Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Tuache wivu hata mkilalamika haisaidii kwani wameshindwa kuhusu ufisadi itakuwa watoto wao???? cyo lazima kila mtu kuajiriwa yu can be self employed and earns you alot of dymes(money) lets not be lazy thinkers
 
Kwa kumbukumbu zako Mwanaasha Kikwete alistahili kuhitimu Feza Girls? unajua ni kwanini alipata nafasi ya kusoma pamoja na kwamba alikuwa na kiwango duni?

Nimesoma feza boys myself, feza hawazuii watoto wa wakubwa as ada yao ni kubwa sana kwa mtu wa kawaida ku afford ni almost 5 million per year... Wanachofanya wakati mnaanza form one wanachukua watoto waliosoma primary yao na wengine wanaokuja kama 90 parcent kisha 10 percent wanatoa scholarships kwa best students wa primary schools hizi za kayumba nao wanawachanganya na hao wanaotoka english mediums school as wengi wao ni watoto wa kiarabu mambo safi kweli kweli sio wasiwasi... Then wanaaanza kuwafundisha vizuri wote, Feza kama una uwezo wa kulipa ada sio ngumu kukosa labda nowdays mradi uwe umetoka english medium na una akili ya wastani tu...
 
alibebwa hakuwa na kiwango cha kusoma feza!

I went to feza o level and a level, kwani kiwango cha kusoma feza kinakuaje hadi mwanaasha akose ? Kupata feza sio ngumu kama marian labda nowdays.. Feza wanachotaka uwe umesoma english medium school, akili za wastani tu za kufundishika na uwe na uwezo wa kulipa million 5 per year bila usumbufu,, kuna watoto wa kiarabu kibao feza ni average students tu, sema shule inawajenga na kuwa best performers o level and a level and then wanaenda abroad wengi as hela zipo nyumban kwao..

Eveb myself sikuwa top performer but nilikuwa recruited bila shida although hata loyola, na various seminars zilinitosa lakin feza changes me na kuwa among best student as maksi nilizopata sekondari haters wote walikaa kimyaaaa,,,
 
utakuwa mtt wa kigogo ww

mimi siyo mmoja wao, na natoka katika familia ya mwl wa shule ya msingi, lakini hili halinifanyi nijisikie duni wala kuona mtoto wa kigogo anapendelewa,
simama ujipiganie ndugu yangu, kukaa na kulalamika tu kuwa cjui mtoto wa kigogo kafanyiwa hivi, kawekwa hapa hakutautoa kwenye hali uliyo nayo, na pia hakutakufanya uwe kwenye nafasi hiyo. kwa mfano ungekuwa umebobea kwenye fani fulani na ukaonesha ujuzi wako vilivyo unafikiri ungekosa nafasi unayostahili?
tuchukue mfano, BoT ina waajiriwa labda 250 (ingawa natumaini wanazidi hao maana ni taasisi kubwa), lakini utakuta 10 tu au hata 20 ndo hao mnaowapigia kelele, huoni kama ni kuwaonea
mimi ni mwl wa chuo, lakini narithika na taaluma yangu, pia na nafasi niliyonayo na ndiyo maana nina maendeleo makubwa tu
funguka ndugu yangu, siyo kulalamika
 
Tuache wivu. Tujiulize je wanauwezo wa kufanya hapo? Je wanfanya kazi ipi ma upi utendaji wao? Kingine kwa jinsi nepotism ilivyo jadi ya taifa letu, naamini hata Nyinyi wanajamvini mtakuwa au umngethubutu kuajiri ndugu zenu sehemu nzuri.
Nani ambaye hataki ndugu,kaka, mdogo kupata kazi powa.
Hili ndilo taifa sisi sote tulitakalo. Sasa tukikataa kwa pamoja aina hiibya maisha, na pia tusemezane kwenye katiba mpya kwamba nepotism au upendeleo wa aina yeyote ni mwiko "kwa pamoja" naamimi tutakuwa taifa lenye mwelekeo thabiti na bota kabisa.

very well said aminiusiamini, huu ndo mtazamo ambao angalau tungeujadili ungekuwa na maana
nivea, chuakachara, boflo, mwita maranya, na bwana mapesa, watakalia kulalamika tu kuwa watoto wa vigogo watoto wa vigogo, badala ya kualaumu wazazi wenu kushindwa kuwa vigogo ili nanyi mpate elimu bora, na nafasi za upendeleo kama mnaamini wanapendelewa
lazima ifahamike kuwa wote hatuwezi kukaa ikulu, na vilevile wote hatuwezi kukaa dsm au huko mankokuita mikoani, sasa anayeweza kufanya siasa za ofisini (office politics) ndiye anayeshika sehemu. ni kama kuchaguliwa uwaziri au kamati za bunge, utakaa tu umenuna pamoja na kuwa mbunge kisha utegemee uteuzi, lazima ujue kucheza karata zako vyema
anyaway nothing makes a person more productive than the last minute - haijalishi umeanzaje, tutaangalia umemalizaje
 
Kuwa mtoto wa kigogo nilizama mzazi wako awe na cheo kikubwa serikali au kampuni kubwa.... Je mimi ambaye ni mtoto wa mwenyekiti wa kijiji,weo,veo,mfanyabiashara,mkulima ni mtoto wa Fito.

Binafsi hii kasumba ya watz wa leo inanikera sana.
 
Kuwa mtoto wa kigogo nilizama mzazi wako awe na cheo kikubwa serikali au kampuni kubwa.... Je mimi ambaye ni mtoto wa mwenyekiti wa kijiji,weo,veo,mfanyabiashara,mkulima ni mtoto wa Fito.

Binafsi hii kasumba ya watz wa leo inanikera sana.
Mkuu katika nchi kama Tanzania na nchi nyingi za third world hawa watoto na familia zako wako above the law na wana privileges zaidi yako. Inauma kukubali lakini ndio ukweli wenyewe. Pangu pakavu kama mimi nikidakwa na unga nitapigwa hata mvua 30. Mtoto wa kigogo akifanya the same crime ataachiwa huru. Hio ndio bongo
 
I went to feza o level and a level, kwani kiwango cha kusoma feza kinakuaje hadi mwanaasha akose ? Kupata feza sio ngumu kama marian labda nowdays.. Feza wanachotaka uwe umesoma english medium school, akili za wastani tu za kufundishika na uwe na uwezo wa kulipa million 5 per year bila usumbufu,, kuna watoto wa kiarabu kibao feza ni average students tu, sema shule inawajenga na kuwa best performers o level and a level and then wanaenda abroad wengi as hela zipo nyumban kwao..

Eveb myself sikuwa top performer but nilikuwa recruited bila shida although hata loyola, na various seminars zilinitosa lakin feza changes me na kuwa among best student as maksi nilizopata sekondari haters wote walikaa kimyaaaa,,,

Mimi nimesoma feza..... Hehe bey ibrahim bicaci (bichakchil yupo...?
Feza erkek lisesi cok guzel
 
kaka acha mapepe,unajitungia habari tu hapa,kama huna kipya kaa pembeni.kwanza sumaye hana mtoto anaeitwa rogers,bali ana watoto wawili ambao ni filbert na frank,pili filbert alirudi nchini baada ya kumaliza masters yake ya computer science.na aliporudi alikaa miezi nane akifanya kazi ktk kampuni binafsi ndio akaajiliwa.huo uzushi umetoa wapi kaka?ata ukiuliza watu aliosoma nao tosamaganga f 5&6 watakwambia jinsi alivyo mtu simple na wakujituma.kazini kwake wanamtegemea mtafute bosi wake mzee masawe atakwambia.pia wapo wenye cpa na
nk.wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mbaya jamani

tahadhali kwao na nyie mnaotetea kupendeleana ili hali wahusika wamekaa kimya. Ajira za aina gani watoto wa vigogo wajazane katika sekta moja au sekta fulani fulani tu. Hata kama wanazo sifa je, waliajiriwa kwa haki ? Vijana wangapi wana uwezo na walituma maombi lakini hawakuitwa ama walifanya interview na wakaachwa. kumbukeni hata watoto wa gaddaf wa libya walikuwa na uwezo lakini wako wapi na babao ? Acheni u mafia wenu iko siku shimo la choo litasema yote ya binadamu.

 
tofautisha kati ya YA BOT NA YA UVCCM=ukistaajabu ya mkapa utaona ya mkweeere
 
Mimi nimesoma feza..... Hehe bey ibrahim bicaci (bichakchil yupo...?
Feza erkek lisesi cok guzel

He he he mkuu naona unamwaga kituruki, mahmet atakupa sunspension kwa kumwaribua lugha,, tukimbie hapa hawachelewi kutuona mafisadi kisa tumepita best school in the country.. Kumbe wazaz wamejibana tu
 
NA HAPO NDIPO MTAKUFA NYINYI NA WAJUKUU ZENU WENGINE TUTAPAA KWENDA ZETU NG'AMBO KUENDELEA KULA MAISHA.NANI ALIEKWAMBIA VITA VYA KONY VINAMGUSA MUSEVEN NA FAMILIA YAKE?

KWELI KABISA! RWANDA INAWARUDISHA MMOJA BAADA YA MWINGINE. NAYE KONY HATAPATIKANA MILELE KAMA OSAMA BIN LADEN. MALI YA HASSAN ABACHA WA NIGERIA HAIKURUDISHWA NILELE NIGERIA.NA UN ISINGEKUJA NA AZIMIO AMBALO LINARUHUSU NCHI KUDAI FEDHA ZAKE ZILIZOIBWA NA KUFICHWA NJE HUKO USWIS NA KWINGINEKO...ACHENI KUJI-FOOL WENYEWE. MITHALI 24:24-25 kasome hapo

 
KAKA ACHA MAPEPE,UNAJITUNGIA HABARI TU HAPA,KAMA HUNA KIPYA KAA PEMBENI.KWANZA SUMAYE HANA MTOTO ANAEITWA ROGERS,BALI ANA WATOTO WAWILI AMBAO NI FILBERT NA FRANK,PILI FILBERT ALIRUDI NCHINI BAADA YA KUMALIZA MASTERS YAKE YA COMPUTER SCIENCE.NA ALIPORUDI ALIKAA MIEZI NANE AKIFANYA KAZI KTK KAMPUNI BINAFSI NDIO AKAAJILIWA.HUO UZUSHI UMETOA WAPI KAKA?ATA UKIULIZA WATU ALIOSOMA NAO TOSAMAGANGA F 5&6 WATAKWAMBIA JINSI ALIVYO MTU SIMPLE NA WAKUJITUMA.KAZINI KWAKE WANAMTEGEMEA MTAFUTE BOSI WAKE MZEE MASAWE ATAKWAMBIA.PIA WAPO WENYE CPA NA
NK.WIVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MBAYA JAMANI

Ni kweli huyo jamaa ni mpole na ana busara sana.Nakumbuka alipata zawadi ya nidhamu ambayo hakuna hata aliyeshangaa huyo jamaa (Filbert) kupata zawadi hiyo.
But the issue hapa si hayo,tatizo pale alipo wapo wangapi wa aina yake yeye.Suala la kukaa muda mrefu bila kuwa na ajira si hoja.Yawezekana aliambiwa asubiri utaratibu.Hatusemi ni mwizi au fisadi, but kapaje kazi?Hata Frankline naye si mapepe but watu wanahoji ajira zao.Sina tatizo na watoto wa Sumaye kwa sababu nawafahamu vizuri wote.
 
Wamesoma sana halafu wote wana gpa ya 5.o hiyo ndiyo sifa mojawapo ya kuingia bot
 
Wafuatao ni wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania :-
1. Filbert Sumaye
2.Beatrice Bomani
3.Pamela Lowassa
4.Zakaria Kawawa
5.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji


MTOTO WA MKULIMA KAMA MIMI TUTASUBIRI SANA HIYO NAFASI...
SOURCE: Chanzo cha Kuaminika 100%
 
wafuatao ni wafanyakazi wa benki kuu ya tanzania :-
1. Filbert sumaye
2.beatrice bomani
3.pamela lowassa
4.zakaria kawawa
5.salama mwinyi
6.salama mahita
7.rachel msekwa
8.jane sitta
9.jasmini karume
10.radhia shein
11.justina nchimbi
12.blasia benjamin w. Mkapa
13.jerome diallo
14.likele ngasongwa
15.andy magufuli
16.thomas mongela
17.jabir a. Kigoda
18.marry mramba
19.ismail meghji


mtoto wa mkulima kama mimi tutasubiri sana hiyo nafasi...
Source: Chanzo cha kuaminika 100%


sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....
 
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....

Ni kigezo hicho pekee kilichotumika?!
 
Back
Top Bottom