Watoto wa vigogo BoT wasafishwa

Una maana content za mjadala ziko out dated?
Mkuu BOT inaelekea watu wengi inapenda yeye.
 
Mkuu FMES mambo yote yaliyotokea huko BOT kama EPA nk.
Halafu na hayo majina bado tu hakuna maswali?
BOT ni benki ya serikali jamani....Ni chombo muhimu sana...Na hatuwezi kusema wako huko kwasababu eti ya uvumilivu...Jamani uvumilivu ndio kubakia BOT?
AMA KWELI TUKO MATAWI YA TOFAUTI SANA TU.

Mkuu Mushi,

Heshima mbele sana, sikukatalii malaalmiko yako lakini tuweke mambo yanapotakiwa, JF tunaheshimika sana kwa ukweli na dataz, huwa tunafanya utafiti na kuweka vitu hadharani, hata siku moja sio tabia yetu kuwachukia wananchi flani katika jamii yetu kwa imaginations kama mnavyotaka tufanye hapa,

Nenda fanya utafiti then njoo hapa tupe ukweli au hata karibu na ukweli, EPA na mengine hayana uhusiaon wowote na hili la kuwaonea wananchi wenzetu watoto wa viongozi, tunajdili sana hii ishu lakini never tumewahi ku-produce ushahidi hata wa dataz, tunakuwa na chuki tu zisizokuwa na msingi wala ukweli hatuwezi kulisaidia taifa na hizi nyepesi nyepesi!
 
Sikubaliani kabisa na wale wenye kuwa single out hao watoto wa vigogo...Ila it seems like they are the ones who's singling themselves out....Especially hapo kwenye majina ya hao viongozi..Hao watu wana one thing in common...Wote ni watoto wa viongozi.

Ofcourse mkuu wakati mgumu wenye majaribu na kashfa kubwa kubwa za huko BOT halafu wananchi wanasikia majina ya wafanyakazi kama ya wale wale viongozi waliotuhumiwa kutufikisha hapa tulipo.

Kisaikolojia mkuu inakuwa ni ngumu kuwaelewesha wananchi.
Ila upande wa chuki kamwe sitafikia huko...Ila nipo upande wa wananchi daima...Ni upande nitakaokuwepo to the day i die.
 
Mkuu Mtanzania,

BOT ilikuwepo kabla ya hao wengine na infact huko pia wapo sana, besides huko BOT watoto hawa wa vigogo kuna walioingia huko in the last two years?

Mara ya mwisho nilipowauliza wengi wao huko BOT, waliniambia kua wamekuwa huko for the last 10 to 20 years, Freeman amefanya huko, ndani ya hii forum kuna watu kibao wamewahi kuwepo huko na sio watoto wa vigogo, wote hawa waliacha baada ya kuona hapana mpango, sasa baadhi ya hao watoto wa vigogo walivumilia na kubaki,

Kuna wakati BOT haikuwa na lolote wananchi wengi hata watoto wa masikini walikimbia huko, wao walibaki sasa leo wanakula matunda ya uvumilivu wao imekua taabu vipi tena? Siasa za namna hii zitatufikisha pabaya sana, tunatakiwa tukubali matatizo yetu yaliyo wazi na kuya-deal nayo bila visingizio na lame excuses,

I do not like uchunguzI wa Ndulu, lakini pia sipendi majungu bila ukweli wala dataz, hivi wananchi wamefika Urope kama wewe? Ina maana ulimuhonga mtu kwenda huko? Maana tukishamaliza na watoto wa wakubwa kujaa BOT, then ni lazima tuhamie pengine guess what tutasema wananchi wote walioenda majuu waliendaje, sasa wapi tuta-draw the line na hay majungu?

Waacheni vijana walifanyie kazi taifa letu, kuna facts of life ambazo sometimes hatuwezi kuzizuia, lakini tuheshimu sheria zinazolinda haki za wananchi wote taifa ni letu sio la masikini tu!

