingi hapa, tunapaswa kuepuka "private life" . Kwa mfano, tusingependa kuingilia uhusiano wa kinjeketile na salima, au ugomvi wa kinjeketile na baba yake kingunge kuhusu ndoa ya kinje, kama kinje ana mke!!!

Naona tayali umeshaingilia hizo Private!
 
Game theory kama una issue ambayo inalihusu Taifa letu shusha, sasa haya mambo ya wewe kuwagwaya watoto wa wakubwa na kuanza kusuasua hapa na kuomba sijui ruhusa kwa nani kuleta vitu hayana dili.

Yaani fanya kweli sasa, wakati ni huu. Sababu ya wewe kuwaogopa hao watoto wa vigogo bado sijaitambua,mbona kuna mshkaji mmoja kwenye thread nyingine alivyoona jamaa mmoja anamu-abuse mke wake aliona ni criminal offense agaist human rights na akaileta issue hapa bila kutuuiliza?

Kitu ulichofanya hapa ni kuanzisha discussion ndefu bila facts za maana.
 
Wakuzuka ni kweli kila kitu ruksa lakini ukishaweka ukewli humu wanajua kinachofanyika huoni tena hiyo threads,,kuna moja tuliona kuhusu uhuni wa amgari ya atcl,,mimi binafsi kilinishangaza sana nilpoenda kuulizia wakakwepakwepa lakini ukweli ukaja,,kwelli magari yapo yana mwezi,,jakaya hizo pesa za kodi wanazoenda kulipa kutokana na kulaza magari zinatoka kwa mlipa kodi jamani jamani? Muda si mrefu ntairejesha with breakin news toka TRA.

Sasa watoto wa wakubwa natumaini hii itabaki,,,

Mimi naomba niongelee kuhusu huyu WAKILI FATMA KARUME; najua kuna watakaonipinga lakini napenda kuwaambia jamani yule mtoto alizidiwa,,pale kisutu kuna rushwa chafu chafu jamani,, walichofanya kwa huyu mtoto wakijua kwenye ile kesi kuna hela wakawa wanamzungusha kwa kujitoa mahakim,,yule bint akaona huu ujinga utaisha lini ndipo alipiowaambia liwalo na liwe,, akatangaza ufisadi hadharani.

Naweza kuwapa issue ndogo tu kuhusu uchafu wa mahakama ya kisutu kama admin akinihakikishia hatofuta watu waweze kuwa makini katika kudai haki yao.
 
,,,,naweza kuwapa issue ndogo tu kuhusu uchafu wa mahakama ya kisutu kama admin akinihakikishia hatofuta watu waweze kuwa makini katyika kudai haki yao

Haya ndio mambo yale yale, embu imagine kila mtu hapa kabla ya kuleta isuue zake kwanza ingekuwa sharti kuomba uhakika kutoka kwa admin. ingekuwaje? procedure si ingekuwa ndefu sana? watu wanashusha issue za kina Lowassa hapa na kina Kikwete wewe unasita kuleta issue ndogo tu kuhusu uchafu wa mahakama ya kisutu? Please tell us you are just joking.

Kama kweli una uchafu wa mahakama ya kisutu leta tuone kama admin atazifuta.
 
naweza kuwapa issue ndogo tu kuhusu uchafu wa mahakama ya kisutu kama admin akinihakikishia hatofuta watu waweze kuwa makini katyika kudai haki yao


Weka mambo hapa ni JF humtukani mtu bali unasema ukweli.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom