Maarko
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,196
- 609
sasa wamesoma ulitaka wakae nyumbani wanaosha vyombo ...
Watoto wao ndiyo pekee waliosoma? Kwanini wasiwe haata katika halmashauri? Au kwakua huko kuna madiwani?
sasa wamesoma ulitaka wakae nyumbani wanaosha vyombo ...
Gazeti la Jamuhuri la October 23, 2012 Limewataja vijana wafuatao kuwa ni watoto wa vigogo waliojazana BOT: Kweli Tanzania ina wenyewe
Salama Ali Hassan Mwinyi
Filbert Tluway Sumaye
Zaria Rashid Kawawa
Blasia William Mkapa
Herriet Marten Lumbanga
Pamela Edward Lowassa
Rachel Muganda
Salma Omary Mahita
Justine Mungai
Kenneth Nchimbi
Violet Philemon Luhanjo
Liku Kate Kamba
Thomas Mongela
Jabir Abdallah Kigoda......
duu mkuu, mbavu sina!Sio kila mtu alioko BOT kaingia kwa kubebwa wengine wanasifa za vyeti vya baba zao na CV za dada zao.
Tanzania ni zaidi nchi...
Ndo maana unajiita fisadi mtotoKAKA ACHA MAPEPE,UNAJITUNGIA HABARI TU HAPA,KAMA HUNA KIPYA KAA PEMBENI.KWANZA SUMAYE HANA MTOTO ANAEITWA ROGERS,BALI ANA WATOTO WAWILI AMBAO NI FILBERT NA FRANK,PILI FILBERT ALIRUDI NCHINI BAADA YA KUMALIZA MASTERS YAKE YA COMPUTER SCIENCE.NA ALIPORUDI ALIKAA MIEZI NANE AKIFANYA KAZI KTK KAMPUNI BINAFSI NDIO AKAAJILIWA.HUO UZUSHI UMETOA WAPI KAKA?ATA UKIULIZA WATU ALIOSOMA NAO TOSAMAGANGA F 5&6 WATAKWAMBIA JINSI ALIVYO MTU SIMPLE NA WAKUJITUMA.KAZINI KWAKE WANAMTEGEMEA MTAFUTE BOSI WAKE MZEE MASAWE ATAKWAMBIA.PIA WAPO WENYE CPA NA
NK.WIVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MBAYA JAMANI
Huyo hapo mwenye miwani anaitwa JABIR OMARI KIGODA. Ni mtoto wa fisadi Bw. Abdallah Omari Kigoda. Nasikia jamaa alipata DIVISION FOUR kidato cha nne lakini hivi sasa ana kazi nzuri tu katika benki (YAO) ya biiiiooootiii BOT(BANGAIZA ONGA TOKOMEA) kwa vyeti feki.
Kuna kitu kimoja ambacho mimi binafsi naamini ya kwamba huwezi zuia mvua. Lakini tunaweza zuia watu kama hawa wasiendelee na tabia kama hii YA KUDHOROTESHA UCHUMI WETU. Ningemwomba Mh. JK awaamuru wakaguzi wake wapitie waajiriwa wote na kufukuza watu kama hawa ambao wamejazana tu kwenye ofisi ambazo zina watu wanaostahiri(WASOMI WENYE VYETI VISIVYO BANDIA)
Kuwekana ndugu kwa ndugu kwenye ofisi bila kwalifikesheni huitwa(NEPOTISM), kitu ambacho always huaribu ufanisi wa kazi.
BABA yake mzee Kigoda mwenyewe ni fisadi mkubwa, na nimesikia amenunua hoteli mbili huko mkoani Tanga kwa pesa ya walalahoi. Je mambo haya yataisha lini ndugu wadau?
Source:ZEUCHUNGU : VIONGOZI TUGAWANE UMASKINI: KUJIACHIA TUUUUUUU
huu ujinga wa kuwasema watoto wa viongozi kana kwamba wao hawana haki ya kuajiriwa mi sikubalianai nao kabisa, nafikiri hoja ingekuwa:
wana sifa za kushika nafasi hizo au hawana sifa?
wana uwezo wa kuendesha nafasi walizo nazo au hawana uwezo?
walizipata kwa upendeleo au walishindanishwa na wengine katika usaili kisha wakapata?
elimu yao inaruhusu kushika nafasi hizo au hapana?
haya mengine ni ubaguzi kama ulivyo ubaguzi mwingine, kuwa mtoto wa waziri au wa nani sijui hakukuzuii kupata haki zingine kama mtanzania ikiwa pamoja na kuajiriwa
jamani muwaache wapumue,
msiwe kama uamsho ambao kazi yao ni kulalamika tu
unahusika binafsi kuwa katika hali uliyo nayo leo, never blame someone for the situation you are in