FMES kwa kweli u have great points thru this discussion
yaani kuna watu wana personnal agendas ambazo hazina facts. kwa kweli we will all be nuts if we keep hating the idea that these so called watoto wa vigogo have a job in BOT.... hivi statistically as of now, Is BOT the best paying organisation in the country? I so doubt that

kwa kweli i support the idea ya kutafuta facts na kujua kiukweli did the recruitment followed procedures or not? are these people qualified or not? and besides why hating that these people are employed there.....

mtu yeyote in his/her right mind hawezi kuajiri tu mtu just bcoz the person has highest grades in schppl. lets face it reference matters ... huwezi kumpa mtu kazi hana reference inaeleweka... akiwa mwizi? akiharibu kazi na kutoroka? the only thing i think they might be at an advantage is that there names are good references in the first place, once they get good referees out there and with great qualifications.. they will stand a greater chance than any other. na kweli si kuwa wako BOT tu sema BOT imekumbwa na kashfa so its big deal...

somesha watoto wako, nawe uwe na watu ambao ni reference nzuri wakupe tough when your kids are ready to work.
 
tuacheni mambo ya kishamba...huwezi kumuadhibu mtu kwa kosa la baba yake ..au ukoo,hawa watooto wa vigogo wengi waliotajwa kwenye ile list wote wana qualifications zao...na wana haki ya msingi kufanya kazi kama yeyote.....i know most of those guys they have gone to school.....ndio maana hata baada ya pekua pekua ..wameshikwa wengine lakini hakuna hata mmoja kati yao aliyeshikwa....

tatizo ninalolijua pale benki kuu lililokuwa likisababisha watu kuajiriwa kwa kufahamiana [hata wakiwemo watoto wa walala hoi wenzetu...i know some of them]...ni kwa sababu BOT hawakuwa na utaratibu wa kutangaza nafasi za kazi magazetini....sasa wameanza kutangaza ...itaondoa hii hali..

lakini pia nataka muelewe pamoja na kuwa BOT wengi wameajiriwa kwa connections nyingi miongoni mwa wafanyakazi kuwaita wenzao waliosoma nao universities....bado kabisa haifuti ukweli kuwa BOT ni moja ya taasisi iliyosheheni wasomi kuliko taasisi nyingi tanzania...na zaidi ya hapo ni taasisi yenye ushindani wa wafanyakazi wao kupenda kujiendeleza kimasomo........

HIVI WATANZANIA TUNAONA RAHA GANI HAWA WATOTO WA VIGOGO ....WALIOSOMESHWA KWA KODI ZETU NA PESA ZA KUDOKOA ZA BAADHI WAZAZI WAO WAAJIRIWE MANHATTAN.....BADALA YA KUJA NYUMBANI KAWA WENGINE KURUDISHA UJUZI WALIOSOMEA HUKO MAJUU......MBONA WATOTO WA VIGOGO ENGNEERS NA MADAKTARI ..WANAOTIBU ...HAMUWALALAMIKII....WATANZANIA TUNA DHANA POTOFU YA KUABUDU KAZI ZA FINANCE!

PM,

Nafikiri hapa tunaongelea topic tofauti kabisa.

Mimi naamini hao watoto wamesoma na wana qualification, ndivyo hata wewe unavyoamini.

Tunatofautiana ni juu ya nini BOT walikuwa wanachunguza. Kama ni qualification basi wamepoteza muda bure. Kwa Tanzania kuna chance kubwa watoto wa vigogo watasoma na hivyo kuwa na qualifications za kutosha.

Kitu ambacho mimi nina wasiwasi nacho ni je kuajiriwa kwao ilikuwa ni matokeo ya a transparent process? Au ilikuwa kwa vimemo vya pembeni?

Hakuna ambaye anataka hao watoto wasiajiriwe popote, no, ila kama prof. Ndulu aliamua kuchunguza basi angechunguza process ya watoto kuajiriwa na sio qualifications.

Je walipoajiriwa, Watanzania wengine walipewa equal chances sawa na hao? Hapo ndipo pangeweza kuondoa kabisa dhana ya kwamba wanapendelewa.

Binafsi sina ushahidi wowote ila ukiangalia kwamba BOT ina watoto karibu zaidi ya 25% ya vigogo, inabidi kujiuliza kwanini hatuna ratio kama hiyo kwa makampuni mengine ya private ambayo yana maslahi mazuri au hata kupita BOT? Je imetokea tu kuwa bahati kwa hiyo ratio ya BOT kuwa juu? Kwa reseacher yoyote hapo pana kitu ambacho hakiendani na makampuni mengine hivyo ku warrant uchunguzi wa kina.

Jambo muhimu kuliko yote ni kwa watoto wa maskini kushindana kwa kufanya juhudi zaidi. Hapa ni sawa na kupigana na boxer ambaye ni bingwa, kikawaida upendeleo wote huwa kwake. Njia pekee ni kumtoa knock-out. Ni sawa na kupambana na CCM kwa TZ, njia ya kuwashinda ni kuwatoa knock-out kiasi kwamba hata hawawezi kuiba.
 
25% ya vigogo so u mean vigogo wote wa TZ jumla yao ni almost 72?? thats unrealistic... kwani kigogo ni nani??? can we get the definition of that? then tutajua ktk watanzania milioni sijui 30... tuna vigogo wangapi?

na je wakati wanaajiriwa was it only watoto wa vigogo employed in that year? what was the ratio of them watoto wa vigogo to hao wa walalahoi were employed at the same time?

still facts hamna? i guess ur statistics is not accurate there
 
Mkuu Mtanzania,

Mara ya mwisho nilipowauliza wengi wao huko BOT, waliniambia kua wamekuwa huko for the last 10 to 20 years, Freeman amefanya huko, ndani ya hii forum kuna watu kibao wamewahi kuwepo huko na sio watoto wa vigogo, wote hawa waliacha baada ya kuona hapana mpango, sasa baadhi ya hao watoto wa vigogo walivumilia na kubaki,

[/SIZE]

Mkuu FMES,

Hao tunaoongelea hapa waliajiriwa kati ya 2000 na 2007, ndivyo report ya prof. Ndullu inavyosema.
 
1.

Margai amesoma mlimani, alipomaliza akapelekwa BOT kitu ambacho zamani alipomaliza shule ilikuwa kawaida, akaenda NY akiwa Mtanzania wa kwanza kusomea namna Financial markets zinavyotakiwa ku-function, na kurudi bongo na kuanzisha ile market yetu mbuzi, hakuingia kwa anything jamaa ni mtoto wa masikini na hakuwa any connection na kiongozi yoyote, tuache majungu hapo!

Hapo ndio kabisaa umekosea mkuu, Margai has nothing to na hao watu ambao wote ni washikajiw angu wa karibu, Josephine nimecheza naye Halaiki akiwa anasoma Jangwani, Jeska, Tony, Jane wote ninawajua wka akribu sana, Mzee Msirikali hakuwa na ubavu wowote wa kumuajiri mtu serikalini, Rutihinda asingewaacha kina marehemu Alex na kumsaidia mtu baki asiyemjua, Rutihinda anatoka Bukoba, Margai anatoka Musoma, na besides ninawajua wote kwa karibu no connection bro nothing!

what orodha has to do na faulo inayosemwa? Yaani ilitakiwa wawe watoto wa masikini tu ndio katiba inavyosema? Wakuu tutafute ukweli kama hawa watoto waliajiriwa kwa faulo ukweli usemwe wazi kama tunao, lakini hukumu bila facts au hata dataz, tutaonekana mbele ya jamii tun tatizo na watoto wa viongozi, that is wrong by any standard za civilizations!
mzee kama unajua Post ya jamaa , ili kuwa ya moja kwa moja, kwanini ulileta jina lake kwenye hii maada? kuhusu kumjua mtu wether ni wa bukoba au kiraracha, kusaidiana kupo, ina depend na connection zako. Ndio maana tunaona commect kama za Ridhwan kumsaidia au kumpigia pande Beno malisa etc.wakati moja ni wachalinze na mwingine, sijui wapi?
Kuhusu mimi kumfahamu au kutomfahamu huyo lawyer, hiyo nakuachia wewe, pamoja na watu niliocheza nao au ninaofahamiana nao, kwa sababu hiyo si objective ya hii mada.hivyo ni vizuri tuka baki kwenye mada. Na wakati mwingine mtu anaposaidia ndugu yake, hawezi kufanya vitu to be so obvious, kama wewe unavyo taka, kama ya Hiyo Marehemu governor kuwa saidia wadogo zake.na kuna wakati mwingine ndugu hamsaidi ndugu kutokana na sababu za kifamilia, au due to character ya msaidiwa au wakati muafaka wa kufanya hivyo hajafika
 
"Binafsi sina ushahidi wowote ila ukiangalia kwamba BOT ina watoto karibu zaidi ya 25% ya vigogo, inabidi kujiuliza kwanini hatuna ratio kama hiyo kwa makampuni mengine ya private"

This is gross abuse of statistics in order to serve individual agenda.

Mkuu hii 25% umeicalculate out of variables zipi? au ni figure tu ilikujia kichwani? Au may be vigogo kwako wewe wana vigezo gani? Tusije jikuta we are hating on everybody kama hii 25% yako itahold.
 
1.

Margai amesoma mlimani, alipomaliza akapelekwa BOT kitu ambacho zamani alipomaliza shule ilikuwa kawaida, akaenda NY akiwa Mtanzania wa kwanza kusomea namna Financial markets zinavyotakiwa ku-function, na kurudi bongo na kuanzisha ile market yetu mbuzi, hakuingia kwa anything jamaa ni mtoto wa masikini na hakuwa any connection na kiongozi yoyote, tuache majungu hapo!

Hapo ndio kabisaa umekosea mkuu, Margai has nothing to na hao watu ambao wote ni washikajiw angu wa karibu, Josephine nimecheza naye Halaiki akiwa anasoma Jangwani, Jeska, Tony, Jane wote ninawajua wka akribu sana, Mzee Msirikali hakuwa na ubavu wowote wa kumuajiri mtu serikalini, Rutihinda asingewaacha kina marehemu Alex na kumsaidia mtu baki asiyemjua, Rutihinda anatoka Bukoba, Margai anatoka Musoma, na besides ninawajua wote kwa karibu no connection bro nothing!

QUOTE]

Correction!
Kasoma Zanaki na siyo Jangwani mkuu!
 
Mkuu Mtanzania,

BOT ilikuwepo kabla ya hao wengine na infact huko pia wapo sana, besides huko BOT watoto hawa wa vigogo kuna walioingia huko in the last two years?

Mara ya mwisho nilipowauliza wengi wao huko BOT, waliniambia kua wamekuwa huko for the last 10 to 20 years, Freeman amefanya huko, ndani ya hii forum kuna watu kibao wamewahi kuwepo huko na sio watoto wa vigogo, wote hawa waliacha baada ya kuona hapana mpango, sasa baadhi ya hao watoto wa vigogo walivumilia na kubaki,

Kuna wakati BOT haikuwa na lolote wananchi wengi hata watoto wa masikini walikimbia huko, wao walibaki sasa leo wanakula matunda ya uvumilivu wao imekua taabu vipi tena? Siasa za namna hii zitatufikisha pabaya sana, tunatakiwa tukubali matatizo yetu yaliyo wazi na kuya-deal nayo bila visingizio na lame excuses,

I do not like uchunguzI wa Ndulu, lakini pia sipendi majungu bila ukweli wala dataz, hivi wananchi wamefika Urope kama wewe? Ina maana ulimuhonga mtu kwenda huko? Maana tukishamaliza na watoto wa wakubwa kujaa BOT, then ni lazima tuhamie pengine guess what tutasema wananchi wote walioenda majuu waliendaje, sasa wapi tuta-draw the line na hay majungu?

Waacheni vijana walifanyie kazi taifa letu, kuna facts of life ambazo sometimes hatuwezi kuzizuia, lakini tuheshimu sheria zinazolinda haki za wananchi wote taifa ni letu sio la masikini tu!

Mkuu!
Hapo umesema ukweli..hasa kipindi ambapo ukimaliza Uni kulikuwa na postings nje nje.Tena BOT ilikuwa ni chaguo la mwisho wakati wa kuchagua wapi ukafanye kazi!
 
Sijui WAANDISHI wote NCHI hii ni "REPORTERS" tu. Kwa nini hawakummuuliza maswali hayo? Uandishi wa nchi hii unachosha sana na hii imechangia usomaji magazeti kudorora sana

Most of journalist wanaopangiwa kucover press conferences ni reporters.
 
KWA MTAZAMO TOFAUTI! yaani hao mafisadi wame watoa kafara tu kwani walio iba si hao watoto, wenye mamlaka ya kuidhinisha mapesa hawakuguswa! ila hawa waliokuwa makarani tu? je Karamagi amesom? KUENDA SHULE SI KUPATA ELIMU!! kwani karamagi ame soma kwa utaratibu wa kawaida wa shule za hapa nchini na kule RUSSIA. lakini History aliyo isoma "O"Level, ili eleza waziwazi kuwa:wazee wetu kwa kukosa Elimu, na kutokuwa makini, ukichanganya na Ulimbukeni, wali sainishwa MIKATABA "FAKE" na Pamoja na kusoma hayo MH.Karamagi akarudia kosa lile lile! Je karamagi hakusom?
 
yaani kuna watu wana personnal agendas ambazo hazina facts. kwa kweli we will all be nuts if we keep hating the idea that these so called watoto wa vigogo have a job in BOT.... hivi statistically as of now, Is BOT the best paying organisation in the country? I so doubt that

kwa kweli i support the idea ya kutafuta facts na kujua kiukweli did the recruitment followed procedures or not? are these people qualified or not? and besides why hating that these people are employed there.....

mtu yeyote in his/her right mind hawezi kuajiri tu mtu just bcoz the person has highest grades in schppl. lets face it reference matters ... huwezi kumpa mtu kazi hana reference inaeleweka... akiwa mwizi? akiharibu kazi na kutoroka? the only thing i think they might be at an advantage is that there names are good references in the first place, once they get good referees out there and with great qualifications.. they will stand a greater chance than any other. na kweli si kuwa wako BOT tu sema BOT imekumbwa na kashfa so its big deal...

somesha watoto wako, nawe uwe na watu ambao ni reference nzuri wakupe tough when your kids are ready to work.

Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, matatizo ya mapungufu ya uchunguzi wa Ndulu, hayawezi kubebeshwa wananchi wanaofanya kazi huko BOT, eti kwa sababu ni watoto wa viongozi, uchunguzi wa haki under katiba ni ule tu utakaochunguza wafanyakazi wote huko BOT,

Kuwa-single out watoto wa viongozi walioko huko BOT, ni kukiuka katiba na ni haki ya hawa watoto kumfikisha anybody, atakayehusika uchunguzi zaidi ya huu wa Ndulu, kwa sababu so far hakuna probable course ya uchunguzi unaowalenga kikundi fulani tu katika jamii.

Kasoma Zanaki na siyo Jangwani mkuu!

lakini anyways ngoja nimtwangie nimuulize kukata mzizi wa fitina, okay ni kweli mkuu uko right ameniambia alikua Zanaki, respect!.

mzee kama unajua Post ya jamaa , ili kuwa ya moja kwa moja, kwanini ulileta jina lake kwenye hii maada?

Kuthibitisha kwamba hata watoto wa masikini wanapewa nafasi na taifa letu.
 
Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, matatizo ya mapungufu ya uchunguzi wa Ndulu, hayawezi kubebeshwa wananchi wanaofanya kazi huko BOT, eti kwa sababu ni watoto wa viongozi, uchunguzi wa haki under katiba ni ule tu utakaochunguza wafanyakazi wote huko BOT,

Kuwa-single out watoto wa viongozi walioko huko BOT, ni kukiuka katiba na ni haki ya hawa watoto kumfikisha anybody, atakayehusika uchunguzi zaidi ya huu wa Ndulu, kwa sababu so far hakuna probable course ya uchunguzi unaowalenga kikundi fulani tu katika jamii.

Hapana alikuwa darasa moja na dada wa mke wangu Jangwani, lakini anyways ngoja nimtwangie nimuulize kukata mzizi wa fitina, okay ni kweli mkuu uko right ameniambia alikua Zanaki, respect!.

Kuthibitisha kwamba hata watoto wa masikini wanapewa nafasi na taifa letu.

Unajua ndugu yangu unachanganya mambo, ile era ilikuwa ni nyingine na hii ya sasa ni nyingine. na ukizungumzia maneno hayo, Basi hatunba haja ya kumlaumu Raisi wa sasa or who ever. Kama ulivyosema watoto wa Maskini or what ever walifaidika na ndio maana tunaona eg Lowasa alipata fursa katika maisha yake, May be na Kikwete Pia, Prof Ndulu and the like.
Na hata post zilipokuwa zinatoka kwa kutangazwa bado kuna watoto wa Maskini kama unavyo waita wanapata nafasi za kazi, na wengine ndio hivyo. Lakini cha msingi kinacho zungumzwa au kujadiliwa ni 1. Post imetangazwa? ili kutoa nafdasi kwa aliye soma nje /ndani/wa kigogo/sio wakigogo, maana kuna watoto wasio wa vigogo nao wana mbinu zao.(2) Short list ilifanyika kwa kufuata misingi3. Interview ilifanyika kwa haki (4) Evaluation and selection ilifuata criteria zilizo wekwa.
kwa hiyo mlengo wetu ni kuona kama mtu anapata kitu anapata kwa njia halali au la.
na mimi nisingependa kuangalia wavigogo/sio wavigogo, bali jinsi mambo yanavyo kwenda ili mtu upate huduma/kazi/tenda etc.
eg wengi wa hao vigogo ambao wamesoma hawajui rushwa, na hawana shida nyumbani ya kumsababishia hachukue rushwa, lakini asiye wakigogo mazingira yamemuelekeza huko, hivyo anaweza kumpiga bao hata mtoto wa kigogo.
Na ndio maana leo hii utaona walio faidika na system utakuta si-watoto wa vigogo, bali watu wengine tu walio weza kuisoma system inavyo kwenda na kuitumia. Eg Chenge unaweza kukuta hakuwa mtoto wa kigogo, lakini leo hii ni kigogo, hao akina kigoda, ngasongwa and the like
 
Unajua ndugu yangu unachanganya mambo, ile era ilikuwa ni nyingine na hii ya sasa ni nyingine. na ukizungumzia maneno hayo, Basi hatunba haja ya kumlaumu Raisi wa sasa or who ever. Kama ulivyosema watoto wa Maskini or what ever walifaidika na ndio maana tunaona eg Lowasa alipata fursa katika maisha yake, May be na Kikwete Pia, Prof Ndulu and the like.
Na hata post zilipokuwa zinatoka kwa kutangazwa bado kuna watoto wa Maskini kama unavyo waita wanapata nafasi za kazi, na wengine ndio hivyo. Lakini cha msingi kinacho zungumzwa au kujadiliwa ni

1. Post imetangazwa? ili kutoa nafdasi kwa aliye soma nje /ndani/wa kigogo/sio wakigogo, maana kuna watoto wasio wa vigogo nao wana mbinu zao.

(2) Short list ilifanyika kwa kufuata misingi3. Interview ilifanyika kwa haki (4) Evaluation and selection ilifuata criteria zilizo wekwa.

kwa hiyo mlengo wetu ni kuona kama mtu anapata kitu anapata kwa njia halali au la.

na mimi nisingependa kuangalia wavigogo/sio wavigogo, bali jinsi mambo yanavyo kwenda ili mtu upate huduma/kazi/tenda etc.

eg wengi wa hao vigogo ambao wamesoma hawajui rushwa, na hawana shida nyumbani ya kumsababishia hachukue rushwa, lakini asiye wakigogo mazingira yamemuelekeza huko, hivyo anaweza kumpiga bao hata mtoto wa kigogo.
Na ndio maana leo hii utaona walio faidika na system utakuta si-watoto wa vigogo, bali watu wengine tu walio weza kuisoma system inavyo kwenda na kuitumia. Eg Chenge unaweza kukuta hakuwa mtoto wa kigogo, lakini leo hii ni kigogo, hao akina kigoda, ngasongwa and the like

Okay bro, hapa nimekuelewa, kwamba tatizo ni kuna wasi wasi na njia zilizotumika kuwaajiri kama ni za halali, lakini hakuna concrete ushahidi kwamba walaijiriwa kwa ujanja au kwa sababu ya nafasi ya baba zao,

Until hili limechunguzwa na kuwepo kwa ushahidi kwamba kuna kasoro na ajira zao, tuwaache wafanye kazi zao badala ya hizi hukumu, kwa sababu bila ushahidi au dataz inakua ni chuki kwa kikundi flani katika jamii, that is against the law of our land! au?
 
Watuonyeshe matangazo, idadi ya walioomba, panel ya interview na minutes za interview sio hizo longolongo sijui wana qualify haiwezi kuwa bu coincidence hizi surnames Mkapa, Mwinyi, Lowassa, Sumaye et al kuwa katika sehemu moja ya kazi.
 
Back
Top Bottom